Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MIKUTANO YA UMOJA WA MATAIFA

Hajjat Amina Mrisho Said, Kamishna wa Sensa, na Bw. Wilfred Mwingira, Meneja wa Shughuli za Takwimu wakifuatilia majadiliano ya Mkutano wa 45 wa Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa, Mkutano huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti wa Museveni atangaza kuwa Shoga

Anti Gay PRESIDENT Yoweri Museveni's daughter Diana Kamuntu declares" I am Gay ""I am a lesbian", she said..PRESIDENT Yoweri Museveni's daughter Diana Kamuntu has sent shock waves across Uganda by...

View Article


Kali TV This week

This week, Kali TV sits down with young Nigerian designer Maryam Elisha who showcases her designed at the DC fashion week

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUGUZI NA MADAKTARI WASITISHA KUTOA HUDUMA KWA WAGONJWA BAADA YA HOSPITALI...

Mapema mchana wa leo kumetokea mvua kubwa katika maeneo mbalimbali ya Jijini Dar es salaam kumesababisha usumbufu mkubwa baada ya maeneo mengi kukumbwa na tatizo la maji mengi ambayo yaliziba barabara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIGONGO AFAFANUA MADHARA YA UGONJWA WA IN

Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini.…Akiwa na jopo la madaktari. Kushoto ni Dk. Mtebe Majigo, Mganga Mkuu wa Amana, Meshack Shing'wela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWETU FASHION DESIGN BY MISSY TEMEKE

KWETU Fashion ya Missy T imekuja na vivazi vikali vya 2014 design mbalimbali kutoka kwa mbunifu Missy Temeke mwenye makaazi yake DMV. Mlimbwende akiwa ametinga kivazi cha KWETU Fashion kilichobuniwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERATION KOKORO YAVUNA WANACHAMA 1800 WILAYA YA MWANGA.

Ziara ya Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro Komredi Japhar Mghamba akiongozana na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu Komredi Daniel Zenda inaendelea kwa mafanikio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIPOWAJIBIKA KAMA MUME, JUA UNA MUME MWENZIO!

TUNAKUTANA tena kupitia ukurasa huu ambao ni namba moja kwa kuandika makala nzuri zinazogusa maisha yako ya kimapenzi. Ukiwa unaufuatilia kila wiki, mapenzi hayawezi kukutesa kama yanavyowatesa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri zaidi IPTL hadharani

Mmiliki kwa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing, James Rugemalira ameibuka na kukiri kuwa yeye ni miongoni mwa waliolipwa fedha hizo huku uongozi wa IPTL ukifafanua utata kuhusu mkataba wake na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiapo Bunge la Katiba kutafuna Sh560 milioni

Dodoma/Dar. Kitendo cha wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuapa mmojammoja badala ya makundi kama ilivyopendekezwa katika Rasimu ya Kanuni za Bunge kitaligharimu Taifa zaidi ya Sh500 milioni, Bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM, Chadema, CUF wanavuruga Bunge, asema Dovutwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, FahmiDodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Fahmi Dovutwa alichafua hali ya hewa baada ya kuvituhumu vyama vya CCM, Chadema na CUF kuwa ndiyo vinavuruga Bunge kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZISOME HAPA KAULI KUMI(10) ZILIZOVUTA HISIA ZA WENGI KWENYE BUNGE LA KATIBA...

Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia  michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.Michango hiyo ya mawazo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga yaishika pabaya Ahly

Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Boko beach jijini Dar es Salaam jana. Picha na Doris MaliyagaDar es Salaam. Uongozi wa Klabu ya Al Ahly ya Misri umekataa mchezo wa baina yao na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MDOGO WA ETHIOPIA AMTEMBELEA BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI

 Balozi Mdogo wa Ethiopia Mhe. Yibeltal A. Alemu akikaribishwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Dubai.Balozi Mdogo wa Ethiopia Mhe. Yibeltal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kificho aingiwa hofu

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Pandu Ameir Kificho.Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir Kificho, ameanza kupata wasiwasi kuhusu kasi ndogo wanayotumia wajumbe kufanya marekebisho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

`Hati ya Muungano siyo taarifa ya siri`

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,John Mnyika.Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othuman Masood, amesema kuwa hati ya Muungano siyo nyaraka za siri bali ni ya umma na kila mmoja anaweza kuiona na kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA KUMUOMBE MZEE WETU MAJOR SAMUEL ISAAC CHEKINGO -JUMAMOSI MARCH...

Samson Chekingo anapenda kuwataarifu Misa ya kumuombea Mpendwa Baba Yake Major Samuel Isaac Chekingo.Itakayofanyika siku ya Jumamosi 3-8-2014 kuanzia saa  9 jioni (3 PM) had 1 usiku (7 PM) Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahojiano ya IskaJoJo na Radio ya Umoja wa Mataifa ya New York

Siku ya wanawake duniani ikiwa imekaribia, mwanadada mjasiriamali Isca Kauga- Joshua wa IskaJoJo Studio amefanya mahojiano maalumu na Radio ya Umoja wa Mataifa ya New York. Bofya hapa ili uweze...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTERNATIONAL NIGHT THIS SATURDAY @ SAFARI CLUB

luke Music Factory inependa kuwakaribisha tena Safari Club Jumamosi hii March 8, 2014 kiota kinachoongoza kwa muziki wa Bongo Flava. Karibu ujisikie upo nyumbani.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU - JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON DC, MARYLAND NA...

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV unawataarifu kwamba uchaguzi wa Kuwachagua viongozi wa Jumuiya , utafanyika mwishoni mwa mwezi wa Nne. Tarehe Rasmi ya Uchaguzi itatangazwa Mara tu kamati ya...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>