IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE BALTIMORE, MARYLAND
Kutoka kushoto ni Padre Crispen Jumanne, Padre Honest Munishi, Shemasi Carl Anderson na Shemasi Steve Rubio wakiongoza Ibada ya Jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste iliyoendeshwa kwa lugha za...
View ArticleHONGERA NASRA CHUNDA KWA KULA NONDO KATIKA CHUO CHA FRAMINGHAM.MA
Nasra Chunda wa Massachusetts akiwa mwenye tabasamu mubashara kabisa kwenye sherehe yake ya kumaliza chuo na kula nondo ya Shahada ya Sayansi na Uhasibu(BSA) kutoka Framingham State University. MA....
View ArticleMWANDISHI MATHIAS CANAL APEWA TUZO YA HESHIMA NA ASASI YA WAZALENDO NA...
Mwandishi wa habari na mchambuzi wa mambo mbalimbali nchini Tanzania Ndg Mathias Canal (Kushoto) akikabidhiwa tuzo ya cheti cha heshima kwa mchango wa utendaji katika jamii na Ndg Mohamed shabani...
View ArticlePITA PITA YA VIJIMAMBO BALTIMORE, MARYLAND.
 Pita pita ya kamera ya Vijimambo Blog Baltimore, Maryland siku ya Jumapili May 20, 2018 katika mkutano wa kikao cha harusi nyumbani kwa Maria Marwa (wapili toka kushoto) na kukutana na wadau...
View ArticleBalozi wa China ateta na Dk Mengi, aahidi kusaidia mabadiliko
 Balozi wa China nchini Tanzania, Mh. Wang Ke (kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi kuhusu ushirikiano wa kibiashara baina ya makampuni ya China na Tanzania...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU MTEULE WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa...
View ArticleTaasisi ya Mo Dewji yatoa msaada kwa watoto wenye saratani
Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam.Msaada ambao...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi Mpya  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha...
View ArticleMpasuko Walinyemelea Kanisa la KKKT Nchini, Askofu Apigwa, Kiti Chaibiwa
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Njombe, Isaya Mengele, amesema kuwa kitendo kilichofanywa na baadhi ya waumini wa kanisa hilo Dayosisi ya Ziwa Tanganyika kumjeruhi...
View ArticleSugu Atinga Rasmi Bungeni, Wapinzani Walipuka kwa Furaha
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, ameingia bungeni kwa mara ya kwanza leo Mei 21, 2018 tangu aachiwe kwa msamaha wa Rais John Magufuli, Mei 10 mwaka huu.Baada ya kuingia...
View ArticleWAZIRI DKT KALEMANI AZINDUA USAMBAZAJI WA GESI ASILIA MAJUMBANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza katika uzinduzi wa usambazaji wa gesi asilia majumbani kwa mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara hafla iliyofanyika katika stesheni ndogo ya kupokea...
View ArticleMISA YA KUMBUKUMBU YA MZEE NA MAMA KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Picha ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru.Mchungaji mama Peres Butiku kutoka New York akiongoza misa ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru iliyofanyika siku ya...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UUNGANISHWAJI WA UMEME WA GRIDI YA...
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa uunganishwaji umeme wa Gridi ya Taifa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Josephat...
View ArticleBANK OF AFRICA ORGANISES AN IFTAR DINNER FOR CUSTOMERS IN DAR ES SALAAM
The Deputy Managing Director of BANK OF AFRICA – TANZANIA, Mr. Wasia Mushi delivers his welcoming remarks at the bank’s IFTAR Dinner at the Serena Hotel in Dar es salaam.The Deputy Managing Director of...
View ArticleWABUNGE WA MIKOA YA KUSINI WAIMWAGIA SIFA SERIKALI NA TANESCO KWA KUMALIZA...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(kushoto), akifurahia jambo na Wazitri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, (wapili kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda,...
View Article