Video ya Sky's the limit- Wise Ft Absoulute iliyoangozwa na Mtanzania kutoka...
Ongezeko la vipaji kwa waTanzania unazidi kuongezeka siku hadi siku nchini Marekani Agalia Video ya nyimbo ya ''Sky's the limit- Wise Ft Absoulute'' video ambao amei-Direct mTanzania Eddy Mohamed Eddy...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Rehema Masesa from Massachusetts, USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Yahaya Kheri from Maryaland, USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa
View ArticleKapombe aziita Yanga, Azam
Shomary KapombeBeki wa zamani wa Simba ya jijini Dar es Salaam, Shomary Kapombe, amesema yeye sasa ni mchezaji huru na yuko tayari kufanya mazungumzo na klabu yoyote ya ndani na nje ya nchi ambayo...
View ArticleMWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKIMTAPELI DC
'Koplo' feki wa JWTZ akiwa ofisini kwa mkuu wa wilya. 'Koplo' feki akijiandaa kupanda kwenye gari kupelekwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi 'Koplo' feki akiwa na pamoja na Luteni Yahya Wangwe na...
View ArticleCHARLES NA BETTY MKWASA WASHEREHEKEA MIAKA 25 YA NDOA
Wana Silver Jubilee, Betty Mkwasa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma na mumewe Charles Boniface Mkwasa 'Master' Kocha msaidizi wa Yanga, wakionesha hati maalum ya ndoa kutoka kwa Papa...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Faridah Myinga From Dar es Salaam, TanzaniaTimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa
View ArticleRAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKOA WA SINGIDA KUFUATIA...
Gari aina ya Noah T,730 BUX linavyoonekana baada ya kugongwa na Lori m koani SingidaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa...
View ArticleHAFLA FUPI YA KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na...
View ArticleROGERS EXPORTS LLC
RODGERS EXPORTS LLC. INATOWA HUDUMA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUTOKA, (USA) KWENDA (DSM NA ZNZ) TANZANIA Tunawatangazia watanzania wote na marafiki wanaoishi hapa USA na wale wanaoishi tanzania,...
View ArticleWazanzibar walioko New York waadhimisha miaka 50 ya mapinduzi
Bwana Msami alikuwa kivutia kikubwa ukumbuni hapo kwa comedy zake juu ya watu wa viziwani.Wiki moja baada yaZanzibarkuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi, wananchi wa visiwa hivyo wanaoishi mjiniNew York...
View ArticleSHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ZA FANA NEW YORK
Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zilivyofana New York , Sherehe hizo zilipendezeshwa kwa show ya mavazi, chakula na music wa Asili ya mwambao kutoka kwa Dj Bilal. Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN APOKEA KIFIMBO CHA MALKIA WA UINGEREZA, AWAAPISHA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitembea na kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) baada ya kukabidhiwa na Kamati ya Olimpiki Tanzania,(wa pili...
View ArticleMnyika: Wananchi mwandikieni barua JK
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amewashauri wananchi wanaoishi kandokando mwa hifadhi ya Barabara ya Morogoro kumwandikia Rais Jakaya Kikwete barua kuhusu mgogoro uliopo katika barabara...
View ArticleChuki zaanza ndani ya CCM, Sinyanga, Monduli, Mgeja, Lowasa
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja akizungumza na wanachama. Picha na Mwandishi WetuDar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Shinyanga, Hamisi...
View ArticleYanga waikataa Azam Tv
Dar es Salaam. Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu...
View ArticleIDDI BONGE AJIANDAA KUMKABILI MWAKASANGA MARCH 23
Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David...
View ArticleVideo ya Ajali ya gari Singida.iliyouwa watu 13 papo hapo
Watu kumi na tatu wakiwemo watatu wa familia moja wamekufa papo hapo baada ya gari aina ya noah waliokuwa wakisafiria kugongwa na lori katika kijiji cha Isuna wilaya ya ikungi mkoani Singida.
View Article