UPDATES: MATOKEO YA AWALI YASIYO RASMI KUTOKA VITUO MBALIMBALI UCHAGUZI...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wafuasi wa chama hicho usiku huu,kwenye Ofisi za CCM mkoa,huku wakisubiri matokeo rasmi...
View ArticleASKARI POLISI WATAKIWA KUBADILIKA E83A9684
CP Mussa Ali Mussa, akitoa maagizo kwa Wakaguzi wa Polisi wanaoshiriki katika mafunzo ya Miundombinu ya Maadili na mikakati ya kudhibiti rushwa yanayofanyika mjini Dodoma.Wakaguzi wa Polisi kutoka...
View ArticleRAIS KIKWETE MGENI RASMI SOKOINE MARATHON 2014!!
Na Mwandishi Wetu, MonduliRAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika msimu wa pili wa mbio za Sokoine zitakazofanyika katika Kijiji cha Monduli...
View ArticleNdege ya Malaysia ilibadili mkondo ‘Maksudi’
Marubani wawili waliokuwa wanaendesha ndege ya Malaysia********Mtambo wa mawasiliano wa ndege ya Malaysia iliyotoweka wiki moja iliopita, ulizimwa kwa maksudi.Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya waziri...
View ArticleHALMSHAURI YA WILAYA IRINGA YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO YATIMA
Wafanyakazi wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu ya shughuli za shirika hilo.Mkurugenzi wa...
View ArticleSOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA...
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM – TAMISEMI)AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14. A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI...
View ArticleADEN RAGE: SIGOMBEI TENA UONGOZI SIMBA – UCHAGUZI MKUU MEI 4 MWAKA HUU!!
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, jana ametangaza rasmi kwamba hatagombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika Mei 4 mwaka huu.Hata hivyo Rage kabla...
View ArticleWAJUMBE WA BUNGE MAALUM WAHITIMISHA ZOEZI LA KUAPA KWENYE BUNGE LA KATIBA
Mwenyekiti wa i wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE MAITE...
:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nvhi hiyo Ikulu jijini Dar es salaam leo.Rais Jakaya...
View ArticleWAZIRI WA AFYA DKT. SEIF RASHID AMUWAKILISHA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akiwa katika zoezi la ukaguzi wa mabanda mbalimbali yaliyoandaliwa kwa ajili ya kutoa elimu na huduma za mama wajawazito na watoto wachanga katika...
View ArticleTahadhari katika uwanja wa ndege Malawi
Ndege ya shirika la ndege la MalawiMamia ya wasafiri wamekwama katika uwanja wa kimataifa wa ndege mjini Blantyre, Malawi baada ya uwanja huo kusemekana kutokuwa salama.Ndege ziliamrishwa kubadili...
View ArticleBONDIA FADHILI AWADH AFARIKI
Bondia wa ngumi za kulipwa Fadhili awadh amefariki dunia katika hospital ya Mwananyamala jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa siku kadhaa. Marehemu Fadhili Awadh alikuwa ni miongoni mwa mabondia...
View ArticleMAN UNITED WACHAPWA 3-0 NA LIVERPOOL
Hawaamini: Luis Suarez akishangilia bao la tatu alilofunga katika ushindi wa 3-0 uwanjani Old TraffordPengo kubwa: Liverpool sasa wapo mbele kwa pointi 14 dhidi ya Man United na pointi 4 nyuma ya...
View ArticleRisasi zinavyotumika kuua raia Tarime
Polisi wakiwa katika Doria Kwa ufupiMarwa alipatwa na ulemavu wa mguu Oktoba 9, mwaka jana, baada ya kupigwa risasi na polisi kwenye paja.Tarime. Katika Kijiji cha Gomsala, Tarime mkoani Mara yupo...
View ArticleJUST IN:CCM YAIBWAGA CHADEMA KALENGA,YASHINDA KWA ASILIMIA 79.4
Wanakalenga hii leo Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndio FINAL RESULT,MATOKEO YA JUMLA.CCM wamepata Kura 22908 CHADEMA Wamepata Kura 5800 Chausta 143.CCM imeshinda kwa asilimia 79.4...
View ArticleMBUNGE WA CHADEMA ROSE KAMILI YUKO HOI
Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyoMbunge wa hadema...
View Article