Pinda kuitia hasara Serikali
Sehemu ya Barabara ya Mlandizi- Chalinze, ikiwa imeharibika kutokana magari makubwa kuzidisha uzito na kusababisha uharibifu huo.Picha na MaktabaDar es Salaam: Uamuzi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda...
View ArticleShabiki wangu usijinyonge, nitajirekebisha
Picha nikielelezo cha stori yenyewe sio shabikiKuna hayawani mmoja alikwenda kuharibu ukweni bila kuelewa. Kakutana na Baba mkwe, akaanza kumsifia mshenga wake kwa jinsi alivyofanikisha ndoa yake....
View ArticleMiss Tanzania USA 2013 Highlights
The Miss Tanzania USA Pageant is brought to you under the grand Patronage of The Embassy of Tanzania in Washington D.C. and the leadership of its founder Winny Casey. The pageant goal is to help young...
View ArticleLuxury spending ban on ministry bosses
By SAMUEL SIRINGIThe National Treasury has announced tough austerity measures aimed at raising Sh121 billion needed to pay for the salaries of teachers, lecturers, health workers and allowances for...
View ArticleHIDAYA MAHITA ATUA DMV SALAMA AKITOKEA NYUMBANI ALIKOKUA AMEKWENDA KWA...
Hidaya Mahita akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Omar Mahita VIP Lounge katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam, Tanzania mara tu...
View ArticleBalozi Seif Ali Iddi mgeni kwenye Mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwahutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar waliomaliza masomo yao ya shahada ya kwanza kwenye...
View ArticleLIVE,MWIGULU NCHEMBA AVUNA WANACHAMA WAPYA 146,AFUNGUA MASHINA
Naibu Katibu Mkuu akizindua Tawi la Wakereketwa Kata ya Chitama wilaya ya Tandahimba hii leo Tar.18/01/2014,Hapa akipandisha Bendera ya Chama iendelee Kupepea kama na Kuwaangaza wote wanaoamini katika...
View ArticleNAPE AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA MAGOMENI WILAYA YA BAGAMOYO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Bagamoyo alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za udiwani kata ya Magomeni. Katibu wa NEC Itikadi...
View ArticleDkt. Cyril August Chami asikitishwa na kufadhaishwa na mtu aliyefungua...
Naitwa Cyril August Chami (PhD) Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini na Mjumbe wa NEC-CCM kupitia Wilaya ya Moshi Vijijini.Nimesikitishwa na kufadhaishwa sana na mtu au watu waliotengeneza akaunti kwa...
View ArticleMALALAMIKO YA KUBAMBIKIZWA MAKESI VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHADEMA KATA YA...
NA MAENDELEO CHADEMA, WILAYA YA MBARALI,S.L.P 11,RUJEWA-MBEYA.KUMB. NA. CDM/MBR/RJ/01 22/12/2013MKUU WA WILAYA YA MBARALI,S.L.P 20,RUJEWA-MBARALI.YAH: MALALAMIKO YA KUBAMBIKIZWA MAKESI VIONGOZI NA...
View ArticleMH:MWIGULU NCHEMBA AFUNGUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI MKWITI- TANDAHIMBA
Mh:Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano Kata ya Mkwiti Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara kwaajili ya Kufungua Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Udiwani,Licha ya Mvua Kubwa Kunyesha hadi mwisho wa...
View ArticleKIFIMBO CHA MALKIA CHA WASILI NCHINI TANZANIA LEO
Kiongozi wa msafara wa Kifimbo cha Malkia kwa Ukanda wa Afrika Mashariki Kipchoge Keino (kulia) akimkabidhi Kifimbo cha Malkia kwa Mkuu wa msafara kwa Tanzania Gullam Rashid mara baada ya kuwasili...
View ArticleHADITHI HADITHI…..HAPA NI HADITHI YA MVUVI NA SAMAKI WA DHAHABU!!!
Ilipoishia ”Usiwe na hofu, baba kizee enenda kwa amani sasa.” Baba Kizee alirejea kwa mkewe mzuri. Lo! Akaona nini? Jumba zuri na barazani mkewe amesimama , amevaa vazi la maridadi la nyoya jema. Na...
View ArticleCHOOMOOOO, KUMBIKUMBI HAO
Hiki ni kichuguu ambacho kimefunikwa kwa umahili kabisa, ambapo kote hakuna mwanga isipokuwa sehemu moja tuu. Hili ni Tundu dogo maalumambapo kumbikumbi hawa hupumbazika na mwanga huu wakijua kuna...
View ArticleHUU NDIO UKWELI WA MAMBO . CHADEMA KUINGIA UCHAGUZI MKUU 2015 IKIWA DHAIFU
MHE. FREEMAN MBOWE SAFARI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekea katika uchaguzi mkuu wa 2015 imeelezwa kuwa ni yenye kutia shaka na kimetabiriwa kufika mwaka huo kikiwa...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA JUMUIYA YASFRIKA MASHARIKI
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta (katikati) akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es salaam kuhusu Serikali ya Tanzania ilivyodhamiria kuimarisha...
View ArticleHENRY AITABIRIA UBINGWA ARSENAL.
Mshambuliaji mstaafu mwenye uraia wa kifaransa (Thiery Henry) aliyekuwa akiichezea club ya Arsenal iliopo kaskazini mwa jiji la London amesema kuwa timu hiyo itatwaa ubingwa wa ligi kuu ya uingereza...
View ArticleDRIVERS WANTED ASAP (WASHINGTON DMV)
NAFASI ZA KAZI TUNAHITAJI MADEREVA WACARS . SUV . MINIVAN WASHINGTON DMV ONLYCITY AND LONG DISTANCE PASSENGERS TRANSPORTATION AND DELIVERY SVCEMAIL DMKGLOBAL@ME.COM / 3016616207 /2028308904
View ArticleMAALM SEIF AHUTUBIA WANACHAMA WA CUF KISARAWE
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Msanga, Wilaya ya Kisarawe.Naibu Mkurugenzi wa Haki za Binadamu, Habari na Uenezi wa CUF Taifa bwa....
View Article