Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAANZA KAZI UFUKWENI CHINI YA KOCHA MAXIMO

Wachezaji wa Young Africans wakiwa mazoezini leo asubuhi Coco BeachKikosi cha Young Africans leo asubuhi kimeendelea na mazoezi katika Ufukwe wa Coco Beach chini ya kocha mkuu mpya mbrazil Marcio...

View Article


tarsis masela ft mzee yusuf(Tabia Mbaya)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VOTING FOR MISS AFRICA USA 2014 HAS OFFICIALLY BEGUN, PLEASE VOTE FOR JOY...

Miss Tanzania USA Pageant Joy KalemeraI just wanna let you know that voting for Miss Africa USA 2014 has officially begun. Please share the link (below) with your subscribers for their support. Voting...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA PROPERTY...

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU KIJIUA KWA KAIMU BALOZI WA LIBYA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo imepokea taarifa kutoka Ubalozi wa Libya hapa nchini kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Bwana Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa kujipiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHOGA, MCHEPUKO HUO, BAKI NJIA KUU

HEYA heya, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo.Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi tungepumua kwa mahesabu kama wagonjwa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA...

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni Meneja Uhusiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA WAJASILIAMALI WANAOPENDA KUCHUKUA MEZA KWENYE SHEREHE YA VIJIMAMBO

Kamati ya maandalizi ya sherehe ya Vijimambo itakayofanyika Sept 13, 2014 inapenda kuwataarifu na kuwakaribisha kushiriki kwenye sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo wajasiliamali wote wanaopendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CULTURAL WARS SASA IMEKAMILIKA NA SASA UNAWEZA KUPATA COPY YAKO, PITIA HII...

Filamu Mpya ya Cultural Wars Sasa Yapatikana! Wahi Kujipatia DVD! Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars” iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: JE? NINI KILICHO ZUNGUMZWA UBALOZINI NA MGOMBEA WA URAIS DMV...

        Mgombea wa kiti cha Urais DMV, Liberatus Mwang’ombe, July 1, 2014 alipata fursa ya kutembelea ubalozi wa Tanzania Washington, D. C., ambapo alilakiwa na balozi Liberata Mulamula.  Liberatus...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW YORK TANZANIA COMMUNITY

Ndugu Wanajumuiya,Kufuatia maombi kutoka kwa Wanajumuiya wenzetu wanaofunga kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani (ambao ni mwezi ujao) na hivyo watakuwa na swaumu kipindi hicho, wameniomba tusogeze kikao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJARI MAENEO YA BUNJU A JIONI NII

UZEMBE WA MADEREVA NDIYO CHNZO CHA AJARI TANZANIA AJARI HII IMETOKEA BUNJU A DAR-SALAAM. DEREVA WA LORI ALITAKA KULIPITA GARI DOGO  LILILOKUWA MBELE YAKE WAKATI HUO HUO KARI DOGO HILO LILIKUWA LINA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKIONA HII UNAWEZA KUJIKUMBUSHA ULIKO TOKA NA HAPO ULIPO SASA

Hii ni kwa wale tuliokulia mazingira ya ujamaa na kujitegemea tulianza kujitegemea toka umri huu. Je unakumbuka nini ukiona picha hii na hapo ulipo sasa?. Jitiririshe na mawazo yangu hapa chini labda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Libya Tanzania ajiua

Balozi wa Libya nchini Tanzania amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam , John Solombi anasema kuwa balozi huyo kwa jina Ismail Nwairat, alijipiga risasi Jumanne usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE, NI NINI MGOMBEA URAIS DMV LIBERATUS MWANG'OMBE "LIBE" AMEIFANYIA DMV?

Na Liberatus Mwang'ombeLIBERATUS "Libe" MWANG’OMBE, MPH, BSRC, RRT-NPS.Intern:The Division of Health Interview Statistics (DHIS) at the National Center for Health Statistics (NCHS)/United States...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA

Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).Kampuni hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UTENGENEZAJI BORA WA...

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi  Seif Idd akikabidhi zawadi ya Mshindi wa kwanza kwa Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga. Jeshi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA WMBO MPYA WA NEY LEE FT NEY WA MITEGO-USINIKATAE

View Article

NDOA YA DIDA KUVUNJIKA; MUMEWE AFUNGUKA MAZITO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASANJA NI VIZURI UKACHAGUA MOJA!

KWAKO, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’. Naamini u mzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Kwa upande wangu nipo sawa, nakimbizana na maisha.Nina machache ya kukushauri kuhusiana na maisha...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>