LICHA YA KUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU NA SASA 37 YA KUZALIWA CHAMA TAWALA
Uwezi kupa hudumu ya hii ya brain scanner katika hospitali ya rufaa ya muhimbili hadi uende kwenye hospitali binafsi ya Agha Khan kwa gharama ya shilling laki 5. Lakini machine hii kama ingekuwa...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM DMV YALIVYOKUA LEO JUMAPILI FEB 23, 2014
Video streaming by Ustream
View ArticleMASTAA KIBAO BONGO MOVIE WAMZUNGUMZIA DOKTA KAMDEGE, WENGI WAKILI MAFANIKIO...
Na Mwandishi WetuKatika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mastaa mbalimbali nchini wa muziki na bongo flava wamevunja ukimya wao na kuweka wazi chanzo cha mafanikio yao yanatokana na Mganga maarufu...
View ArticleBONGO MOVIE WATIA AIBU BUNGE LA KATIBA DODOMA..
WAKATI mchakato wa Bunge la Katiba ukianza leo mjini Dodoma, ishu hiyo imemtia kwenye tope Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba baada ya kukwaa skendo ya ‘kutoka’ na...
View ArticleDk. Shein Awaandalia Chakula Watoto Walioshiriki Miaka 50 ya Mapinduzi ya...
Baadhi ya Watoto waliocheza halaiki wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk. Ali Mohamed Sheinkatika viwanja vya Beit El Ras leo mchana kwa...
View ArticleKUTOKA BARABARA YA CHALINZE SEGERA.
Askari wa Usalama Barabarani akiongea na dereva wa lori mara baada ya dereva huyo kuvunja sheria ya barabarani katika barabara ya Chalinze SegeraMandhari safi ya Mji wa Tanga kama inavyoonekana katika...
View ArticleUhuru Marathon 2014 kuzinduliwa kijijini Butiama
Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumzia maandalizi ya uzinduzi wa Mbio hizo kwa Mwaka 2014,ambapo mwaka huu...
View ArticleSONG JIPYA LA SNURA - USHAHARIBU
Kaa tayari kwa ajili ya wimbo huu mpya wa snura mushi. unaojulikana kama Ushaharibu, huu wimbo unawazungumzia watu wenye tabia ya kuiangalia leo na kuidharau kesho, kwa mfano kuna watu wamezungumziwa...
View ArticleMIMI NI MTANZANIA NAJIVUNIA UTANZANIA
Rais wa kwanza TanzaniaMwl. Julius K. NyerereYamekuwepo malumbano na mada nyingi kuhusu uraia pacha na jinsi ilivyo muhimu kuwa na uraia pacha kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi, na hapa namaanisha...
View ArticlePICHA,TAIFA LA UKRAINE LILIVYOGEUKA UWANJA WA DAMU,RAIS AKIMBIA IKULU
Ukraine has experienced its bloodiest week in decades after days of deadly clashes between anti-government protesters and police which ended in the ousting of President Viktor Yanukovych.For three...
View ArticleNyongeza ya posho yagonga mwamba
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakinyoosha mikono ili wapatiwe Rasimu ya Kanuni zitakazoendesha bunge hilo, juzi. Picha na Sulivan Kiwale Kwa ufupiTaarifa hizo zilidai kuwa wajumbe hao wamefikia...
View ArticleAJALI YA GARI NDOGO LAGONGANA NA PIKIPIKI NA KUJERUHI
Jamaa akisubiri msaada hakuna cha ambulance wala nini ni hadi wapatikane wasamalia wema wakumpeleke zahanati tuWasamalia wema wakimzoa zoa bila kujari ameumia wapi na kadri wanavyo mzoa labda ndiyo...
View ArticleHABARI ZA DUNIANI HIZO BAISKELI YATUMIKA KUSAMBAZA SAMLPE YA MBEGU ZA KIUME
Biskeli maalumu yenye mtungi wa kuifadhia mbegu za kiume kwa ajili ya samples kwa wateja wenye shida ya kushika mimba. Bank ya mbegu za kiume katika mji wa Copenhagen huko ulaya utumia baiskeli kama...
View ArticleINASIKITISHA SANA LAKINI INAWEZA KUMBADIRISHA MTU NA KULETA FURAHA NDANI YA...
“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari kunisikiliza....
View ArticleTULIA SPA, BEAUTY AND HOTEL ARUSHA TANZANIA
Tulia Spa, Beauty And Hotel Arusha ni sehemu usiyotakiwa kukosa kufika ukiwa ndani ya jiji la wajanja Arusha, Kuna huduma ya hotel na spa kwa wageni na wenyeji. Tulia spa wanatoa huduma mzuri...
View Article