Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM YAKAMILIKA MBEYA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Sokoine ,ambapo alisema maandalizi yote yamekamilika ,majukwaa yamekamilika, uwanja umerekebishwa vizuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI UVCCM MKOA WA IRINGA ATISHIA KUJIUZULU

 mwenyekiti UVCCM mkoa  wa Iringa Tumaini MsowoyaMWENYEKITI wa jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Iringa mwanahabari Tumain Msowoya ametishia kujiuzulu nafasi yake hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RADIOMBAO KUZINDULIWA UPYA LEO

RADIO MBAO: Ninaomba kuwafahamisha kuwa mie na mwenzangu @djkvelli mkongwe wa masuala ya entertainment kama dj nchini Marekani na mmiliki wa kituo maarufu cha radio mtandaoni, RADIOMBAO, tumeunganisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI POLISI WATANO WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KWA AJALI YA GARI MKOANI DODOMA

Baadhi ya wananchi wakiangalia gari hilo, lililopata ajali na kuua askari hao. Gari hilo lililopata ajali na kuua askari hao.Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Askari polisi watano mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA JUMUIYA YA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya Istiqaama, uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AWASILI INDIA KUANZA ZIARA YAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mashada ya mauwa wakati wa mapokezi nyake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la...

View Article

VIJIMAMBO WATOTO - The Lion, The Witch & The Wardrobe 1979 Animated Kids

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FOURTY YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV

Zainab Buzohera enzi ya uhai wakeDullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABAR:I MZEE MALECELA NA PAUL MAKONDA WAOMBE RADHI KWA...

Mwenyekiti CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja.   0.1 Kitendo alichokifanya hivi karibuni Ndugu Paul Makonda Katibu wa Chipukizi na Uhamasishaji pale alipoongea na vyombo vya Habari pamoja na mambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI 7 ZA KUVUNJA NDOA NA MBUNGE BIBI HIZI HAPA

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Rukwa, Rose-Sweeter Kasikila.Stori: Imelda Mtema na Ojuku AbrahamYULE ‘hendsam’boi’ Michael Christian (28) ambaye mwaka jana aliitikisa medani ya siasa Bongo...

View Article

Happy "B" Day Vijimambo

Vijimambo Team,Nawatakia kila la heri on this Big Day for Vijimambo's Birth memorable Day.Nawasifu sana Vijimambo Team kazi nzuri sana.  Hata mimi mama nawaunga mkono.  Ningekuwa hapo karibu ningekuja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjukuu wa Mandela aeleza babu yake alivyomfunda

Wakati wa mahojiano kati ya Ndaba Mandela na Joseph Msami wa Idhaa hiiNelson Mandela, ametutoka lakini uwepo wake utaendelea kuwa dhahiri . Hilo limedhihirika baada ya mjukuu wake Ndaba Mandela...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA NA JKT ORJORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO,SIMBA YASHINDA BAO 4-0

 Haruna Chanongo (shoto), akiwania mpira na beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf. Chanongo akimtoka beki wa Oljoro JKT. Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM AWASILI MBEYA ASINDIKIZWA NA BODA BODA KUTOKA UWANJA WA SONGWE

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano akipunga mkono wakati akishuka kutoka kwenye ndege jioni ya leo kwenye uwanja wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya tayari kwa sherehe za kuzaliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKISHIKWA, SHIKAMANA

Bwana na Bibi MwaibulaDear Lord, my wife is one of my greatest blessings from you. I thank you Lord for your wonderful gift of my lovely wife. Her Love is a gift that I’ve been opening for the past...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMMY DIMPOZ KUTUA KATIKA JIJI LA WAJANJA OAKLAND - CALIFORNIA WIKI IJAYO...

OMMY DIMPOZ POZ KWA POZ ATATUA KWA MARA YA KWANZA KATIKA JIJI LA WAJANJA KUFANYA SHOW HATARI. MA-DJ HATARI DJ TOM & BURT NDIO WATAKAO RUSHA ROHO KWA NYIMBO ZILIZOENDA SHULE NA VIFAA YA KISASA....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM MBEYA YAFANA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano katika kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi ,matembezi...

View Article


KWA WAPENDA MOVIE-A Godfather's Story Part 2 of 2 (Swedish Subs)

The true life story of mafia boss Joesph Bonanno. The story spans from Bonanno's early beginings in Italy, to his conquests in America.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

Olivia Andrew wa New Jersey.As God adds life to your years, may He add years to your life. Vijimambo team wishing you Happy birthday!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADADA WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA PAMOJA NA BLOG VIJIMAMBO SAFARI...

Wadada wakiwa na mabirthday Girls wakijiandaa kuingia ndani ya kiota pendwa mbaya cha burudani cha Safari Night Club kilichopo Washington, DC.Kenyatta akiwa na mama mwenye nyumba wake wakiwa ndani ya...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>