WAZIRI WA ARDHI PROFESA ANNA TIBAIJUKA ASIFU KAZI INAYOFANYWA NA SHIRIKA LA...
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felic Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya...
View ArticleNDG. SEKI KASUGA MJUMBE KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA AAPISHA MAKAMANDA 9...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Mh. Seki Boniventure Kasuga alihudhuria Sherehe za kuwa Apisha Makamanda 8 wa Matawi ya Uvccm na Kata moja tarehe 28/6/2014.
View ArticleMBUNGE WA LUDEWA - CCM DEO FILIKUNJOMBE AWAHAKIKISHIA UMEME KABLA YA...
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa meneja wa TANESCO mkoa wa Iringa ambae pia ni mhadisi wa mipango mkoa wa Iringa Bw Christopher Nguma wakati...
View ArticleKARIBUNI SAFARI CLUB 4TH OF JULY WEEKEND KESHO IJUMAA, JUMAMOSI
LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB INVITES YOU THIS FRIDAY, SATURDAY AND SUNDAY REGGAE NIGHT @ CLUB SAFARI WASHINGTON, THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM...
View ArticleNafasi za Masomo University of Oldenburg,Germany
Kwa wale wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu nchini Ujerumani.Kuanzia B.A,Bsc,M.A mpaka Phd Watanzania tumieni nafasi hizi,chuo kinapokea wanafunzi hata kwa vijana wa Kitanzania walio maliza kidato...
View ArticleJUA IMANI YA MSINGI YA MGOMBEA WAKO WA URAIS WA DMV, USA, LIBERATUS...
Na Liberatus Mwangombe “Libe” Nikirudisha kidogo nilicho nacho kwenye jamii yanguTokea maisha yangu ya utotoni nakumbuka kuwa na hamu, uchungu na kutambua umuhimu wa kubadilisha maisha ya...
View ArticleJE? NINI MCHANGO WA MGOMBEA URAIS DMV LIBERATUS "LIBE" KWENYE URAIA PACHA?
Na Liberatus Mwang’ombe "Libe" Nikiwa kama mwana Diaspora nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya mchakato wa kupata katiba mpya nyumbani. Kama mTanzania ninaye jishirikisha na mambo ya nyumbani kwa...
View ArticleChuji atua Azam FC
Aliyekuwa kiungo wa Yanga na timu ya Taifa (Taifa Stars), Athumani Iddi ChujiAliyekuwa kiungo wa Yanga na timu ya Taifa (Taifa Stars), Athumani Iddi ‘Chuji’ amesajiliwa kwa mkataba wa muda mfupi wa...
View ArticleFraud charge dropped against UNC's Nyang'oro
The fraud charge against former head of University of North Carolina at Chapel Hill Department of African and Afro-American Studies, Dr. Julius Nyang’oro, has been dropped, Orange County District...
View ArticleWaliotemwa JNIA mikononi mwa Takukuru
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward HoseahTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuwahoji na kuwachunguza wafanyakazi 13 wa wizara tatu waliotimuliwa na Waziri wa Uchukuzi,...
View ArticleTANGAZO LA DINA MARIOS "DADA DINA"
Habari za leo,natumaini upo salama.Napenda kuchukua nafasi hii kukushirikisha sehemu ya shughuli zangu za kijamii.Mwaka jana nilianzisha kitu kinachoitwa dada dina cares.Hii ni baada ya kushinda tuzo...
View ArticleVIRGINIA INTERNATIONAL UNIVERSITY CHUO KIKUU CHENYE MASHARTI NAFUU KWA...
GRADUATE PROGRAMSVIU’s graduate programs cover a broad range of subjects. Graduates from these programs are qualified for diverse job opportunities.UNDERGRADUATE PROGRAMSNow is the time to pursue your...
View ArticleDK.SHEIN AKUTANA NA MWANA MFALME WA JAPAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino alipowasili Ikulu mjini Zanzibar leo akifuatana na Mkewe...
View ArticleWakala wa utaliii walaani kitendo cha watalii kuzuiwa kuingia katika hoteli.
Wakala wa utalii nchini wamelaani kitendo cha watendaji wa idara ya wanyamapori nchini cha kuwazuiya watalii kuingia katika hoteli walizofikia kwa siku tatu huku wakiwa na silaha za moto kwa madai ya...
View ArticleDALADALA YA MBAGALA UBUNGO YAPATA AJALI TABATA MATUMBI LEO
Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata...
View ArticleUGOMVI WA ALI KIBA NA DAIMOND UNASABABISHWA NA MABEPALI WA MUZIKI WA BONGO...
ALLY SALEH NA NASIBU ABDUL simajina mageni kwenye medani ya muziki wa bongoflava kwan ally saleh kiba ana fahamika kama ALLY KIBA na NASIBU ABDULana fahamika kama DAIMOND ndio majina yao maarufu ya...
View Article