Federal prosecutors say pair stole IDs of more than 600 people to receive...
HOUSTON -Federal prosecutors say two people are accused of receiving about $1.8 million in fraudulent tax returns by stealing the personal information of more than 600 people.Prosecutors say...
View ArticleAFRO-CARRIBEAN INTERNATIONAL NIGHT @ SAFARI CLUB
LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB JUMAMOSI APRIL 5, 2014 KIOTA CHENYE VIONJO VYA MUZIKI WA KITANZANIA NI USIKU WA KIMATAIFA WA AFRO- CARIBBEAN KARIBUI SANADj Luke sita kuwepo wiki...
View ArticleVIJIMAMBO RADIO SASA IPO HEWANI KWA MAJARIBIO NA SASA INAPATIKANA KWENYE...
Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio kwa hiyo kama utapata nafasi naomba uisikilize kupitia...
View Article2 CHARGED IN TAX FRAUD SCHEME TARGETING MORE THAN 600 VICTIMS IN HOUSTON
HOUSTON – A 13-count federal indictment has been returned against Tanzanian national Amon Rweyemamu Mtaza and Dion Hatch, of Houston, alleging a stolen identity refund fraud (SIRF) scheme, announced...
View ArticleTAARIFA YA UCHAGUZI MKUU - JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON DC, MARYLAND NA...
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV unawataarifu kwamba uchaguzi wa Kuwachagua viongozi wa Jumuiya , utafanyika mwishoni mwa mwezi wa Nne. Tarehe Rasmi ya Uchaguzi itatangazwa Mara tu kamati ya...
View ArticleRIDHIWANI AWAAMBIA WANANCHI WA MKOKO HUU SI MUDA WA KULIMA KWA JEMBE LA MKONO
11 warudi CCM kwenye mikutano ya kampeni za Ubunge,akiwemo Mwenyekiti wa CUF Kata ya Msata Ndugu Idd Njema. Ridhiwani awaambia wananchi wa Mkoko muda wa kutumia jembe la Mkono umekwisha ni wakati wa...
View ArticleZIARA YA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA - HOUSTON, TEXAS - MACHI 27 - 30. Part 2
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akitembelea Chuo kikuu cha dawa, Baylor, kilicho hapo Houston Texas. Prof. Peter Hotez mwanzilishi wa chuo hicho ni mmoja kati ya madaktari wachache wanaofanya utafiti...
View ArticlePresident Kikwete attends EU-Africa Summit in Brussels
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shares a light moment with Swaziland King Mswati III shortly before the commencement of the Fourth European Union and Africa Summit held in Brussels Belgium this...
View ArticleNAPE:CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGA MAFUNZO YA ZOEZI LA UORODHESHAJI WA VIWANDA...
Mkurugenzi wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa...
View ArticleMatukio katika picha Kamati za Bunge maalum la Katiba
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa (kulia) akitoa ufafanuzi leo mjini Dodoma kuhusu hati ya Muungano kwa wajumbe wa Kamati namba mbili(2) ya Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleMstahiki Meya Jerry Silaa AKABIDHI MADAWATI YA SH. MILIONI 45 SHULE ZA...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akitoa hotuba yake wakati wa kukabidhi madawati 107 katika Shule ya Sekondari Pugu kupitia mpango alioluanzisha wa `Mayors Ball` ya kusaidia...
View ArticleWATALII MABILIONEA WA MAREKANI WAMALIZA ZIARA SERENGETI
HIFADHI ZA TAIFA TANZANIATAARIFA KWA UMMAWatalii Mabilionea 42 kutoka Marekani wamemaliza ziara yao ya utalii ya siku nne katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuelezea kufurahishwa kwao na uzuri...
View ArticleMAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 YANUNULIWA NA MANISPAA YA KINONDONI
Magari Mapya aina ya Toyota Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwaMwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na manispaa ya kinondoniGari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi...
View ArticleWATANZANIA TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI : GAVANA BENNO NDULU
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa...
View ArticleUNYAMA WANAOFANYA MAJAMBAZI TABORA
Salumu Abel Muhunda mkazi wa Kata ya Cheyo manispaa ya Tabora amejeruhiwa vibaya na kundi la Majambazi ambayo yalimvamia wakati akiuza dukani huko eneo la Mwanga Shop ambapo majambazi hayo yalivamia...
View ArticleSpika wa Bunge la A.Mashariki mashakani
Vikao vya bunge la Afrika MasharikiMgogoro wa uongozi umezuka katika Bunge la Afrika Mashariki ambapo wabunge wa bunge hilo wanakusudia kumwondoa madarakani spika wa bunge hilo.Tayari wabunge hao...
View ArticleBarcelona wazuiwa kusajili,Wafungiwa Kwa Muda wa Miezi 14
By Israel Saria on April 2, 2014*Fifa yawapa marufuku kwa miezi 14*Walikiuka usajili wachezaji wadogoMabingwa wa Hispania, Barcelona wamepata pigo kubwa baada ya kupigwa marufuku kufanya usajili kwa...
View ArticleAJALI YA LORI NA PICK UP KUGONGANA USO KWA USO YAUA WAWILI IRINGA
Hii ndio pick up uliyogongana uso kwa uso la lori na kusababisha vifo vya watu wawili usiku wa leo mjini Iringa Eneo la ajali Hili ndilo lori lililogongana uso kwa uso na pick up eneo...
View Article