Msanii maarufu kuelekea Ujerumani
Berlin, Ujerumani.Msanii maarufu nchini Tanzania Kutoka kundi la Orijino Komedi al maarufu kama Mpoki (a k a Muarabu wa Dubai) anatarajiwa kuondoka nchini mapema mwanzo wa wiki hii kuenda nchini...
View ArticleUTNC chairman in Houston
UTNC Chairman Geoffrey Lepana in houston attending a pre-wedding ceremony of Braille and Edna
View ArticleGAZETI LA MAWIO KIKAANGONI
Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano.Akizungumza jana, Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Assah...
View ArticleTUNAWATAKIA PASAKA NJEMA
Ndugu Waumini Wakatoliki DMV na Popote,Nawatakieni kila Baraka na Heri katika juma hili takatifu na kwa sikukuu ya Pasaka - Ufufuko wake Bwana wetu Yesu Kristu. Tuliombee Taifa letu Amani kama salamu...
View ArticleMABONDIA DIMOSO NA TAMBA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMATATU YA PASAKA TANALE
Bondia George Dimoso kushoto na Ibrahimu Tamba wakiwa mbele ya kamera ya super D Blog baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Manyara Park Tandale CCM siku ya jumatatu ya...
View ArticleAZAM FC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LAO
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, nahodha wa Azam FC, John Bocco jana jioni baada ya kuifunga JKT Ruvu bao 1-0 katika Uwanja...
View ArticleRAIS KIKWETE, TUCTA WAJADILI JINSI YA KUBORESHA MASLAHI NA USTAWI WA WAFANYAKAZI
-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa ummaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete juzi, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya...
View ArticleHAPPY EASTER
Timu ya Vijimambo inawatakia wadau wote Pasaka njema, msherehekee kwa amani na utulivu
View ArticleChelsea wala mwereka
Matumaini ya Chelsea kutwaa ubingwa yamezidi kuyeyuka baada ya kufungwa 2-1 na Sunderland wanaoshika mkia wa Ligi Kuu ya England (EPL).matokeo hayo yamewapa nafasi kubwa Liverpool kuchukua ubingwa, na...
View ArticleMABONDIA CHEKA,MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA KING CLASS MAWE AMSAMBALATISHA...
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi...
View ArticleWAZEE WA MUJINI COLUMBUS, OHIO
Wadau wa Columbus, Ohio ukiwa Ohio kama haujakutana na wazee wa mujini basi utakua bado aujafika ya mji huo.
View ArticleFUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA...
Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi...
View Article2ND ANNUAL TANZANIAN LADIES NIGHT - USA June 14th
Martin's Crosswinds Greenbelt - hapa ndipo itafanyika shughuli yenyewe.Kina Dada na kina Mama wakati umewadia wa kukutana tena. Karibuni Sana kwenye Usiku utakaojaa mambo ya kuhamasisha...
View ArticleTips for Taxpayers Who Missed the Tax Deadline
If you missed the April 15 tax filing deadline, don’t panic. Here’s some advice for you .1. File as soon as you can. If you owe taxes, you should file and pay as soon as you can. This will help...
View ArticleTAARIFA YA UCHAGUZI MKUU - JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON DC, MARYLAND NA...
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV unawataarifu kwamba uchaguzi wa Kuwachagua viongozi wa Jumuiya , utafanyika kati ya Mwezi wa mwishoni mwa mwezi wa wa tano au mwezi wa 6. Tarehe Rasmi ya Uchaguzi...
View ArticleWATANZANIA WA SOUTHERN CALIFORNIA KUSHEREKEA MUUNGANO LOS ANGELES APRIL 26
KIINGILIO: BURE+++KARIBUNI WOTE+++
View ArticleWIMBO WA DUAL CITIZENSHIP"SIJAKIMBIA" WAPOKELEWA VIZURI NA WADAU - VIEWS 1500...
Kuunga Mkono Harakati za Kufanikisha Uraia Pacha Visit http://www.gofundme.com/7jtyuw #Uraiapacha #diaspora
View Article