JIDE AOMBA TALAKA
Jide na mumewe GardnerStori: Shani RamadhanUNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA...
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kadi mmoja kati ya wanachama wapya 159, waliojiunga na CCM, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa...
View ArticleNIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA
Wema SepetuStori: Imelda MtemaKazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa...
View ArticleKINANA AITEMBELEA FAMILIA YA MGIMWA IRINGA LEO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ifunda kwenye kiwanja cha Ifunda Sokoni ambapo moja ya vitu alivyosisitza ni viongozi kuahidi ahadi zinazotekelezeka .Katibu Mkuu wa...
View ArticleMAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU -4
MADA hii ina maana kubwa sana. Nashukuru wengi wanaelewa ndiyo maana napokea simu na SMS nyingi. Hii inatoa muongozo wa mapenzi yenye raha na maelewano.Inakuongoza kuwa na mpenzi wako anayekidhi vigezo...
View ArticleWANAFUNZI ST ANNE MARIE ACADEMY DAR ES SALAAM WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA WA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibufu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya...
View ArticleMAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YACHANGIA KANSA TANZANIA: DK NGOMA
Vijana waungana katika kampeni, ugonjwa wa sarataniJumanne ijayo tarehe Nne Februari mwaka 2014, ni siku ya saratani duniani. Maudhui ya mwaka huu ni vunja fikra potofu kuhusu saratani. Maadhimisho...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Miriamu Gilbert Kariuki wa New JerseyHappy birthday and many happy returns of the day. Vijimambo team wish you happy birthday!.
View ArticleM4C: Operation Pamoja Daima Kibaha
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe...
View ArticlePAMBANO LA YANGA, MBEYA CITY LAINGIZA MIL 175 SIMBA NA OLJORO JKT MIL 47
PAMBANO LA YANGA, MBEYA CITY LAINGIZA MIL 175-----------------Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Yanga na Mbeya City lililofanyika jana (Februari 2 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es...
View ArticleJK NA MA-BLOGGER - KINANA MPIGA PICHA
Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya....
View ArticleTuzungumze
“Where Information is Power“Toleo La Nne, February 03, 2014“Majungu na Maendeleo”Tuzungumzeusa@gmail.comBy Jessica Kamala-Mushala & Bernadeta KaizaTunapenda kuwakaribisha ndugu wasomaji kwenye...
View ArticleMIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO 'LADY IN RED
Na Mwandishi WetuWABUNIFU mbali mbali kupamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, ambapo pia litatumbuizwa...
View ArticleMwandosya:Afya yangu imeimarika
Waziri wa Nchi, Ofisi Rais (Kazi Maaalum), Profesa Mark Mwandosya, amewahakikishia Watanzania kuwa kwa sasa afya yake imeimarika.Profesa Mwandosya ameyasema hayo jana jijini Mbeya wakati akisalimia...
View ArticleLembeli aibua machungu ya askari operesheni Tokomeza
Askari zaidi ya 2,000 wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao walishiriki kuunda kikosi maalumu kilichoendesha Operesheni Tokomeza Ujangili, wanaidai serikali mabaki ya stahili zao kiasi cha Sh. bilioni...
View ArticleKikwete aingilia kati vita ya urais CCM
Mbeya. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameingilia kati vita ya kuwania urais mwaka 2015 kwa kukemea kwa baadhi ya makada wa chama hicho kuanza kampeni mapema.Kadhalika, ameziagiza Kamati za...
View ArticleJK Avunja Ukimya-Aamua kuwatetea mawaziri mizigo
*Aamua kuwatetea mawaziri mizigo*Amshangaa Mbowe kulazimisha Serikali tatu*Aeleza anavyokerwa na malumbano ya uraisRAIS Jakaya Kikwete amewakingia kifua mawaziri mizigo huku akishangazwa na malumbano...
View ArticleAskari wa Tokomeza ujangili afichua siri
Aweka wazi madudu ya serikali Operesheni ya pili wakati wowoteMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli.Askari aliyeshiriki Operesheni Tokomeza Ujangili...
View ArticleUhamiaji watuhumiwa kuhujumu mgombea Chadema
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu.Mgombea udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mdogo kata ya Kiboriloni, Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma, ameitwa na Idara ya...
View Article