CLARAH - MWANAMKE ALIYEPIGANIA HAKI MAHAKAMANI BILA KUKATA TAMAA
Kipindi cha Wanawake Live katika mojawapo ya episodes zake, kiliwaletea taarifa ya mwanamke aitwaye Clarah ambaye alijitoa kimaso maso kupambana mahakamani na hatimaye kupata haki yake.Je, unajua ni...
View ArticleSERIKALI YAJIPANGA KUWA NA SERA YA FILAMU
Mtendaji Mkuu Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akiwasilisha Rasimu ya awali ya Sera ya Filamu wakati wa moja ya kikao cha wadau cha kujadili rasimu ya awali ya Sera ya Filamu kilichofanyika hivi...
View ArticleMKE: NILIOLEWA ILI NIAMBUKIZWE UKIMWI
Hafsa Ramadhani.Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinasema, binti huyo alifanyiwa mipango ya ndoa bila yeye na mumewe huyo kupima kwanza maambukizi ya ugonjwa huo, ingawa tahadhari hiyo...
View ArticleWabunge 40 Chadema kutinga Kalenga
Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ataongoza wabunge 40 wa chama hicho kwenda kuongeza nguvu katika kampeni za lala salama za uchaguzi mdogo wa Jimbo la...
View ArticlePITA PITA YA VIJIMAMBO
Mh. Ramadhani M. Mwinyi, Naibu Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Akipata ukodak na makatibu wakuu kutoka Zanzibar. Kutoka kushoto ni Bi Mwanaidi Saleh Katibu mkuu wa...
View ArticleShukrani kutoka kwa TANO Ladies
TANO Ladies wanatoa shukrani za dhati kwa watu mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuhadhimisha sherehe ya siku ya Wanawake Duniani 2014. Shukrani za pekee kwa Mheshimiwa Balozi Liberata...
View ArticleINTERNATIONAL NIGHT THIS SATURDAY @ SAFARI CLUB PLUS SUSAN BIRTHDAY BASH
luke Music Factory inependa kuwakaribisha tena Safari Club Jumamosi hii March 15, 2014 kiota kinachoongoza kwa muziki wa Bongo Flava. Karibu ujisikie upo nyumbani. pia tuakua na Birthday Bash ya Ssusan...
View ArticleMwandishi wa kitabu cha mapishi Miriam Rose Kinunda akihojiwa na IskaJoJo...
Msikilize Mwandishi wa kitabu cha mapishi cha TASTE OF TANZANIA: MODERN SWAHILI RECIPES FOR THE WEST, Miriam R. Kinunda.Akitoa historia fupi na sababu zilizomfanya aandike kitabu hicho.Miriam Kinunda...
View ArticleYanga yaipania Mtibwa
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (katikati), akijaribu kupiga kichwa mbele ya mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mussa Mgosi, huku David Luhende pia wa Yanga akiwa tayari kumsaidia wakati timu hizo...
View ArticlePicha ya watu wakimtoa dereva bodadoda aliyeingia chini ya gari
Baadhi ya Wakazi wilaya ya momba Mkoani mbeya wakimtoa dereva bodabodaambae hakufahamika kwa mara moja kwa jina baada ya kuingia uvungunimwa gari juzi Maeneo ya sogea Tunduma (picha na Saimeni Mgalula)
View ArticleUpdate about 'Honourable Bernard Membe: We Tanzanians in the Diaspora ,...
Dual Citizenship and Tanzania’s Vision 2015United Nations DeclarationThe 1930 Hague Convention declared “Every person should have a nationality and should have one nationality only,” On December 10,...
View ArticleJhikoMan & Afrikabisa Band Europe Tour 2014 ! Need your Support and Sponsor
Jhikoman, Tanzania´s great Reggae Ambassador to represent Africa…SUNDAY MAGAZINE - Nairobi, KENYA Having internationally toured, Jhikoman and the Afrikabisa band has performed in well-known...
View ArticleChimbuko la Muungano wa Tanganyika na Zaznibar
The Articles of Union between Tanganyika and ZanzibarTHE ARTICLES OF UNION betweenTHE REPUBLIC OF TANGANYIKA AND THE PEOPLES' REPUBLIC OF ZANZIBARWHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika...
View Articlehe story of struggling Kenyan students in Ukraine
When Elizabeth Nabwire Ekakoro left Kenya on December 12, 2011 headed for further studies in Ukraine, her future could not have been any brighter.She was one of the five Kenyan students selected that...
View ArticleLICHA YA MIKOA YA KUSINI KUWA NA VIONGOZI WENYE NYADHIFA KUBWA SERIKALINI...
Msululu wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari yao baada ya kukwama katika kijiji cha Sinza katikati ya Somanga - Nyamwage mkoani Lindi, kutokana na barabara wanayoitumia kupatwa...
View ArticleWACHEZAJI WA SIMBA WAKINUKISHA WANASEMA HATUMTAKI LOGA
Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.Na John JosephTABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake,...
View ArticleMEMORIAL WEEKEND SASA KUFANYIKA DMV, NEW YORK NA DMV KUPAMBANA KWA MARA YA...
New York Dream Team (NYATI)Timu ya DMVKuanzia May 23- 25, 2014 Vijimambo Blog inakuandalia bonge la party, siku tatu za kula raha, nyama choma na mechi ya mpira iliyokua ikisubiliwa kwa hamu kati ya...
View Article