Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURUDANI ZARINDIMA KATIKA BONANZA LA GLOBAL BREAKING NEWS, JOGGING DAR LIVE!

H. Baba ni mmoja wa wasanii waliopiga shoo ya nguvu katika Bonanza la bure Global Breaking News lililofanyika jana  Jumapili mchana katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live akiwa stejini mbele ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT

MAFOTO PRODUCTION & ENTERTINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. KAZI NYINGINEZO:- VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENYE MADUKA KARIAKOO WAIGOMEA TRA WAFUNGA MADUKA YAO KUENDESHA MGOMO WA...

Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara kariakoo yaliyofungwaWafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO 'LADY IN RED

Na Mwandishi WetuWABUNIFU mbali mbali kupamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, ambapo pia litatumbuizwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunifu ‘Lady in red’ Februari 14 hadharani

Wabunifu ‘Lady in red’ Februari 14 hadharani..Wamo  magwiji: Ally Remutulla, Mustapha Hassanal, Khadija Mwanamboka, Martin Kadinda ..Chipukizi wamo  Faustin Simon, Water Edward,Willex Willibard,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IRINGA NAKO MADUKA YAFUNGWA KUKWEPE KUTUMIA MASHINE ZA TRA

 Hapa ni maeneo maarufu ( kama mtaa wa congo dar) sana mkoani Iringa,panajulikana kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu yamefungwa na wananchi wanaendelea kupata taabu...

View Article

MKASI NA DUDE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

 Abboü Barneś a.k a Zungu la Unga a.k.a Daddy MALIK..Mtoto Wa Kariakoo In H-Town...happy birthday

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PATRICK QORRO LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombelezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Karatu Waziri wa Kilimo na Ushirika Serikali ya awamu ya kwanza, Mhe. Patrick Qorro (72)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI INTERNATIONAL SATURDAY THIS SATURDAY VALENTINE SPECIAL NIGHT

Luke Music Factory inakukaribisha kwenye usiku kimataifa na wapendanao Jumamosi hii Feb 15, 2014 kwenye club pendwa mbaya ya Safari Night Club burudani kutoka Mdj wa kimataifa .Kama hujafika Safari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VALENTINE'S DAY NI NEXT DOOR SASA JE UNAPAKWENDA NA WAKO WA MOYONI?

Seas and Savannahs International Kitchen ni kiota kipya cha kukidhi mahitaji yako kwa siku hii ya wapendanayo Ijumaa. Na Jumamosi kutakuwa na party itakayoanza saa 3 usiku hadi saa 8, Dj wetu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKRANI ZA DHATI KUTOKA KWA DULLAH KWENDA KWA NDUGU, MARAFIKI NA WATANZANIA...

Mimi DULLAH,a.k.a,DULLAHYOO,DULLAHZAY.napenda kutoa shukrani za dhati kutoa moyoni mwangu kwa WATANZANIA WOOOTE waishio UNITED STATES OF AMERICA na WOOTE waishio UGHAIBUNI na WATANZANIA WOOTE waishio...

View Article

SHILOLE AFUNGUKA KUHUSU UNDANI WA MAISHA YAKE - The Sporah Show

LIKE NEVER BEFORE: SHILOLE ONE ON ONE WITH SPORAHShilole well known as Shishi Babie (a.k.a) Kiuno (waist) is a singer, actress, a mother of two and a business woman.More On: www.sporah.com

View Article


ZARI THE BOSSLADY EXCLUSIVE INTERVIEW WITH SPORAH.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUGU: CHADEMA ITACHUKUA NCHI-GPL

Mbunge wa Mbeya Mjini Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu'.Na Ojuku AbrahamUCHAGUZI mkuu wa Rais, wabunge na madiwani chini ya mfumo wa vyama vingi nchini, utafanyika kwa mara ya tano mwakani, huku kwa mara...

View Article


Serikali yakanusha taarifa kuwa hakuna jitihada za kukabiliana na ujangili.

Serikali imekanusha taarifa zilizochapishwa na gazeti la daily mail la nchini Uingereza kuwa hakuna jitihada zozote zilizofanywa kukabiliana na ujangili nchini na kuziita taarifa hizo kuwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

French media goes crazy over rumor that President Obama and Beyonce are...

A French media firestorm has been circulating claims that Barack Obama and Beyonce are dangerously in love.It came as Francois Hollande, France’s head of state and a well-known love cheat, arrived in...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII

Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha  wote kwenye  sherehe za MAULID . Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili Hii tarehe 16 Februari 2014. Claridge Local Park 11901...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIMBO MPYA WA BEN POL - UNANICHORA

Artist: Ben PolTitle: UnanichoraSongwriter: Ben PolProducer: Fundi SamweliNote: The version with John Makini is strictly a Radio version. Ben Pol Album Tanzania utaipata kwa M-Pesa 0764 905 470na pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NI MAALUMU KWA FUNUNU ZOTE ZILIZOSIKIKA KUHUSU MSANII LINAH KUBEBA...

Muimbaji wa THT, Linah Sanga amesema tetesi za kuwa ni mjamzito si za kweli. Linah ameiambia Mdadisi Mambo blog kuwa masuala ya ujauzito, kuolewa na kuwa na familia ni ya muhimu kwa kila msichana...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>