SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI...
Naibu Waziri Mkuu wa Australia Warren Truss akizungumza na waandishi wa habari juu ya maendeleo ya utafutwaji wa ndege iliyopotea.NDEGE ya abiria ya Malaysia iliyopotea kiutatanishi wiki mbili...
View ArticleOfficials Say Missing Malaysia Airlines Plane 'Ended in the Southern Indian...
ABC US News | ABC Business NewsNew satellite data reveals that missing Malaysian Airlines Flight 370 "ended" in a "remote location" of the southern Indian Ocean, Malaysian Prime Minister Najib Razak...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Frank-Walter SteinmeierWaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Frank-Walter Steinmeier, atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 25 Machi,...
View ArticleAJALI MBAYA: MWANAFUNZI MAKONGO AFARIKI KATIKA AJALI YA BAJAJ NA LORI
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo, Priscus Mallya, baada ya kufariki katika ajali ya lori na Bajaj.Mwili wa Priscus Mallya ukiwa katikati ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi baada ya ajali.Bajaji...
View ArticleELIMU SAHIHI YA KUTIBU GONJWA LINALOITWA WIVU 5
Wakati naanza makala haya, nilieleza kuwa wivu ni chachandu, vilevile ni kionjo cha mapenzi. Wakati mwingine ni sumu ya uhusiano, hali kadhalika hutokea kuwa kikwazo cha penzi endelevu. Ni vizuri...
View ArticleWASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud Kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini...
View ArticleMwanamke aliyefunga ndoa na mbwa london anatukumbusha nini?
Freddy MachaMajuma mawili yaliyopita, habari za mwanamke wa London aliyeoana na mbwa wake aitwaye Sheba zilitangazwa na gazeti la Metro.Metro hutolewa bure, kila siku, kwa wasafiri miji mbalimbali ya...
View ArticleBAADA YA MIAKA 43 YA KIFO CHA DK KLERUU, FAMILIA YA DK KLERUU YAKUTANA NA YA...
Eva Kleruu na Amani Mwamwindi baada ya kukutanaEva na AmaniSIMANZI na machozi yalibubujika wakati familia mbili za Dk Wilbert Kleruu na Said Mwamwindi zilipokutana juzi mjini Iringa kwa ajili ya...
View ArticleMH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na wanaDMV siku alipokaribishwa rasmi siku ya Jumamosi November 9, 2013 Lanham, Maryland (picha na...
View ArticleKINANA AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KATA ZA UBENA ZOMOZI LEO
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akipandisha bendera mara baada ya kulizindua Shina la Wakereketwa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) la Wajasiliamali wa...
View ArticleOfficial Picture of Paul of P-square and Anita wedding "Love Testimony"
Port Harcourt stood up as Paul Okoye of P-Square married Anita Isama. BellaNaija Weddings was on the spectacular scene providing live coverage through photos, and now here’s the full fabulous feature...
View ArticleMkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini(TTB) Charles Sanga (kushoto) akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu jijini Dar es Salaam jana, baada wa Waziri kutangaza kumwondoa kazini...
View ArticleCCM yaliteka Bunge la Katiba
Miongoni mwa waliochaguliwa wenyeviti ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Sera na Uratibu), Steven Wassira .”PICHA|MAKTABADodoma. Sasa ni wazi kwamba...
View ArticleSitta ‘amkataa’ Warioba bungeni
Mwenyekiti wa Bunge maalumu la katiba, Samuel Sitta.PICHA|MAKTABADodoma. Jaribio la kutaka kumrejesha bungeni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili ajibu masuala...
View ArticleJE UNAMFAHAMU MICHAEL AGUSTINE LUKINDO? TAFADHALI WASILIANA NASI
Habari jamani. Ninaandika ujumbe huu kwa kuomba msaada. Mtanzania mwenzetu amefariki in Madison Wisconsin-USA, wanatafutwa ndugu zake. Ni mtu wa Tanga,MICHAEL AGUSTINE LUKINDO Alikuja USA miaka mingi...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA MKOA WA DAR ES SALAAM, AANZIA ILALA
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye mradi wa ujenzi wa tangi la maji katika eneo la Tabata Kimanga, akiwa katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Ilala, Dar es...
View ArticleKATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS, SAAZ SALULA, AKAGUA MIRADI YA HIFADHI YA...
Safari ya msafara wa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Ndugu Saaz Salula mwishoni mwa juma katika kukagua miradi inayofadhiliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira pamoja na wahisani wengine katika...
View ArticleCHUO CHA VETA CHATAMBULISHA MRADI WA USHIRIKIANO KATI YAKE NA UJERUMANI...
Meneja Mradi wa “German Dual System Apprenticeship”(katikati) Martin Mac Mahon akizungumzia juu ya mradi ambao German wameshirikiana na Chuo cha VETA nchini katika kuhakikisha wanaboresha maswala ya...
View ArticleKAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO ... PIA...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha kwanza cha kamati ya Uongozi baada ya kuundwa leo. Kamati hiyo inayoundwa na wenyeviti wa Kamati za Bunge Maalum wote 12 pamoja na...
View Article