Wakanusha wauza ‘unga’ kunyongwa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe alipotembelea Ziwa nyasa siku za hivi karbuni. Wizara yake imekanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba watanzania...
View ArticleTASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK
Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama...
View ArticleSIMBA YAANGUKIA PUA KWA MAAFANDE WA MGAMBO TANGA WA LALA GOAL 1 MZUNGU...
Messi wa Simba hakufurukuta kabisaTambwe aliwekewa ulizi wa kijeshi na hakuonekana kabisa
View ArticleANGALI RECORDED LIVE AROBAINI YA MPENDWA ZAINAB BUZOHERA KUTOKA HYATTSVILLE...
Video streaming by Ustream
View ArticleWADAU WA CCM MAREKANI WAKUTANA KUSHEREKEA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM JIJINI...
Meza Kuu Kutoka Kushoto ni Katibu wa Tawi la CCM - California Ndugu Erick Byorwango, Mwenyekiti wa Tawi la California Ndugu Josephine Masabala, Mwenyekiti wa Tawi la Chicago Ndugu Tina Lupembe na...
View ArticleYALIYOJIRI USIKU WA OMMY DIMPOZ JIJI LA WAJANJA - OAKLAND, CALIFORNIA - PICHA...
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Josephine Masabala akipata Ukodak na Ommy Dimpoz Katibu wa Tawi la California Erick Byorwango na Stella Byorwango wakipata Ukodak na Ommy DimpozKatibu Mwenezi wa Tawi la...
View ArticleKISOMO CHA AROBAINI YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV
Mume wa marehemu Dullah katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili feb 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer uliopo...
View ArticleMisa ya Kiswahili - Kusherekea na Kuwaombea Wapendanao (Valentine
Mapadri kutoka kushoto Fr. Shao, Fr. Leandrah Kimario na Fr. Jean Tambwe wakiongoza misa takatifu ya kiswahili iliyofanyika Baltimore, Maryland ya kuadhimisha miaka 3 ya misa ya Kiswahili DMV hivi...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY TO MY TRUE LOVE OF MY LIFE
Mr & MrsLigateBirthdays come and go. But our love and respect for each other will always be rock solid. None of the forces of universe can change it. We will always be there for each other this day...
View ArticleMMASAI WA KWANZA ANAENDESHA NDEGE AINA YA AIRBUS YA FAST JET
William Zelothe Stepehen akiwa ndani ya ndege aina ya Airbus A319.William Zelothe Stepehen ni Mtanzania wa Kwanza Mmasai aliyepewa ithibati ya kuiongoza ndege aina ya Airbus A319 punde tu baada ya...
View ArticleKELVEN CARTER MWANDISHI ALIYEJINYONGA NA KUJIUA KUTOKANA NA KUTWAA TUZO YA...
Mwandishi liyejinyonga baada ya kupokea tuzo. Picha hii inamwonyesha binti mdogo wa kisudani akiwa ananyemelewa na ndege mla nyama aina ya tai. Binti huyu alianguka njiani baada ya kushindwa kuhimili...
View ArticleMAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA...
Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaruMaroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA EU, NA SHIRIKA LA GLOBAL VOLUNTEERS LA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda...
View ArticleVIGOGO TBA WAHUKUMIWA MIAKA 9 JELA-GPL
Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba).VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard...
View Article[AUDIO]: Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA
Bwn Solomon, Sunday Shomari na Herriet Shangirai wakijadili jambo ndani ya studio za Jamii Production. Washington DCKaribu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production.Katika kipindi hiki,...
View ArticleJESHI LA AUSTRALIA LAKAMATA MADAWA YA KULEVYA PWANI YA TANZANIA-GPL
Askari wa HMAS Melbourne wakiwa na madawa yaliyokamatwa. Madawa hayo yakiharibiwa.JESHI la majini la Australia limekamata na kuharibu kilo 353 za madawa ya kulevya aina ya heroin yenye thamani...
View Article