Kampuni ya TTCL Yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba...!
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo. Muonekano wa Banda la TTCL kwenye...
View ArticleMFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA...
Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania...
View ArticleRAIS OBAMA AWAPONGEZA GOALKEEPER WA TEAM YA TAIFA NA CAPTAIN KWA KUWAPIKIA SIMU
Dialling in: America president Barack Obama rang USA stars Clint Dempsey and Tim Howard on Wednesday.Edge of your seat! Obama watched the World Cup defeat against Belgium at the Eisenhower Executive...
View ArticleSAGA LA MBASHA NA FLORA, MBASHA AMSHITAKI GWAJIMA
Mambo juu ya mambo! mvumo mkali wenye kuogofya unaendelea kutamalaki katika ndoa ya wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, safari hii ‘topiki’ siyo zile tuhuma za ubakaji...
View ArticleMCHOMVU NA B12 WAZICHAPA LIVE HEWANI,WAPIGWA RED CARD.
MCHOMVU. B12. DJ FETTY.WATANGAZAJI wa kipindi Double XXL cha Radio Clouds fm 88.5 Dar, Adam Mchomvu, Dj Fetty...
View ArticleMwakyembe atema 13 uwanja wa ndege
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akitangaza kuondolewa kwa watumishi 13 katika Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jana ambao wamebainika kuwasumbua wasafiri kutoka nje ya nchi kwa...
View ArticleSHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO CHEZEA CHANDIMU WEWE JITIRIRISHE HII...
NAAMINI UMECHEZA SOKA ENZI UKIWA MDOGO, HIZI NDIYO SHERIA TULIKUWA TUNAZITUMIA NA IKIWEZEKANA KILA MKOA, WILAYA NA KITONGOJI ZILIFANANA KABISA!1. dogo mnene lazima aweGolikipa2. Mwenye mpira ataamua...
View ArticleTIMU YA ALGERIA KUCHANGIA $ 9 M PESA WALIZOPATA KWENYE WORLD CUP WASIOJIWEZA...
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Algeria ilishoshiriki kombe la Dunia wamesama fedha walizopta kwa kuingia kundi la timu 16 kwenye mashindano hayo ya kombe la Dunia ambazo zinakadiriwa kufikia milini...
View ArticleINASIKITISHA SANA NA HUU UOZO KATIKA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA DAR ES...
Mgonjwa akiwa hoi hospitalini bila huduma. UOZO MAHOSPITALINI... OFM YAIFUNGIA KAZI PALESTINA.Katika habari hiyo, mapaparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ walitinga Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni,...
View ArticleHUU NDIO UKATILI HUU ULIOFANYWA NA MWANASHERIA MAARUFU NCHINI KWA BINTI HUYU...
1. Ndugu Wanahakati.2. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.Wasalaam.Mtoto MELINA amakumbwa na matatizo makubwa sana. Anahitaji msaada wetu sote kama Watanzania na wapenda haki.Melina...
View ArticleMbowe amshangaa Pinda kuhusu Ukawa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.PHOTO|FILE Kwa ufupiAkizungumzia kauli hiyo na kituo cha Radio One jana asubuhi, Mbowe alisema: “Nashindwa kujua Waziri Mkuu...
View ArticleTahadhari ya mashambulizi Uganda
Polisi wako macho mjini Kampala Polisi nchini Uganda wamedhibiti usalama mjini Kampala kufuatia onyo la mashambulizi ya kigaidi kupangwa kufanywa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe.Maafisa...
View ArticleTAARIFA MUHIMU SANA KWA WANAFUNZI KUTOKA BODI YA MIKOPO: TAHADHARI KWA...
TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI...
View ArticleBABA AKUTWA AMEJINYONGA CHUMBANI KWA WATOTO WAKE
Mwili wa Mawazo Wilbard Kazungu (31) ukiwa nyumbani kwake ukining'inia baada ya kujinyonga katika chumba cha kulala watoto wake . Eneo la chumba ambako alikaa kitandani na kunywa dawa ya kuoshea mifugo...
View ArticleWAPENZI WA SOCCER MAREKANI WAIOMBA WHITE HOUSE KUIBADILISHA JINA REAGAN...
Soccer fans to immortalize U.S. goalkeeper Tim Howard by renaming an airport in his honor.America is caught in Tim Howard fever, and rightfully so. There was a magic confluence that saw him play at his...
View ArticleJIKUMBUSHE MITAA YA KARIAKOO
Hii ni Mitaa ya Kariako najua wengi wenu mnaokaa huko ughaibuni mitaa mingine mtakuwa mmeisahau.1. Kikambawe, 2. Mafia, 3. Jangwani, 4.Simba, 5.Congo, 6. Mkunguni.7. Pemba, 8.Sikukuu, 9. Livingtone,...
View ArticleMALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND AZURU TANZANIA KWA MWALIKO WA MKE WA...
Malkia wa Swaziland Mheshimwa Nomsa Matsebula akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Ndugu Nurdin Babu mara baada ya helikopta iliyomchukua kutua kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Nyamisati huko...
View ArticleJANUARY MAKAMBO ATIRIRIKA NA KUSEMA 90% YEYE KUINGIA KINYANG'ANYIRO CHA URAIS
Mazungumzo ya Salim Kikeke na January Makamba kuhusiana na katiba mypa na rais atakayechukua 'mikoba' ya Jakaya Kikwete.
View Article