$ 0 0 Watu kumi na tatu wakiwemo watatu wa familia moja wamekufa papo hapo baada ya gari aina ya noah waliokuwa wakisafiria kugongwa na lori katika kijiji cha Isuna wilaya ya ikungi mkoani Singida.