Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APOKEA SARAFU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Safari ya mwisho ya mpendwa wetu Flora Komba Glimsdale, Sattle, WA

Mchungaji Nteze John Lungu (watatu toka kushoyo) aliyekuwa mchezaji wa timu ya Pamba ya Mwanza na Simba Sports Club ya Dar es Salaam pamoja na Watanzania wa Seattle, ndugu, jamaa na marafiki kwa pamoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE ASHINDA KESI MAHAKAMA KUU

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya...

View Article

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MWANAIDI MAAJAR AWAPA POLE WAZAZI WA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA...

 Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Balozi Mwanaidi Maajar akiongea na mama wa marehemu wa Zainab Buzohera alipokwenda kuwapa pole wanafamilia wa mpendwa wetu nyumbani kwao Ukonga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WHO RUNS DSM?

kwa wale ambao hawafahamu ni kwamba mimi na raia wenzangu tunasimamia kitu kinaitwa BBALL KITAA...jukwa la kukuza mpira wa kikapu kitaani pamoja na hip hop music.sasa kila ijumaa moja ya mwezi huwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATUUNI HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA KUTOKA NJE YA MAHAKAMA KUU DAR KABLA YA HUKUMU YA ZITTO

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Z. Kabwe pamoja na Mwanasheria wake,Albert Msando (kulia) wakiwasili katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam leo huku wakiongozana na wafuasi wanaopinga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIMI NA WEWE YA DAYNA YAVUKA BODA, YATAMBULISHWA CITIZEN RADIO NA TV, APEWA...

Jana katika kipindi cha meseto East Afrika cha Citizen Radio, kwa mara ya kwanza msanii toka Tanzania mwana dada DAYNA NYANGE, aliweza kupata sapoort kubwa baada ya Host wa kipindi hicho Mzazi Willy...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA ANDROID NA GALAXY TAB KUHUSIANA NA APP YA...

Wadau wa Blog ya Vijimambo wiki kama mbili kulikua na tatizo la ufundi kwenye App ya Vijimambo kwa watumiaji wa simu za Android na Galaxy tab kwa sasa tatizo hilo lishapatiwa ufumbuzi  kama App yako...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWASIRA ZA ZITTO KABWE ALIVYOIBWAGA CHADEMA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES...

Mahakama ya rufaa kanda ya Dar es Salaam imempa ushindi mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zitto Kabwe katika shauri lake la kupinga kamati kuu ya chama chake kujadili uanachama wake hadi rufaa aliyokata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA IRINGA YALIA NA UJENZI HOLELA

Meya wa Manispaa ya Iringa Aman Mwamwindi akizungumza na wanahabari leo kuhusu mambo mbali mbali yanayoendelea.Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Aman Mwamwindi akizungumza na wanahabari ofisini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAASKOFU WAMTEMBELEA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBANI KWAKE ZANZIBAR.

Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa binti wa Mratibu wa Dua maalum ya kuiombea Zanzibar, Clare Allen Mbaga walipomtembelea na kumuombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YATOA TAMKO KUFUATIA KUTEKWA MWENYEKITI WA CHAMA TEMEKE

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko taarifa za tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick.Chama kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUONEKANO MPYA WA MILLEN MAGESE.

KWAHISANI YA BONGO CLAN

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA ALAMA HIZI, ANZA MWAKA NA FIKRA MPYA!-2

KUDUMU katika uhusiano kwa muda mrefu bila ndoa si kigezo kwamba mwenzi wako anakupenda. Tulia kwa muda, anza mwaka ukiwa na fikra mpya. Hebu jiulize, uko kwenye uhusiano na mwenzi wako kwa muda gani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPO KAMA DUME LA BATA FANYA HIVI

MUHALI gani mabibi na mabwana nina imani tumeuanza mwaka vizuri, najua mmenisubiri kwa hamu kutaka kujua nimekuja na mapya gani. Jamani hakuna jipya chini ya jua, zaidi ya kukumbushana tulivyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama yake Dk. Mgimwa atoa ya moyoni

Mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na mbunge wa KalengaConsolatha Semgovano, mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na mbunge wa Kalenga, mkoani Iringa, marehemu Dk.William Mngimwa, amevunja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majina 5,400 yawania ujumbe Bunge la Katiba

Balozi Ombeni SefueSerikali imeanza mchakato wa kuchambua asasi na majina ambayo atakabidhiwa Rais, kuwa miongoni mwa wajumbe watakaounda Bunge maalumu la Katiba.Akizungumza na NIPASHE jana, Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

Vinc Mughway From Dar es Salaam, TanzaniaTimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>