Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATUUNI HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AOMBOLEZA KIFO CHA MTOTO WA WAZIRI SOPHIA SIMBA DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Lefoord Simba, mtoto wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia...

View Article


MCHAKATO JUU YA URAIA PACHA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege "mpya" ya Air Tanzania - Wings of the Kilimanjaro

Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akishuka kutoka ndani ya ndege hiyo  Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE KUTOKA KWA MRISHO MPOTO (WAITE) JITIRIRISHE HAPA CHINI

Super star alievunja record kwa kuingia Ulaya bila viatu.  Mrisho Mpoto A.K.A Mjomba Heshima yake.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHABIBY TAJIRI WA MABUS YA ABIRIA UKANDA WA KATI NA HIKI NDICHO...

Hii ndio heteli ya kifari yenye hadhi ya nyota Tano ambayo ipo Mkoani Dodoma, Hoteli hii ambayo inamilikiwa na Mheshimiwa shabiby ambayo imepewa jina la Morena kwa tafsiri yake ni kitu kizuri au kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

Akili Mtaalam from Ohio, USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, JOHN MINJA AHUDHURIA SHEREHE...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, John Casmir Minja(wa nne toka kulia) akiwa meza Kuu pamoja na Wakuu wa Magereza toka nchi mbalimbali za Afrika katika Sherehe za kufunga rasmi Mafunzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD. KONYAGI WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE...

Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. | Konyagi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa march 8 kila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENJA ATIMKIA BUNGENI, DODOMA

 Mwanakijiwe Benja Mwaipaja akiwa kwenye pipa tayari kwa safari ya Bongo siku ya Ijumaa March 7, 2014 mwenyewe akidai anaelekea Bungeni Dodoma ambako sasa hivi kunafanyika Bunge maalum la katiba.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA TWA YASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KITUO CHA CHAWAWAKI...

Mrembo wa Tanzania Happiness Watimanywa akikabidhi baiskeli kwa mwenyekiti wa Chawawaki Bi. Reberata Jovin kwenye sherehe zenye lengo la kusaidia kikundi hicho, ambazo zimeandaliwa na taasisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY WOMEN'S DAY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba mpya sasa shakani

Vurugu Bunge la Katiba zasikitisha wengi  Latawaliwa na wanasiasa, watunisha misuliBaadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wasomi, wanasiasa na viongozi wa dini, wamesikitishwa na vurugu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salam za Heri ya Siku ya "WANAWAKE DUNIANI" kutoka Ngoma Africa Band

Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika...

View Article

VIJIMAMBO WATOTO-Ice Age 4

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke jela kwa kuwatukana na kuwashambulia askari

Mahakama ya Wilaya ya Musoma.Mwanamke mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na miezi sita jela na Mahakama ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, baada ya kupatikana na makosa ya kutoa matusi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM waanza kuviziana bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa kwenye foleni ya kuchukua posho za vikao, Dodoma juzi. Picha na Silvan KiwaleWabunge wa CCM wamedaiwa kupokea vitisho, kama watakwenda kinyume na msimamo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Natembea na barua ya kifo mkononi’

Veronica Kibuga (katikati) pamoja na watoto wake.Magu. Hebu fikiri... Unaamka asubuhi na kukuta kundi la majirani nje ya mlango wa nyumba yako. Uwepo wao siyo kwa lengo la kukusalimu, bali kukupa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabeki Yanga wapewa onyo kali

Cairo, Misri. Mashabiki wa Zamalek wamechekelea kitendo cha Wizara ya mambo ya ndani Misri kuzuia mashabiki katika mchezo wa Al Ahly Jumapili wiki hii, lakini wakawatahadharisha mabeki wa Yanga kuepuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTERNATIONAL NIGHT THIS SATURDAY @ SAFARI CLUB

luke Music Factory inependa kuwakaribisha tena Safari Club Jumamosi hii March 8, 2014 kiota kinachoongoza kwa muziki wa Bongo Flava. Karibu ujisikie upo nyumbani.

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>