Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIZAMA PICHA ZA NICK MINAJ KABLA NA BAADA YA KUBALISHA UMBO LAKE.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YAELEZEA MPANGO WA UPIMAJI AFYA WANANCHI KWA MAGONJWA...

 Meneja Masoko  na Elimu kwa Umma  toka  Mfuko  wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) Bi Anjela Mziray akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu programu ya upimaji wa Afya kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA ULAYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI, walipofika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA...

Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA...

Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya Teknolojia ya Habari na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHARAKATI WAMUUNGA MKONO JK KUPAMBANA NA UJANGILI

Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindu rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kama jitihada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DARAJA LA RUVU LAFUNGWA, MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO AWAPIGA 'STOP' WAKAZI WA...

 Wakazi wa Kiwangwa, wa Kiwangwa, wakivushwa na vijana waliojitolea kujipatia ajila katika Daraja la Ruvu kwa kuwavusha wananchi kwa kuwabea ama kuwaongoza njia ili kuvuka eneo hilo la daraja lililojaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUNDRISING DINNER COLUMBUS, OHIO GUEST OF HONOR H.E. AMBASSADOR LIBERATA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATUUNI HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KUANZA NA BARABARA KISHA ELIMU NA AFYA TOKAMISASA

 Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO KWENYE DIASPORA

Tangazo kwa Watanzania Waishio Kwenye DiasporaKatika kuendeleza harakati za Diaspora za kuhakikisha suala la uraia pacha na haki ya kuzaliwa ya Watanzania inayowapa haki ya kuwa raia wa Tanzania...

View Article

VIDEO YA MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA WATANZANIA UINGEREZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APANDA MTI KUADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. Picha na OMR 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mourinho: Nahitaji mshambuliaji wa kweli

*Aahidi ‘kuwachinja’ usajili ujaoPanga la Kocha Jose Mourinho linaelekezwa kwa wachezaji Fernando Torres, Samuel Eto’o na David Luiz anayesisitiza hana wachezaji na atatumia fedha za mauzo yao kununua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA - HOUSTON, TEXAS - MACHI 27 - 30.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula alitembelea mji wa Houston, Texas akiwa na mumewe Mr. George Mulamula. Katika ziara hiyo alikutana viongozi mbalimbali wa jumuiya ya Watanzania wa awamu zilizopita na hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIEMBA HUYUHUYU FAMILIA KWANZA

Wapo wanaopenda kutembelea magari ya kifahari, kuishi kwenye nyumba za gharama na kibaya zaidi, mara nyingi inadaiwa kwamba vitu hivyo vinakuwa siyo vyao, maisha ambayo baadaye anapokuwa hajajipanga,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NA MBEYA CITY NI AJABU KWELI

Yanga ikiteleza Mbeya City anayeshiriki Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza anaweza kupata tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho.NI ajabu lakini kwenye mambo ya mpira inaweza kutokea kweli ndani ya...

View Article


Zoezi la kuondoa ombaomba katikati ya jiji la DSM limeanza.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AONGEA NA WAKINA MAMA WA TANZANIA WAISHIO UINGEREZA

Mama Salma Kikwete akiongea na wakina mama wa anzania waishio Uingereza kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza na kuwaasa kuelekeza nguvu za maendeleo nyumbani Tanzania.Wakina mama wa Kitanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA PICHA HIZI NA UTAJUA KUWA TABIA YA MTU UANZIA TOKA UTOTONI

Kila mtoto na malezi ya ukuwaji wake kutokana na utaifa pia unaweza kujua ni wakutoka nchi gani Maisha yanaendelea Watoto wakiume nao habari ndiyo.....Huyu nae sijui utasemaje.......Hapa sasa dogo ni...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>