KAMBI YA VIJANA NA WATOTO 'ARIEL CAMP 2017' YAFUNGWA JIJINI MWANZA
Kambi ya Watoto na Vijana “Ariel Camp” iliyoandaliwa na shirika la Ariel Glaser Pediatric Aids Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi...
View ArticleMBOWE AFUTURISHA MISIKITI MINNEJIMBONI KWAKE,WAISLAMU WILAYA YA HAI WAMTUNUKU...
Mbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Helga Mchomvu wakati wa Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mbunge huyo katika miskiti minne tofauti.Baadhi ya...
View ArticleMUFTI MKUU WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA AJILI YA SWALA YA EID...
Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akiwa katika lango la kutokea eneo la watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) alipowasili jana mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya...
View ArticleSERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KUHUSU ONGEZEKO LA IDADI YA WATU
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali imeeleza kuwa pamoja na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ikiwemo...
View ArticleYusuf Manji asitisha mpango wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco Beach
Yusuf Manji amesitisha mpango wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco baada ya Rais Magufuli kuagiza libaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi.Hapo chini kuna tamko lake (Libonyeze Kuyakuza Maandishi)
View ArticleRais Magufuli Atoa Zawadi ya Idd El Fitri Yenye Thamani ya Mil. 10.9.
Kamishna Msaidizi katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Simon Panga akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi ya Idd El Fitri kwa niaba ya Rais Dk. John Magufuli kwaVituo...
View Article2017 Miss Tanzania-USA: Venue Announcement
We are exactly 30 days away from the 5th Anniversary of the Miss Tanzania-USA pageant. This annual event has consistently, and persistently taken place every year since 2013; Therefore, to ensure that...
View ArticleSHUJAAZ WAWAFUNDA WAANDAAJI WA MASHINDANO YA EAST AFRICA CUP 2017
Mkuu wa utafiti wa Kampuni ya Well Told Story,Dkt Anastasia Mirzoyants akitoa maelezo kwa washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na Mradi wa Shujaaz iliyofanyika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.Baadhi ya...
View ArticleRBF- Kuondoka na Watendaji Wazembe
Serikali imesema haita wavumilia watendaji watakaoshindwa kusimamia ipasavyo mradi wa Malipo kwa Ufanisi katika kuboresha utoaji wa huduma za Afya “Results Based Finance” (RBF) ambao hivi sasa...
View ArticleMAFUNZO YA SIKU TANO KWA MADAKTARI YALIYOANDALIWA NA WCF YAFUNGWA JIJINI DAR...
Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, akimkabidhi Dkt.Kezia, cheti cha ushiriki wa mafunzo ya tathmini ya ajali na majeraha kwa mfanyakazi aliyeumia wakati akitekeleza majukumu yake mahala pa...
View ArticleWanachama wa CUF ya Lipumba ‘wawabadilikia’ waandishi
Wanachana wa CUF wanaomuunga mkono mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba walijikuta wakizozana wao kwa wao muda mfupi baada ya mwenyekiti huyo kumaliza...
View ArticleMOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA
` NA RIPOTA MAALUMWATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
View ArticleWILLIAM KUNDA TATE AFANYWIA SHEREHE YA KUINGIA CHUO KIKUU
William Kunda Tate ( Tshirt Blue) akiongea machache kuwashukuru wazazi na wageni wote waliofika nyumbani kwao Laurel, Maryland siku ya Jumamosi June 24, 2017 kushereheka pamoja nae kuhitimu maosmo ya...
View ArticleFARAJA ISINGO AKAMATA NONDO "DUAL MASTERS DEGREE"
Faraja Isingo akiingia ukumbini Hampton Inn College Park, Maryland siku ya Jumamosi June 24, 2017 kujipongeza na kushereheka baada ya kukamata nondoz za Dual Masters Degree za Masters of Business...
View ArticleHONGERA AMAN MOSHI KWA KUKAMATA NONDOZ
Aman Moshi akipata ukodak moment baada ya kukamata nondoz aliposhereheka yeye na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki nyumbani kwake Bowie, Maryland siku ya Jumamosi June 24, 2017. Picha na...
View ArticleRATIBA KAMILI YA EID EL FITR LEO JUMAPILI DMV
EID MUBAARAKAssalamu Alaykum Rahmatullaahi Waarakaatuh Kwa mujibu wa Misikiti ya maeneo ya DMV, leo in sha Allah ni siku ya Eid El Fitr.Kwa niaba ya uongozi wa TAMCO, Tunapenda kuwapa mkono wa Eid, na...
View Article