Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45972 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AJIFUNGUA NDANI YA BASI

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja jina halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20-25 akiwa na mumewe, wakitokea wilayani Chunya mkoani Mbeyawakielekea wilayani Mbozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUCHINJWA NA BABA YAKE HUKO KAHAMA,KISA KUUGUA...

Mtoto Said Siraji akiwa amelazwa katika Hospital ya wilaya ya KahamaMtukio ya kikatili yameendelea kushika kasi wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambapo mtoto aitwaye Said Siraji/Said Joshua  amelazwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEUA BAADA YA KUMFUMANIA MKEWE AAHUKUMIWA JELA MWAKA 1,KWA KUUA BILA...

Kijana Sanane Machimi akiwa mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi mkoa wa Tabora  muda mfupi baada ya kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kufuatia kosa la mauaji ya bila kukusudia.Mahakama ya hakimu  mkazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATATUU YAGOMA NCHINI KENYA NA KUSABABISHA ADHA KUBWA KWA WAKAZI WA JIJI LA...

Mgomo wa wahudumu wa magari nchini KenyaHuduma za usafiri jijini Nairobi zimekwama kufuatia hatua za wenye magari kugoma hii leo wakilalamikia nyongeza ya ada ya kuegesha magari jijini humo.Maelfu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Rihana's 5 birthday  todayHappy Birthday to you

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tano Ladies inakukaribisha kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani

2014 Women's Day Promo - By TANO Ladies from IskaJoJo Studios on Vimeo.kutana na wanawake wajasiriamali  wakitanzania na burudani kemkem kutoka kwa wasanii wetu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE KESI YA OSCAR PISTORIUS, ALIA WAKATI KESI...

 Kesi ya mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius Jumanne hii imeendelea kwa siku ya pili ambapo shahidi wa pili wa upande wa serikali amesema alisikia sauti za juu usiku alipouawa mwanamitindo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUKIO KATIKA PICHA: WAUGUZI NA MADAKTARI WASITISHA KUTOA HUDUMA KWA WAGONJWA...

Mapema mchana wa leo kumetokea mvua kubwa katika maeneo mbalimbali ya Jijini Dar es salaam kumesababisha usumbufu mkubwa baada ya maeneo mengi kukumbwa na tatizo la maji mengi ambayo yaliziba barabara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA KUHUSU MVUA KUBWA JIJINI DSM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THIS SATURDAY EVENT IN TEANECK SEAS AND SAVANNAHS INTERNATIONAL KITCHEN

Jumamosi hii ya tarehe 8 ni siku ya wanawake  duniani  njooni tuwaenzi wanawake kwakukutana Seas and Savannahe International Kitchen kwachakula cha kitanzania na vinywaji. Njoo tuungane na kusherehekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TULIA SPA, BEAUTY AND HOTEL ARUSHA TANZANIA NI SEHEMU ITAKAYO KUFANYA...

Tulia Spa, Beauty And Hotel Arusha ni sehemu usiyotakiwa kukosa kufika ukiwa ndani ya jiji la wajanja Arusha, Kuna huduma ya hotel na spa kwa wageni na wenyeji. Tulia spa wanatoa huduma  mzuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANDHARI YA JIJI LA CAIRO WALIVYOTUA YANGA KUKINUKISHA NA WENYEJI WAO AL...

Uenda hali ya hewa ya hapa haitawasumbua Yanga na kufanikisha kuwang'oa waarabu hao wenye historia mzuri katika mashindani haya, hasa wanavyo kutana na timu za ukanda wa Afrika Mashariki.

View Article


PITIA VIDEO HII NA UTANGUNDUA KUWA BONGO NI TAMBALALE NI TANGAZO HILI LAKINI...

Bongo stress free na schedule hizi za box mtoni bongo ndiyo sehemu ya kula bata mungu ibariki Tanzania raha kama hizi wabunge wacha wadai nyongeza ya posho. Chezea bongo wewe masikini atabaki kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO MWENGINE AFARIKI DUNIA KATI YA WALE WANNE WALIOZALIWA NA MZAZI MMOJA...

Inasikitisha sana mapacha wawili wafariki dunia kati ya wale watoto wanne waliozaliwa huko MbeyaMchungaji wa Kanisa la Africa Mission Church wanakosali wazazi wa Marehemu akiongoza ibada ya...

View Article


Shuga: Love, Sex, Money - Episode 1 to 6

View Article

Mvutano na malumbano vyaendelea bunge la katiba.

Mvutano na malumbano baina ya wajumbe kuhusu suala la kuzingatia jinsia katika nafasi ya mwenyekiti na makamu wake vimetawala bungeni kufuatia wajumbe wanawake kutaka nafasi hiyo izingatie jinsia huku...

View Article


First Tanzania Diaspora HOMECOMING conference

View Article

X-Plastaz Back To The SUA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO KUJIACHIA COCO BEACH

Msemaji wa Hazina Capital, Rachel Ndauka (kulia) na William Joseph (kushoto) wakiongea na wanahabari (hawapo pichani).Hazina Capital tunapenda kujitambulisha/kuwatangazia Watanzania juu ya soko jipya...

View Article
Browsing all 45972 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>