WENGI WAMLILIA KENNETH KIDAGO LYANGA
Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka Kanisani tayari kwa Safari.Mke wa marehemu Akilia kwa UchunguMkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu EATV, Mama Mary Nnko akielekeza jambo kwa Ndugu wa...
View ArticleJK AONGOZA SHEREHE YA MIAKA 37 YA CCM MKOANI MBYEYA
Mwenyekiti CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine jijini Mbeya kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofnyika leo Jumapili Mkoani...
View ArticleYANGA YAVUNJA MWISHO WA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA
Mshambuliaji mwenye speed 120 wa timu ya Yanga, Mrisho Ngassa (kuashoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Mbeya City, Deogratias Julius, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, JOHN CASMIR MINJA AHUDHURIA SHEREHE ZA...
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa...
View ArticleHappy Birthday! Vijimambo
Birthday and warm wishes are coming to your way from all of us over here.We wish you healthy, long and stable years to come.You are ideal for us to reach to our clients, Great Job and keep it...
View ArticleMSIBA TANZANIA NA NEW YORK
Familia ya Nestor Mwombeki Rweyemamu ya Mt. Vernon New York inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Theonestina Rweyemamu kilichotokea Feb 1st 2014. Valhalla New York.Marehemu ni mama yake...
View ArticleCHAMA CHA MAPINDUZI DMV KUADHIMISHA MIAKA 37 FEB 22, 2014 TABEER
TUNAPENDA KUWAALIKA WANACHAMA NA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE YA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA C C M ITAKAYOFANYIKA TAREHE 22 MWEZI HUU 22/2/14 KUANZIA SAA 10 JIONI TABEER HALL LANGLEY PARK CHINI YA...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UWAKILISHI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la...
View ArticleCCM kidedea jimbo la Kiembe samaki, yashinda kwa 77%
Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo Mahmoud Thabit Kombo mgombea kwenye uchaguzi mdogo kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi kwa asilimia 76.5 kwenye uchaguzi mdogo wa uwakilishi uliofanyika leo Jimbo la Kiembe...
View ArticleHABARI YA MUJINI NI OMMY DIMPOZ NDANI YA JIJI LA WAJANJA JUMAMOSI IJAYO
Ommy Dimpoz in Oakland, CA Feb 8th
View ArticleVURUGU KUBWA ZIMEZUKA MOMBASA KENYA NA KUZUA MTAFARUKU MSIKITINI WENGI...
Askari akijihami wakati wa vurugu kubwa zilizozuka leo majira ya jioni Jiji la Mombasa wakati Waumini wa dini ya Kiislamu wa Msikiti 'Masjid Mussa' ambapo waumini hao wamedaiwa kuwa walikuwa wameandaa...
View ArticleHAFLA YA KUMUAGA RASMI KAMISHNA JENERALI ALIYESTAAFU WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA
Kamishna Jenerali wa Magereza Mstaafu Evaristus Shikongo (amesimama katika Jukwaa) akitoa hotuba fupi mara baada ya kukabidhi rasmi Madaraka ya Uongozi wa Jeshi la Magereza Nchini Namibia kwa...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA TUNDUMA...
Naibu waziri wa Fedha Mh;Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo kwa Wafanyabiashara wa Mji wa Tunduma hii leo alipokutana nao kwenye Mkutano wa ndani kwenye Ukumbi wa High Class One akizungumza nao kuhusu...
View ArticleSHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA/ MAISHA PLUS
Fomu zaidi ya 4,000 za Mama Shujaa Maisha Plus zakusanywaMajaji 9 kusimamia zoezi la kuchaguwa wakulima wanawake 20 na vijana 45Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akielezea kwa...
View ArticleSIKU YA SHERIA DUNIANI YAFANYIKA MKOANI DODOMA, WALIA NA UPUNGUFU WA MAJAJI
Wakili wa Serekali Mfawidhi mkoa wa Dodoma, Angaza Mwaipopo akifafanua jambo wakati wa sherehe ya siku ya sheria mjini Dodoma leo.Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Dodoma, Crecensia Makuru...
View ArticleZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa...
View ArticleWEMA, KAJALA, AUNT WAFUNIKA TRIPLE A JIJINI ARUSHA
Kajala, Wema, Aunt na Zamaradi wakiwa katika pozi tofauti.....Wakiwa pamoja na Mirror tayari kwa ajili ya kwenda kwenye Show, klabu ya Triple A.kwa picha zaidi bofya soma zaidiWema Sepetu, Aunt Ezekiel...
View ArticleMO & FINLAND PREMIER IN THE SHOES OF YOUNG GLOBAL LEADERS
Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL), Chief Executive Officer, Mohammed Dewji shares a light moment with the Finland Prime Minister Jyrki Katainen at the Finland Embassy in Dar es Salaam during...
View Article