Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPF WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI KATIKA MAONYESHO YA 38 YA SABASABA

Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa wateja waliotembelea Banda la PPF kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE 2ND ANNUAL MISS TANZANIA USA PAGEANT

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA WA BODA BODA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA WAANDAMANA

Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Norman Kibanda, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao juzi waliandamana hadi kwenye kituo hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUKIO KATIKA PICHA HII NI IRINGA TUU: TAZAMA VIJIMAMBO VYA BODA BODA HUYU!

 Boda boda akiwa kazini Anajiita Boda boda mzungu Swali linakuja kwa wana usalama wa Barabarani je hii ni sawa hawa kuvaa Mask?IRINGA YETU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete awajulia hali Mzee Hashim Mbita na Mbunge Donald Max

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mbunge wa Geita Donald Max aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni.Rais Kikwete akiwa hospitalini hapo alimjulia hali pia Brigedia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIEGO COSTA ATUA RASMI DARAJANI

Chelsea wamethibitisha kumsajili rasmi Diego Costa baada ya kufikia makubaliano na Atletico Madrid. Chelsea ilitaka kukamilisha usajili huo kabla ya Kombe la Dunia kwa pauni milioni 32. Jambo hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME AMTWANGA NYUNDO KICHWANI MKE WAKE,KISA ANATAKA MKE MWINGINE

 Faustina Selali, akiwa katika maumivu makali baada ya kushambuliwa na mumewe.DAH! Inasikitisha sana jamani. Faustina Selali, 38, mkazi wa Mgeta, Mvomero mkoani Morogoro, yupo kwenye mateso makali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

KATIKA TUKIO LA KWANZA:MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA RAHABU KIHANIKU (60) MKAZI WA KIJIJI CHA KIKOTA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALI YA SERIKALI MAKANDANA – TUKUYU KWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA ACHEZEA KICHAPO ALIPOKUWA AKITAKA KUIBA ENEO LA KIGAMBONI

 Aliye vaa singlet nyeupe ni kibaka aliyekuwa akitaka kuiba akiwa ameshikwa na Polisi jamii aliyevua shati kupambana na Kibaka huyo. Baadhi ya Vijana wakitaka kumtandika kijana huyo mwizi Kibaka huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKUNDI CHA WANAFUNZI WALIOSOMA MWAKALELI CHA WHATSAPP CHATOA MSAADA KWA...

 Wanafunzi wa zamani waliosoma Mwakaleli ambao wapo 36 waliopo katika kundi (Group) katika mtandao wa Whatsapp hivi karibuni waliungana pamoja na kwenda kutoa msaada kwa watoto 94 waishio katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: DMV Presidential candidate, Liberatus "Libe" for Bilateral...

Mr. Liberatus Mwang’ombe “Libe” held a bilateral talks with Ambassador, Liberata Mulamula, and Hoh; Suleiman and Mkama on wide ranging issues related to economic and social cooperation between the DMV...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI YANAYODAIWA KUMUUA SISTA KWA RISASI HADI KUFA, YAKAMATWA

Na MOblog TeamPolisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia Kapuli,Zaidi ya  watuhumiwa hao pia watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sarkozy ahojiwa kuhusu fedha za uchaguzi

Nicolas Sarkozy, rais wa zamani wa UfaransaRais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anashikiliwa akihojiwa kutokana na tuhuma za kufanya ushawishi kuhusu kesi inayochunguzwa ya matumizi mabaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYANI MAKETE, MIRADI YA MAMILIONI YA FEDHA...

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akipokea mwenge wa uhuru wilayani mwake katika kijiji cha Kimani kata ya Mfumbi wilayani hapo jana Juni 30, 2014 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kocha wa Nigeria Keshi amejiuzulu

Kocha wa Nigeria Keshi amejiuzulu Kocha wa Nigeria coach Stephen Keshi amejiuzulu wadhfa wake katika timu hiyo .Keshi amejiuzulu punde baada ya timu ya Super Eagles kuondolewa kutoka kwenye kipute cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE SIKU UKIAMKA NA UKAKUTA KARIAKOO IMEKUWA CHINATOWN USISHANGAE NDIKO...

Pitapita ya Vijimambo New York na kutembelea mji unaoitwa Chinatown uliopo Manhattan, NYC na kujionea kila kitu kimeandikwa kichina ndipo Vijimambo ikakumbuka Watanzania wanavyolalama kuhusu Wachina na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANADMV NAOMBA KURA YAKO

HARRIET SHANGARAI MGOMBEA  WA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMVNdugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANDA LA JESHI LA MAGEREZA LANG'ARA KWA SAMANI ZA NDANI MAONESHO 38 YA...

 Sofa seti iliyotengenezwa kwa Ustadi mkubwa na Mafundi Stadi wa Jeshi la Magereza kama inavyoonekana katika picha. Sofa hiyo imetengenezwa kwa kutumia Mbao aina ya Mkongo ambao ni imara na hudumu kwa...

View Article

Malalamiko katika soko la Kariakoo - VOA MItaani

Wafanya biashara wadogo wadogo katika soko la Kariako na wateja wao wanalalamika kukandanizwa na wakuu wa wilaya ya Dar es Saalam ambao wanawapokonya mali zao na kuwalipisha fini.

View Article

AM Live June 27, 2014; Jill of All Trades, Vanessa Mdee

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>