RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa...
View ArticleKING CLASS KING CLASS MAWE AMTAKA CHEKA AACHE KUCHONGA NGENGA KING CLAA
BONDIA Ibrahimu CLass 'King Class Mawe' amekuja juu baada ya bondia Cosmas Cheka kupanda ulingoni siku ya Desemba 31 mwaka jana na kusema kwa Dar es salaam hana mpinzani na hakuna bondiaanaemuweza...
View ArticleArticle 4
MHE. NIMROD MKONONimesikitishwa na jinsi Chama kikuu cha upinzani ambavyo kwa siku za hivi karibuni kimeingia katika migogoro ambayo inaathari kubwa kwa ustawi wa demokrasia hapa nchini.Nimesoma kwenye...
View ArticleMAHAKAMA YAMFILISI WEMA
Stori: Waandishi Wetu YAMETIMIA! Ni kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu aliyesifika kwa kumwaga fedha kila kukicha ameanza kufilisiwa, Ijumaa Wikienda lina...
View ArticleRAIS WA ZIMBAMBWE BWANA MUGABE HALI MBAYA AZIMIA GHAFLA
Rais wa Zimbabwe, Bw. Robert Mugabe.Na.MOblog kwa msaada wa mtandao.Mtu kutoka ndani ya chama tawala cha serikali ya Zimbabwe amesema kuwa kiongozi wa muda mrefu na rais wa taifa hilo la Afrika, Robert...
View ArticleRAMBI RAMBI KUTOKA CCM NORTH CAROLINA
Tawi la CCM North Carolina na Jumuiya yote inapenda kutoa salamu za rambi rambi kwa ndugu na jamaa wote wa dada mpendwa marehemu Zainab Buzohera wa Washingto DC/Maryland. Marehemu alikuwa jasiri na...
View ArticleHAPA NA PALE YA VIJIMAMBO KUTOKANA NA HALI HEWA MWANZO WA MWAKA 2014...
Vikwangua hanga vya mji wa Chicago ulikumbwa na ukungu mkubwa uliosababisha hadi ndege kusimamisha shughuli zake. Hali hii ilikuwa imesababisha kuwepo kwa baridi kali sana tempreratures kuwa chini ya...
View ArticleJACK PATRICK MAZITO TENA YAIBUKA
Stori: Waandishi WetuHABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo.Mrembo huyo...
View ArticleNahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar
Zanzibar. Wakati watu saba wakiwa bado hawajaonekana baada ya boti ya Kilimanjaro II, kupata ajali na abiria kuzama baharini, nahodha wa chombo hicho alitoa taarifa za uongo kuhusu ajali hiyo...
View ArticleWafuasi wa Chadema watwangana tena Dar
Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto...
View ArticleUandikishaji Darasa la Kwanza utata mtupu
Dar/Moro/Mbeya. Msimu wa uandikishaji watoto wanaoanza darasa la kwanza, umeanza, huku kukiwa na malalamiko lukuki hasa kutokana na michango inayotozwa kwa watoto wanaokwenda kuanza darasa la...
View ArticleKalenga ilivyozizima mazishi ya Mgimwa
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma, wakiweka shada la maua juu ya kaburi la aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, katika mazishi yaliyofanyika kijiji cha Magunga Kata ya Maboga eneo...
View ArticleUBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO...
Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji Maji yakiwa yamezunguka stoo za wafanya biashara eneo la viwanda sido Hapa...
View ArticleKenyan killed in US while preparing to return home
Georgia, USA: A 37-year-old Kenyan man has been killed in mysterious circumstances in the US just as he was preparing to relocate home after 15 years abroad. Eric Kiptui was brutally murdered in his...
View ArticlePOLISI WAMNASA MWANGA USIKU
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Mtu mmoja asiyefahamika jina anayedaiwa kuwa ni mwanga amenaswa na polisi baada ya kudondoka katika eneo la Ilala Bungoni, jijini Dar akiwa kama...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI NA MIGODI WA ALGERIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya...
View Article