HIVI NDIVYO CCM ILIVYOHITIMISHA KAMPENI JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO
Katibu Mkuu CCM,Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara na Mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga wakiingia kwenye Uwanja wa Mkutano Kata ya Nzihi Jimbo la Kalenga,Pia walichukua muda kusalimiana na Wananchi wa Kata ya...
View ArticleKWA WALE WA IRINGA MJINI,MJI WETU NAONEKANA HIVI KATIKA BAADHI YA SEHEMU YA MJI
Upande wa Mlandege.Stendi ya Mabasi Iringa Mjini.Mwonekano wa Majengo mbalimbali Iringa Mjini.(Picha zote na Sanga Festo wa Habari Kwanza Media/Vijimambo Blog)
View ArticleWahitimu wa darasa la saba 2013 wafikishwa kortini kwa kuoana
Mwanafunzi aliyehitimu Darasa la Saba mwaka jana, jina tunalo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, kwa madai ya kumuoa msichana waliyekuwa wakisoma naye darasa moja...
View Article[audio] Mfungwa aliyekuwa akisubiria kifo aachiwa huru - Dakika 90 za Dunia
Picha iliyopigwa na mwanasheria wake, ikimuonyesha Bwn Ford siku ya kwanza kama mtu huru baada ya miaka 30 jela kwa kosa ambalo hakufanya. (picha: theatlantic.com)Wiki hii, mmoja wa wafungwa nchini...
View ArticleUCHAGUZI KALENGA: Mbowe: Nitafia angani
Inafuatia polisi kupiga marufuku chopa kuruka kesho NEC: Ruksa endapo hazina nembo, alama ya chamaMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Wakati Polisi mkoani Iringa imepiga marufuku helikopta za Chama...
View Article‘Nilimshuhudia mume wangu akimbaka mwanangu’
Rehema Saidi akielezea kitendo alichofanyiwa mtoto wake. Picha na Mary Sanyiwa Kwa ufupiRehema na mumewe Juma Malolo waliishi na watoto wawili; mwenye umri wa mwaka ambaye walimzaa pamoja na mwenye...
View ArticleBunge: Mtikila ruksa kwenda mahakamani
BAADA ya mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia kundi la vyama vya siasa, Mchungaji Christopher Mtikila, kutishia kufungua kesi katika mahakama ya kimataifa kuzuia vikao vya Bunge hilo, ameambiwa ni...
View ArticleMTO MBEZI WAJAA NA KUKATISHA MAWASILIANO
Wakazi wa pembezoni mwa Mto Mbezi wakivuka mto kuelekea upande wa pili. Mto Mbezi unaotembea kuanzia Mbezi Kimara kupitia Makongo juu B mpaka Goba kuelekea Kawe hadi baharini, umekuwa tishio kwa wakazi...
View ArticleWATANZANIA WANNE WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA JOMO KENYATTA
Watanzania wanne (mwanaume mmoja na wanawake watatu) wamekamatwa na kilo 2.2 za heroin kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Watanzania hao waliingia nchini Kenya kupitia Namanga...
View ArticleWEZI WAIBA MAMILIONI KANISA LA MHUBIRI MAARUFU DUNIANI
Mchungaji Joel Osteen, kiongozi wa kanisa la Lakewood la nchini Marekani.Watu wasiofahamika wameiba pesa za michango kiasi cha shilingi dola laki sita (600,000) za Marekani pamoja na hundi katika...
View ArticleAnelka afukuzwa West Brom
West Bromwich Albion wamekata shauri la kumfukuza mchezaji mkongwe, Nicolas Anelka kwa utovu mkubwa wa nidhamu, baada ya mpachika mabao huyo kutangaza kwamba anaondoka Hawthorns.West Brom...
View ArticlePICHA ZA JINSI ROSE NDAUKA ALIVYO KAMILISHA AHADI YAKE, ASAFISHA JIJI LA...
Kutokana na Takwimu iliotolewa miezi kadha iliopita kuhusu Tanzania kuwa nchi chafu huku, Dar es salaam ndo ukiwa mji uliotolewa macho kwa kuwa na uchafu mwingi sana, Kupitia kampuni yake ya Ndauka...
View ArticleLIVE KUTOKA KALENGA,CCM YASHINDA KATA ZOTE 15,MATOKEO ENDELEA HAPA
TUPO Live Kutoka Kalenga Kunakofanyika Uchaguzi wa Mbunge wa Jimbo hilo hii leo.Matokeo ya AWALI nikama Ifuatavyo KATA YA IFUNDA Ambapo Chadema ilikuwa hai kiasi chake Matokeo niliyopokea haya hapa.CCM...
View ArticleUKWELI MCHUNGU: WAPINZANI HAWANA SIFA ZA KUONGOZA NCHI. (A COMPARATIVE ANALYSIS)
Na Paul MakondaSiasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya...
View ArticleYANGA WAPATA AJALI MORO
Wachezaji na viongozi wa tinu ya Yanga, wamepata ajali maeneo ya Mikese nje ya manispaa ya Morogoro kufuatia Bas walilokuwa wakisafilia kupinduka. Katika ajali hiyo hakuna majeruhi wala mtu kufariki....
View ArticleMtandao wa Wanawake na Katiba Walipongeza Bunge la Katiba Kuonesha Usawa wa...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Lilian Liundi wa TGNP Mtandao akizungumza..Na Thehabari.comMTANDAO wa Wanawake na Katiba wenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya,...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Missy Temeke From Maryland, USAVijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa
View Article