TIMU YA YANGA BADO KINARA WA MAPATO KATIKA MECHI ZAKE ZA TAIFA NA MIKOANI JE...
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao.Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza...
View ArticleSome gay Ugandans would rather die than live under new law
On Monday, Ugandan President Yoweri Museveni signed into law a bill that toughens penalties against gay people and makes some homosexual acts crimes punishable by life in prison. Here, Akram Kalungi, a...
View ArticleRAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AMKASHIFU OBAMA KUHUSU KURUHUSU USHOGA UGANDA
Raisi Yoweri Museveni.Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametoa matamshi makali dhidi ya Rais Barack Obama wa Marekani akimtaka akome kungilia masuala ya ndani ya Uganda.Matamshi hayo makali yamekuja baada...
View ArticleAL-SHABAB WATISHIA KUTEKA TENA MIJI YOTE YA SOMALIA
Msemaji wa kundi la kigaidi la al-Shabab la nchini Somalia amesema kuwa, wapiganaji wa kundi lake wanapanga mikakati ya kudhibiti tena maeneo yote ya Somalia ukiwemo mji mkuu, Mogadishu.Akizungumza...
View ArticleYanga wawekewa Sh100 milioni kuiua Al Ahly
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi.PICHA|MAKTABA Yanga itavaana na mabingwa watetezi hao kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kisha timu hizo zitarudiana wiki mbili baadaye huko Cairo,...
View ArticleMTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU KUKATWA MGUU LEO
Mtoto Hamis Liguya, 13, akiwa Hospitali ya Ganga, Combatore, Tamil Nadu nchini India.Stori: Imelda Mtema, IndiaHATIMAYE mtoto mwenye uvimbe wa ajabu, Hamis Liguya, 13, leo anatarajiwa kufanyiwa...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI MAALUM KWA ERIC BAHUNDE
Kijiwe No. 44 from Luke Joe on Vimeo.Kijiwe cha Ughaibuni kinamtakiwa mwenzao Eric Bahunde (shati la njano) afya njema na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka Eric Bahunde amelazwa University of...
View ArticleRASIMU YA KATIBA IMEWASAHAU VIJANA.
Na Paul MakondaMimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye...
View ArticleTANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA
Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mwanzoni mwa Mkutano wa Mwezi mmoja wa Wajumbe wa Kamati Maalum ya Usimamizi wa...
View ArticleMWENZI WAKO ANAKULIZA, UNAMLIZA?
MAUMIVU ya mapenzi yanatesa, yanaumiza na kutoa machozi. Kwa hakika mapenzi yanaliza! Ili maisha yako ya kiuhusiano yawe mazuri, unatakiwa kuhakikisha unakuwa makini na kukaa mbali na maudhi.Wengi...
View ArticleAfrican Diaspora Funding Opportunity - March 17 Deadline
Dear All,We have been notified by one our networks that, there is a new funding opportunity with a fast approaching deadline – the Carnegie Corporation is supporting African diasporans to travel back...
View Article"NI AIBU ILIOJE" SIKUTEGEMEA KUSIKIA HATA WABUNGE LA KATIBA WANGE OMBA...
NIMSHUKURU sana Mwenyezi Mungu kwa mara nyingine kwa kutuwezesha kuwa pamoja tena leo, tukijadili mambo muhimu ya taifa letu, ambalo kwa sasa lipo katika mchakato wa kupitia Rasimu ya Katiba, ambao...
View ArticleKIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KILICHOTANGAZWA NA TFF LEO - CANNAVARO BADO NJE YA...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi ya Namibia (Brave Warriors) itakayochezwa Machi 5 mwaka huu...
View ArticleSALAMU KUTOKA CALIFORNIA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM - DMV
Ndugu Phanuel Ligate Mwakilishi wa Tawi la CCM - California akiwakilisha Salamu na Ujumbe Kwenye Sherehe za CCM zilizofanyika Jumapili February 23, 2014
View ArticleKICHANGA KILICHOTUPWA CHAENDELEA KUWA NA AFYA NJEMA
HUYU ni mtoto aliyetupwa na mama yake mara baada ya kujifungua katika eneo la Mkuzo manispaa ya Songea mkoani Ruvuma hivi karibuni.Mama mzazi wa mtoto huyo anadaiwa kumtupa huku amemuhifadhi ndani ya...
View Article