Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PHOTO’S: Yaliyojiri jana kwenye NYAMA CHOMA, Picha 70 ziko hapa..

Picha na DjChoka

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge waumbuana kupokea rushwa bungeni

Mbunge wa Tunduru, Mtutura Mtutura (CCM).PICHA|MAKTABA  Kwa ufupiUchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki umeelezwa kutawaliwa na rushwa.Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITENGE NAJIVUNIA TANZANIA

KAMA KITENGE WAWEZA FUNGA HIVI STYLISHLY BASI SI LAZIMA USHONE VYOTE FASHIONISTA HAPO KAAMUA AFUNGE FUNDO PEMBENI KIVAZI KIMEKAMILIKA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA KUGOMEA DOLA LAKI 1 MASAA 12, CAMEROON WAKUBALI KURUKA KWENDA BRAZIL!

>>FIFA HUTOA DOLA 1.5 MILIONI KWA KILA NCHI KWA MATAYARISHO!BAADA KUGOMEA KWA MASAA 12 kupanda Ndege kwenda Brazil kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia wakipinga Bonasi hafifu, Wachezaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASI YA NAPE YAMPELEKA CCM RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA SAUT

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wanachama wa Tawi la CCM SAUT Kambarage na wananchi wa Nyamalango ,wilaya ya Nyamagana Mwanza ambapo aliwaambia kuwa CCM itaendelea kuongoza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuelekea Kombe la Dunia...Mahojiano na Halifa Ramadhan kutoka Brazil

Photo Credits: EyesOnNews.com Siku chache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la Soka huko Brazil, mambo mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusu maandalizi ya michuano hiyo.Kuna malalamiko na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhariri Mtendaji Gazeti la Jambo Leo Ameremeta

 Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO

Wadau tulio ughaibuni tuna mchango gani kwa nchi yetu kuepukana na hali hii ya watoto wetu kusomea chini ya mbuyu ?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CFAO YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WAMILIKI WA MALORI YA MERCEDES BENZ NCHINI

Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKURANI ZA DHATI

Ndugu Watanzania waishio ndani na nje ya Marekani, Jumuiya ya Watanzania waishio eneo la Ghuba (Bay Area) na vitongoji vyake, marafiki wote wa familia ya Marehemu Ndugu Mwesigwa Blandesi, Uongozi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USISHANGAE NDIO BONGO YETU,MBEYA WAHAMASISHANA KUZINDUA LIFT YA KWANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sudan K:Mazungumzo yatibuka Ethiopia

Waasi nchini Sudan Kusini bado wanaendelea kupigana na majeshi ya serikaliRais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar wanatarajiwa kukutana Jumanne katika juhudi za kumaliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msaada wa Matibabu kwa Mtoto Maimuna Yahaya (11)

  Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya  Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi  Tunu Juma Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILICHOJIRI KATIKA HITIMA YA MTOTO NASRA RASHID, NI YULE ALIYEISHI KATIKA...

Mwandishi wa habari wa Mwananchi Communiction ltd Hamida Shariff kulia akishiriki kuomba dua wakati wa kisomo cha hitima kwa mtoto Nasra Rashid aliyefariki dunia juni mosi mwaka huu katika hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEKUFA KUTOKA KWENYE BOX SASA KIAMA KITUPU

Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenyegari la polisi kwa staili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha na Ujumbe Mtamu wa Kim K kwa Kanye West Katika Siku yake ya Kuzaliwa

Jana (June 8), rapper Kanye West amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na umri wa  miaka 37 ikiwa ni mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo akiwa ndani ya ndoa.Mkewe Kim Kardashian, alichukua muda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Filippo Inzaghi ndiye kocha AC MIlan

Filipo Inzaghi ateuliwa kocha mpya wa AC MilanAC Milan imemfuta kazi mkufunzi wake Clarence Seedof baada ya kuhudumu kwa chini ya miezi 5 na kumtangaza Filipo Inzaghi kama kocha mpya.Seedof mwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA YA KANALI MSTAAFU ALI MWANAKATWE LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live