DIAMOND KUKINUKISHA KANSAS CITY 4TH OF JULY WEEKEND
NUNUA TICKET YAKO MAPEMA HAPAWWW.DIAMONDUSATOUR.COM
View ArticlePARTY MAALUM YA DIAMOND KUFANYIKA LOS ANGELES, CA JUNE 28, 2014
Diamond Event is a Red Carpet Event to be held @ the Magnificent OC Banquet (http://www.ocbanquet.com)/NUNUA TICKET YAKO MAPEMA HAPAWWW.DIAMONDUSATOUR.COM
View ArticleTEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU
AFYA KWA WANA DMV KWANZAKatika uongozi wangu kwa mara ya kwanza tuliweza kuleta Wataalamu wa Afya kutoa Huduma ya BURE ya afya kwa watanzania hapa DMV. Jumuiya iliandaa hii ikishirikiana na HCPMetroDC...
View ArticleJE, NI NINI MGOMBEA URAIS DMV LIBERATUS MWANG'OMBE "LIBE" AMEIFANYIA DMV?
Audio clip hii hapa ni Mh. Idd Sandaly akikili mchango wangu kwenye michezo DMV kwenye kampeni za urais 2012. Mimi, Liberatus "Libe" nilikuwa namfanyia kampeni pia.Nimeulizwa swali Viber na Aunt...
View ArticleKenyatta:Mauaji yalishinikizwa kisiasa
Mauaji ya Mpeketo yemesababisha vifo vya watu zaidi ya hamsiniRais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa mauaji yaliyofanywa katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji...
View ArticleMPYA KABISA: NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA RASMI LEO...
Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo...
View ArticleUGWACHANYA FC ATWAA KIKOMBE LIGI DARAJA LA TATU (KISWAGA CUP) IRINGA VIJIJINI
Mratibu wa Muungano Cup,, Daudi Yasin akimkabidhi kampteni wa Igwachanya FC kombe la ubingwa wa ligi daraja la tatu wilaya ya Iringa Vijiji maarufu kama Kiswaga Cup, katikati ni mdhamini wa kombe hilo,...
View ArticleUGWACHANYA FC ATWAA KIKOMBE LIGI DARAJA LA TATU (KISWAGA CUP) IRINGA VIJIJINI
Mratibu wa Muungano Cup,, Daudi Yasin akimkabidhi kampteni wa Igwachanya FC kombe la ubingwa wa ligi daraja la tatu wilaya ya Iringa Vijiji maarufu kama Kiswaga Cup, katikati ni mdhamini wa kombe hilo,...
View ArticleHUKU MUMEWE AKIPANDA KIZIMBANI, FLORA MBASHA AANDISHA MANENO YA KIUCHOKOZI...
Flora Mbasha "Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. Maana dhiki yetu ni nyepesi iliyo ya muda kitambo tu, yatufanyia...
View ArticleMAKUBWA: AHARIBU VITU VYA HAWARA BAADA YA KUNYIMWA UNYUMBA
MAKUBWA! RB nambari TBT/RB/3478/2014 ya Kituo cha Polisi Tabata, jijini Dar es Salaam ina kesi ya dereva taksi aliyepatikana kwa jina moja la Lindoya akidaiwa kuharibu mali za Asia Hakika kwa sababu...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA VIDEO MPYA YA MADEE-PAULINA ITAKAYOACHIWA HIVI KARIBUNI
.Picha zote kwa hisani ya http://harakatizabongo.blogspot.com/
View ArticleDEREVA AZUA KIZAA ZAA BAADA YA KUSABABISHA AJALI NA KUMGONGA KIJANA:MLOWO...
Picha Eneo ajali ilipo tokea na kuvunja mguu wa kijana huyu Pichani ni Gari iliyo sababisha ajali Hiyo ikiwa Pembeni kidogo mwa Barabara eneo ambalo ajali hiyo imetokea.Picha Kijana ambaye jina lake...
View ArticleOKOCHA AMLAUMU KESHI
Nahodha wa zamani wa Nigeria Jay Jay Okocha amemlaumu kocha Stephen Keshi kwa timu yake kushindwa kucheza vizuri katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia kundi F dhidi ya Iran siku ya Jumatatu....
View ArticleMBASHA MBELE YA PILATO KWA MALA YA KWANZA KESI YA UBAKAJI KESI YA AHIRISHWA...
Emmanuel Mbasha (kulia) akiwa na mkewe Flora Mbasha.MUME wa mwimbaji Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka...
View ArticleMHE. VUAI ALI VUAI AUMWAGIA SIFA UONGOZI CCM DMV KWA KUFANIKISHA UCHAGUZI
Mh VuaiAli Vuai Naibu katibu mkuu Zanzibar aupongeza uongozi wa Tawi, CCM DMV Marekani kwa kufanikisha uchaguzi wa Katibu wa Tawi, Mh Naibu katibu Mkuu Zanzibar alitoa pongezi hizo leo kupitia kwa...
View ArticleUFUNGUZI WA UKUMBI MPYA WA DISCO AT DOWNTOWN BONGO
Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jengo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana...
View Article