Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45982 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi

.Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Evarist MangalaAskofu wa Kanisa la Emanuel mjini Shinyanga, Edsoni Mombeki, amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha nne (16)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msekwa: Wapinzani wakiungana wanaweza kuing’oa CCM

Dar es Salaam. Kiongozi Mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema endapo vyama vya upinzani vikiungana na kuweka mikakati makini ya muda mrefu, vinaweza kuking’oa CCM madarakani.Akizungumza kwenye mahojiano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MANGU

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikulu: Rais hataidhinisha mamilioni ya wabunge

Dar es Salaam. Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali kuidhinisha kama akipelekewa ombi la kuongeza kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh43 milioni hadi Sh160 milioni.Mkurugenzi wa Mawasiliano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI INTERNATIONAL SATURDAY KIOTA PENDWA MBAYA WASHINGTON, DC

Luke Music Factory inakukaribisha kwenye usiku kimataifa Jumamosi hii Feb 8, 2014 kwenye club pendwa mbaya ya Safari Night Club The Mixmaster Dj Luke na burudani ya kimataifa.Kama hujafika Safari bado...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA,NAIBU WAZIRI WA FEDHA:MH MWIGULU NCHEMBA ASHUHUDIA UTOROSHAJI WA...

Naibu Waziri wa Fedha Mh;Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Naibu Kamishina Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Tanzania,Ndugu Patric Kisaka(kulia) na Mkurugenzi wa huduma za Ulipaji Kodi na Elimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA:MH:MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI WILAYA YA KYELA HII LEO KUTEMBELEA OFISI...

Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mh:Waziri Dkt.Harrison Mwakyembe(Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma za Ulipaji Kodi na Elimu Ndugu.Richard Kayombo wakielekea kutembelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA:MH;MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WILAYA YA KYELA

Naibu Waziri wa Fedha akizungumza na Wafanyabiashara hii leo Wilayani Kyela kuhusu Matumizi ya Mashine za EFD na Umuhimu wa Kulipa kodi kwenye Biashara zao. Sehemu ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Kyela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII NA WANAHABARI WAKISHEHEREKEA BAADA YA KAZI NZURI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wageni waalikwa kwenye sherehe za Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari zilizofanyika usiku wa tarehe 2 Februari kwenye ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUE WATU 10 WENYE NGUVU TANZANIA

KWA muda wa miezi miwili , magazeti ya Global Publishers Ltd yaliendesha zoezi la kuwashirikisha wasomaji wake juu ya mtu gani mwenye nguvu zaidi ya ushawishi katika jamii ya Watanzania.Rais Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SACGOT Corridor Anchors 110 Million Euro Agricultural Investment Project in Tea

From left to right: Juliet Kairuki, CEO, Tanzania Investment Centre, Peniel Lyimo, Deputy CEO, Presidential Delivery Bureau, Mrs Sophia Kaduma, Permanent Secretary Ministry of Agriculture; Hon. Chiza,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FOURTY YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV

Zainab Buzohera enzi ya uhai wakeDullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yakabidhi hundi ya shilingi milioni 100 kusaidia waathirika wa...

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Aapishwa leo Zanzibar

 Msafara wa Mhe. Mwakilishi Mpya wa Jimbo la Kiembesamaki ukiingia katika viwanja Baraza la Wawakilishi kumshindikiza kwa ajili ya kuapishwa leo asubuhi.  Gari iliomchukuwa Mhe. Mahmoud Thabit Kombo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jamaa kaoa Mbwa huko California!

San Francisco, CA — On Monday history was made at the Chapel of Our Lady at the Presidio in San Francisco as the first-ever state recognized human-animal marriage took place. Local resident 35-year-old...

View Article


VIDEO YA WAZEE WA UPAKO WANAVYOKULA MAISHA UGHAIBUNI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania, Australia kuongoza mjadala siku ya radio duniani.

Flora NduchaTukiwa tunaelekea siku ya radio duniani tarehe 13 mwezi huu, mratibu wa siku hiyo katika radio ya Umoja wa Mataifa Flora Nducha amesema mjadala maalum utakaoratibiwa na shirika la Umoja wa...

View Article


ZAIDI YA KILO 200 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN ZAKAMATWA BAHARI YA HINDI

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevywa aina ya heroin yamekamatwa na kikosi cha polisi wanamaji katika bahari ya hindi yakisafirishwa kutokea nchini irani pamoja na mabaharia kumi na wawili kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kisima ‘walimozikwa’ Wafaransa chafukuliwa

Kisima kilichopo eneo la Matamwe Mkoa wa Kaskazini Unguja ambamo raia wawili wa Ufaransa wanasadikiwa kuuawa na kisha kufukiwa kwa zege. Picha na Mwinyi SadallahZanzibar. Kazi ya kutafuta mabaki ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari

Namna mdomo unavyoharibika kutokana na ngono kufanywa kwa kutumia mdomo.Leo ni siku ya Saratani Duniani. Wakati tunaadhimisha siku hii hapa nchini idadi ya vijana ambao ni tegemeo la taifa inazidi...

View Article
Browsing all 45982 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>