HAPPY BIRTHDAY
Deo Muhella wa New YorkA birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip.Vijimambo Team Wish you Happy Birthday.
View ArticleRASIMU YA KATIBA MPYA INAYOPENDEKEZWA HII HAPA; CHENGE AIWEKA HADHARANI...
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Zanzibar, akitafakari wakati rasimu hiyo ikisomwaWasanii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, waliochangia pakubwa haki...
View ArticleWANAFUNZI ABAKWA NA KUSABABISHWA KUTOFANYA MTHIANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
HUYU NI MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 14, ALISHINDWA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA 2014 KWA SIKU YA PILI TATEHE 11 SEPTEMBA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUTEKWA NA MWANAUME NA...
View ArticleSENSEI MAGOMA N. SANYA MWALIMU WA KARATE
Sensei MagomaSensei Magoma N. Sarya ni ndiye aliyekuwa gwiji wa Karate na kiungo muhimu kwa sensei N. C. Bomani katika kuendeleza mwenendo wa Sanaa ya Karate nchini Tanzania. Sensei Magoma (Daud)...
View ArticleMFUMO DUME NA MAWAZO MGANDO: KIKWAZO USHIRIKI WA MWANAMKE KATIKA UONGOZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio, Nuru Kalufya akisimamia usajili wa washiriki wa mafunzo ya Maadili, Jinsia na Kuandika Habari za Migogoro yaliyoanza katika kijiji cha Uvinza, wilaya ya Uvinza...
View ArticleMama Salma Kikwete Apokea Mashine ya Mammogram.
Mheshimiwa,Mama salma Kikwete apokea Mashine ya Mammogram kwa niaba ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), ambayo alikabidhiwa na wakina Mama wa TANO Ladies,wakishirikiana na African Women's...
View ArticleTANGAZO LA KISOMO.
Familia ya Bi Hamida Majili, inapenda kuwakaribisha kwenye shughuli ya kisomo (Hitima) cha marehemu Zubeda Majili ambaye ni mamake mzazi, Bi Hamida Majili. Marehemu alifariki tarehe 31.08.2014 na...
View ArticleTANGAZO KUTOKA UONGOZI WA TAWI LA CCM NEW YORK
Tangazo maalumu:Mkutano mkuu wa CCM New York pamoja na vitongoji vyake ambao ulikuwa ufanyike October 4th sasa utafanyika Jumamosi inayofuata October 11 kupisha sikukuu ya Eid. Mkutano huu utafanyika...
View ArticleMARIE STOPES YAJIVUNIA UHUSIWANO WAKE NA SERIKALI
Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Tuvako Manongi akiwa na Mwakilishi Mkazi wa MARIE STOPES TANZANIA Bi. Ulla E. Muller aliyefika Uwakilishi wa Kudumu na kisha kuwa na mazungumzo na Balozi....
View ArticleMLAPA NG’OSHA: KALALE PEMA (OFFICIAL VIDEO)
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama...
View ArticleMSANII METTY KUZINDUA WIMBO WAKE MPYA "NAJUA" JUMATANO HII
Wmbo mpya ya msanii Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya jumatano ya wiki hii katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania.Wimbo huo amashirikishwa...
View ArticleMahojiano na Dr Patrick Nhigula. Mgombea u-Rais wa DICOTA
Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio wa Kwanza Production na Dr Patrick Nhighula, mgombea wa nafasi ya uRais wa DICOTA 2014. Mbali na kuielezea DICOTA yenyewe, pia ameeleza nia yake kugombea...
View ArticleAzam yadhamini maonesho makubwa ya Keki Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, Marion Elias (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es...
View ArticleWatalii bado kivutia kikubwa Zanzibar
Kizimkazi imekuwa kivutio Kikubwa cha Watalii kutoka Sehemu mbali mbali Ulimwenguni kuja kuangalia Dolphine katika Bahari Hind ya Zanzibar,Afrika Mashariki Kwao ni Kivutio cha kuwatia Hamasa hasa kwa...
View ArticleDICOTA CONVENTION OCTOBER 2nd - 5th DURHAM NC, HOME OF RODGERS EXPORTS LLC WE...
RODGERS EXPORTS LLC WILL GIVING A SPECIAL RATE TO THE OUT OF STATE GUESTS ATTENDING THE DICOTA CONVENTION. OUR NEXT CONTAINER WILL BE LEAVING THE USA TO TANZANIA ON OCTOBER 31, 2014. THE ESTIMATED...
View ArticleMTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN...
Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka DallasTexas (DFW)kuelekea Baltimore (BWI) siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania...
View ArticleRAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30,...
View ArticleFestival Latinidades from Kali TV
Festival Latinidades Afro-latina is considered one of the biggest women festival in South America. This year Kali TV Brazil were able to capture some of the images from this wonderful festival. Enjoy...
View ArticleMEREMETA NA HASSANALI NDANI YA ZIMBABWE
MEREMETA NA HASSANALI launched in Harare on 26 Sept at the Zimbabwe Fashion Week regards
View Article