MANISPAA YA KINONDONI MNALIONA HILI: WAFANYABIASHARA WANAFANYA KAZI CHINI YA...
Hapa ndipo makao Sogas yaliyopo Ubungo kwenye wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Sehemu hii inatumika kuzalisha umeme unaotumika kwenye grid ya Taifa. Lakini kuna wafanyabiashara wanaofanyia...
View ArticleMATOKEO YA ARSENAL NA EVERTON,MAN U NA WEST BROM YAKO HHAPA
Mabao mawili ya SuperSub Olivier Giroud dk 83,85 yameipa Arsenal ushindi wa bao 4 - 1 dhidi ya Everton katika robo fainali ya FA Cup kwenye dimba la Emiratesmabao mengine yalifugwa na Ozil dk 7 na...
View ArticleALICHOKISEMA CASILLAS KUHUSU TETESI ZA KUHAMIA ARSENAL
Golikipa wa Real Madrid Ike Casillas, ambae mpaka sasa amecheza mechi zaidi ya 600 akiwa na madrid tangu ajiunge mnamo mwaka 1999, amesisitiza kwamba hayupo tayari kuondoka katika klabu hio na amepanga...
View ArticleJAMBO SQUAD NA MECCA CHEKA WAMALIZA TOFAUTI ZAO NDANI YA STUDIO ZA NOIZMEKAH
Wasanii wa Arusha wanaotoka katika familia moja maarufu kama "watoto wa bibi" lakini ndani yao kuna makundi tofauti tofauti kama Jambo Squad, MeccaCheka na makundi mengine mengi. Lakini siku za nyuma...
View Article2014 SUSAN G. KOMEN GLOBAL RACE FOR THE CURE
This year Team Tanzania is participating again in the Susan G. Komen Global Race for the Cure in Washington D.C. The race will take place on Saturday, May 10, 2014 at 7:00am. Please support Team...
View ArticleBONGO FLEVA IMEKOSA MUZIKI MTAMU KWA MUDA MREFU SASA.
wengi tunajiuliza kuna nini kwa mwana zuberi katwila nini kimemsibu Qchief kwani ni mtu anavipaji kwanini alale na njaa kweli ni huyu huyu chilla ambaye alikuwa anashindana na Duly misifa kugombania...
View ArticleMAMBO YALIOKAMATA VICHWA VYA HABARI BONGO WIKI HII
Festo SangaMwakilishi wa Vijimambo Bongo akitujuza mambo muhimu yaliyotawala kwenye vichwa vya habari kariku kila kona ya mitandao hebu msikilize hapo chini
View ArticleMUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE...
Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa , Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi, na Specioza Rweyemamu ambaye ni Ispecta katika mambo...
View ArticleMAZISHI YA MPENDWA WETU NI KESHO JUMAPILI MAKABURI YA KINONDONI
Carol Mbilinyi enzi ya uhai wakeKWA WENZANGU WANA PAZI,DADA YETU CARO MWAISELAGE MBILINYI ANAZIKWA KESHO TAREHE 9 MARCH 2014 KWENYE MAKABURI YA KINONDONI SAA 9 MCHANA SHUGHULI ZA MISA ZITAFANYIKA...
View ArticleMAMA ALIYETOROKA NA MTOTO ALIYEUNGUA NA MOTO APATIKANA NJOMBE, NI BAADA YA...
Hatimaye Mama aliyetoroka na mtoto aliyeungua moto apatikana kupiga simu katika Chombo cha Mbeya yetu Blog kuwa yupo Njombe kwa baba mzazi wa mtoto huyo nakuomba radhi kuwa aliondoka bila kuaga kesho...
View ArticleMchungaji mbaroni kwa tuhuma za kutoa mahubiri ya kichochezi
Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera,George Mayunga.Mchungaji mmoja wa Kanisa la Chochea Moto (Emba Omulilo) ametiwa mbaroni kwa tuhuma za uchochezi na kusababisha uvunjifu wa amani katika kijiji cha...
View ArticleKUTOKA BUNGE LA KATIBA DODOMA MUDA HUU
MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA BW. AUGUSTINO MREMA AKIMWELEZA JAMBO MJUMBE MWENZIE BW. ISLAIM ADEN RAGE LEO MJINI DODOMA.Wajumbe wa Bunge Maalumla Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya...
View ArticleSHINA LA CCM MARYLAND LAFUNGULIWA, MRISHO MZESE MWENYEKITI, MARCO MBULLU KATIBU
Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa...
View ArticleINFINITY CLUB YAFUNGULIWA KWA MBWEMBWE BONGO
Juu na chini ni wasanii mbalimbali wakifanya makamuzi kwenye ufunguzi wa kiota kipya kijulikancho kwa jina la Infinity Clubkwa picha zaidi bofya soma zaidi
View ArticleMAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI ZANZIBAR
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakati wa uhai wake.Maafisa wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi vya Zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani...
View ArticleRAIS KIKWETE ATOKA NJE KUPISHA UTEUZI WA RIDHIWANI KIKWETE KWENYE KIKAO CHA...
Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akiongoza kikao maalum cha kamati Kuu ya CCM kilichomjadili ili kumpitisha mgombea Uchaguzi kwa tiketi ya CCM...
View ArticleHofu yatanda Bunge la Katiba kuvunjika
Hashim Rungwe akichangia jambo wakati wa moja ya vikao vya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma.Dodoma. Mjadala wa namna ya kuamua Rasimu ya Katiba umezua hofu ya Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleGLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE: Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.
View ArticleMGIMWA AZIDI KUJIJENGEA UWEZO KALENGA
Godfrey Mgimwa akihutubia wakazi wa kitongoji chaTosamaganga ambapo aliwaeleza wazi wananchi hao kuwa anaelewa changamoto zaona atashirikiana na wananchi hao kutatua hizo changamoto.Mwenyekiti wa CCM...
View Article