Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana  Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma  Machi 25,2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI IDDI AKUTANA NA TAASISI ZA UWEKEZAJI VITEGA UCHUMI KUTOKA WA KAMPUNI...

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipeana mikono na Msaidizi wa masuala ya Biashara kutoka Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi yenye Makao Makuu yake katika Mji wa Dalien Nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMLA YA WANAWAKE 11 HUFARIKI DUNIA KILA SIKU KWA UGONJWA WA SARATANI YA...

Mgeni  rasmi  katibu  tawala  wa mkoa wa Iringa Wamoja  Ayub  akifungua mkutano  huo WANAWAKE  11 nchini  hupoteza maisha  kwa ugonjwa wa  saratani  ya mlango wa   kizazi kila  siku  huku wanawake 6000...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MABO YA NJE NA UBALOZI WA CHINA WAFANYA MKUTANO WA PAMOJA NA...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing wakati wa mkutano na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA UKARABATI WA BARABARA YA KOROGWE HADI MKUMBARA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Wziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli(kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier(watatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIDHAA YA TRESSA YAZINDULIWA JIJINI MWANZA.

Meneja masoko wa bidhaa za TreSSa, Manoj Kumar akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Goldcrest jijini Mwanza jana.  Kulia ni Meneja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRICAN BARRICK GOLD MINING WADHAMINI TIBA YA UPASUAJI BURE KWA KICHWA,...

Daktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu Dr. Othman W. Kiloloma kutoka hospitali ya Muhimbili amesema kuwa timu ya madaktari saba imewasili kutoka Muhimbili  ikiwa na daktari bingwa 1 wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA BISHARA ZANZIBAR YAPATA MSAADA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA (SMT)

Mkurugenzi Sera na Mipango wa Wizara ya Biashara ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Sungula kulia akimkabidhi Vifaa kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Zanzibar Julian Raphael katika hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu...

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEHEMU YA PILI TASWIRA YA NDOA YA HALIMA CHUNDA NA VUAI HUKO MASSACHUSETTS

Bwana harusi na Bibi Harusi wakiwa kwenye meza kuu na wapambe wao wakismile mbele ya ukodak wa Vijimambo. Harusi hiyo ilifanyika weekend huko Boston. MA na ilifana sana watu walikula na kucheza mduara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni

 Mafundi wa Kampuni ya ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisuka nondo katika moja ya nguzo zitakazoshika daraja hiloMeneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHONGO WA KAZI HUO CHANGAMKIENI

RE: RECRUITMENT OF THE MANAGING DIRECTOR FOR TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION (TPDC)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL WOMAN OF THE YEAR 2013

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

An International Seminar of Recognizing and Preventing Domestic Abuse

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANITE LADIES

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA MWAMBAO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE JUU YA UFUGAJI NYUKI YAANZA KUFANYIWA KAZI...

Baadhi ya Mizinga ya Nyuki katika Kikundi cha Mshikamano Katika Kijiji cha Iyayi Wilayani Wanging'ombeNa Gabriel Kilamlya Wanging'ombe Wanachama wa Kikundi cha Ufugaji Nyuki cha Mshikamano Kilichopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WALIOHUKUMIWA KUNYONGWA UCHINA

Matukio ya kukamatwa kwa Watanzania nchini China kwa kesi za biashara ya dawa za kulevya yana idadi kubwa sana ndani ya hii miaka mitano iliyopita.Miezi miwili iliyopita Balozi wa Tanzania China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI ALIPOTEMBELEA SISTER CITY DURHAM, NORTH CAROLINA

Balozi Liberata Mulamula alikiwasili na kupokelewa na mwenyenyeji wake Rais wa sister city Bw, Brady Sulle siku ya Jumamosi March 22, 2014 alipotembelea Sister City Durham, North Carolina siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI LA DIAMOND’ LAPIGWA BEI

Stori: Mussa Mateja na Shakoor JongoLILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei.Gari hilo...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live