THANKSGIVING PARTY 2017 PRESENTED BY TANZANIA HOUSTON COMMUNNITY (THC)
*HOUSTON TANZANIAN COMMUNITY*Presents 2nd AnnualTHANKSGIVING GALA2017*FRIDAY NOV 24TH - SUNDAY NOV 26TH**FRIDAY*1. Kids games afternoon - TBT2. Houston Night Life at 042LOUNGE 13711 WESTHEIMER...
View ArticleMchuano mkali wa urais Liberia
Monrovia, Liberia. Matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne nchini Liberia yamecheleweshwa kutangaza huku kuripotiwa kuwepo kwa mvutano uliohusisha vyama vikuu viwili vinavyochuana.Hata hivyo,...
View ArticleMISA YA NDUGU YETU JOSEPH NDYAMUKAMA, KUFANYKA BALTIMORE
Ndugu zangu wana DMV, tunapenda kuwataarifu kuwa misa ya kumwombea marehemu Joseph Ndyamukamaitayofanyika Jumapili Oct, 15, 2017 saa nane mchana (2pm) katika kanisa la Mt.Edward address ni 901 Poplar...
View ArticleDICOTA announces 2017 Young Leader Scholarship Winner
DICOTA announces 2017 Young Leader Scholarship WinnerThe 2017 DICOTA Scholarship recipient is Jose Fabian Kabigumila. Mr. Kabigumila is a senior at Liberty University in Virginia. Mr. Kabigumila is a...
View ArticleKIOATA KIPYA CHA WABONGO CHAFUNGULIWA COLUMBUS, OHIO
Usikose Jumamosi hii Oct 14 na kila siku ya Jumamosi fika umingle na wabongo wenzako na watu wengine wa mataifa tofauti Karibu Monkeys Bar & Grill kiota cha kimataifa MWANZO MWISHO HAKUNA KIINGILIO
View ArticleTAASISI YA' ROOM TO READ ' YAMPA TUNZO MAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA...
MKE wa Rais wa awamu ya nne mama Salma Kikwete jana alikabidhiwa tuzo ya heshima kutokana na kutambua jitihada zake za kumlinda na kumtetea mtoto wa kike iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU TATU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa kwa furaha na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa...
View Article"EDGAR KATUWAKILISHE VIZURI WATU WA ARUSHA NA TANZANIA NCHI YAKO" RC GAMBO
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Gambo akizungumza na wadau waliohudhuria shughuli ya kumkabidhi bendera ya Taifa kijana Edgar Tarimo anayekwenda nchini Afrika kusini kushiriki mashindano ya...
View ArticleKAMERA YA VIJIMAMBO ILIVYOMDAKA MOFRANK(Dj Mose) wa ATLANTA, GA ALIPO ONYESHA...
MOSES TAYARI AMESHATOA SINGLE ALBUM YA KWANZA AMBAYO INA NYIMBO TATU INAPATIKANA KWENYE GOOGLE PLAY KWA JINA LA MOFRANK. TAFADHALI.. NDUGU, JAMAA, MARAFIKI WA ATLANTA NA WALE WA NJE YA ATLANTA, GEORGIA...
View ArticleLet the Countdown begin!! 29 days left #DICOTAHEALTH
Let the Countdown begin!! 29 days left23+ speakers3 Keynotes + moreJoin us for this once in a lifetime healthcare forum and discover how you can build relationships with individuals Download the...
View ArticleFacebook Live with DICOTA & myAfyapal - Saturday October 14, 2017 @ 10:30 am
Pre Health Forum -Facebook Live EventmyAfyapalLeo | Jana | KeshoOn Saturday October 14, 2017 DICOTA, in partnership with myAfyapal, will host a Pre Health Forum -Facebook Live Event.Come learn about...
View ArticleMASAUNI ALITAKA JESHI LA ZIMAMOTO KUFUNGUA VITUO WILAYA ZOTE NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Makamishna na Wakuu wa Vitengo vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipofanya ziara Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini...
View ArticleWAZIRI KALEMAN ATAKA MADENI YA BILI ZA UMEME KULIPWA KWA WAKATI TANESCO
WAZIRI wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na uongozi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco na wadau wa mbalimbali wa umeme ili kuweza kuweka mikakati madhubuti kuhakikisha nishati hiyo inapatikana...
View ArticleINTERVIEW: Nivo afunguka ya moyoni kuhusu wasanii wachanga!
Msanii chipukizi kwenye muziki wa Bongo fleva, Vicent Petro ambaye kwa jina la sanaa anatambulika kama ‘Nivo’ aliyewahi kuachia ngoma yake moja ambayo inaitwa ‘Idea’ amefungukia yake kutoka moyoni...
View ArticleSHAKA AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIET YA BARAZA KUU UVCCM TAIFA JIJINI DAR ES...
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiongoza kikao cha Secretariet ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kwa maandalizi ya vikao vya kikanuni vya Umoja wa Vijana wa CCM vitakavyofanyika Dodoma...
View ArticleFASHION: ILAVA Held Their First Ever Fashion show At "LA Fashion Week"
Beverly Hills,California:On October 7th,The Ladies Of ILAVA Rahel Mwitula-Williams And Mwasi Mwitula took over LA Fashion week 2017 to the storm. They were able to showcase their new collections called...
View Article