Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WAKIGENI WAMESHAONA KUWA TIMU ZA TANZANIA ZINAJALI ZAIDI KUNUNUA...

Mshambiliaji wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe.Na Sweetbert LukongeMSHAMBULIAJI wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe, amesema atakuwa tayari kujiunga na Yanga endapo tu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA MPIRA WA MIGUU DMV KUANZA IJUMAA NA JUMAPILI HII MEADOWBROOK PARK

Timu ya DMVKama unaumanya basi karibu Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland tunajiandaa na mechi ya Muungano kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumapili April 27, 2014 Kombe uwanjani...

View Article


CHEKA UNENEPE

View Article

MGOMBEA WA CHADEMA CHALINZE AKWAA KISIKI,AWEKEWA PINGAMIZI

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF DHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA HAZINA NDOGO-ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akisaini Kitabu mara baada ya Kuwasili Ofisi za Hazina Ndogo-Arusha hapo Jana Tar.12/03/2014,Kulia ni Bi.Deodatha R.Makani ambaye ni Mkurugenzi-Hazina Makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSI LEO IKULU,...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014 Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Liberata Mulamula atembelea VOA.

Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akiwa na Mh.balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mulamula alipotembelea idhaa hiyo Jumatano Machi 12, 2014. Kushoto Mkamiti Kibayasi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exploits of Kenyan wonderkid abroad

As Kenyans gush over the meteoric rise of Lupita Nyong’o from the fringes to the helm of acting glory, numerous testimonials have cropped up in the press and each pretty much says the same thing. She...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZ,RAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI

Bayern Munich president Uli Hoeness has been sentenced to three and a half years in prison for tax evasion.The 62-year-old had admitted to owing approximately €27.2 million in taxes through an...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salalaa! Bunduki za AK 47 zakamatwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Ernest Mangu.Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa wakiwa na bunduki mbili za kijeshi aina ya AK 47 baada ya kuingia katika kituo kikuu cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Uchaguzi: Chopa za Chadema ruksa Kalenga

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian LubuvaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa maamuzi kuhusu hoja tatu kuu zilizowasilishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi Manispaa Ilala aunganishwa kesi mauaji ya kukusudia

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime.Mkurungenzi wa Mashitaka (DPP), amemfutia mashitaka ya kuua bila ya kukusudia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha...

View Article

Siasa za udugu, urafiki zinavyoshika kasi nchini

Uongozi ni hali ya kushawishi kundi kutekeleza malengo fulani waliyojiwekea. Kuna aina nyingi za uongozi kulingana na jinsi wanavyopatikana.Kuna uongozi wa kuteuliwa, kuchaguliwa kidemokrasia,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nadir, Dida waikubali Al-Ahly

Kocha wa Yanga (katikati), akisalimiana na mashabiki wa timu hiyo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Cairo, Misri, jana. Picha na Michael Matemanga.Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Demu huyu awaambukiza ukimwi watu 324

Jamani tubaki njia kuu!!! demu mmoja nchini kenya ameripotiwa kutembea na wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni muathirika wa ukimwi. Demu huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama njia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA MAUAJI INAYOMKABILI PAPAA MSOFE YAZIDI PIGWA KALENDA, ARUDISHWA TENA...

KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara maarufu Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake imeendelea kupigwa kalenda, baada ya upande wa mashitaka kudai upelelezi haujakamilika.Pia, umedai jalada la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WA NEW YORK WAUAGA MWILI WA MAREHEMU AUNT LULU MWALUKO TAYARI KWA...

Familia ya marehemu ikiwa imesimama pembezoni mwa mwili wa mama yao mpendwa Lulu Mwaluko aliefariki siku ya Tarehe 7 mwezi wa 3 katika hospitali ya Calvary iliyopo Bronx NY alikokuwa amelazwa kutokana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOOK OF THE DAY

Lilian Kronholm Nyalusi wa Denmark.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAWAFUATA MTIBWA MOROGORO

Kikosi cha timu ya Yanga.Msafara wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo asubuhi umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa mchezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA YA SEHEMU ILIYOPATA MAAFA HARLEM NEW YORK CITY

Huu ni muonekano wa sehemu iliyotokea mlipuko wa gas na kusababisha vifo vya watu 7 na wengine 74 kuachwa majeruhi, Na watu wawili kati ya hao 74 hali zao ni mbaya sana.Msamalia mwema akimsalimisha...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>