KWA MSIO ELEWA SERIKALI TATU NI MARAIS WATATU,MCHORO HUU HAPA
Credit Mwananchi.Unasemaje Utitiri huu Wa Viongozi kwa Nchi inayoendelea Kama Tanzania?
View ArticlePicha za baby shower ya Diana Kundasai Terry (na Justine Cosmas Takule)...
Keki kwa ajili ya baby shower ya Diana iliofanyika Jumamosi Machi 15, 2014 College Park Maryland (USA) - Mpambaji alikuwa ni Marbelle Events Inc.Mama mtarajiwa, Diana Kundasai Terry na Baba mtarajiwa...
View Article2014 SUSAN G. KOMEN GLOBAL RACE FOR THE CURE
This year Team Tanzania is participating again in the Susan G. Komen Global Race for the Cure in Washington D.C. The race will take place on Saturday, May 10, 2014 at 7:00am. Please support Team...
View ArticleTASWIRA MH:MWIGULU NCHEMBA AHUTUBIA BUNGE LA ACP NA EU,APINGA NDOA YA JINSIA...
Naibu Waziri wa Fedha mhe Mwigulu Nchemba amehutubia kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.Katika hotuba yake, mhe Mwigulu alianza kwa kukishukuru chombo...
View ArticleTANGAZO LA TELECONFERENCE KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI
Waheshimiwa Wanadiaspora,Viongozi wa Jumuiya za Watanzania za Marekani wakishirikiana, ZADIA na DICOTA, wanapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na teleconference siku ya Alhamisi tarehe 20 Machi kuanzia...
View ArticleRais KIkwete akiandaa hotuba yake ndegeni kuelekea Dodoma
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...
View ArticleTAARIFA MUHIMU: BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAZUNGUMZA NA...
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa bodi ya mikopo Tanzania, Cosmas Mwaisobwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaamMkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa...
View ArticleUjumbe wa Balozi wa Uturuki kuhusu 'scholarships' kwa Watanzania
Ujumbe wa Balozi wa Uturuki kuhusu 'scholarships' kwa Watanzania Ujumbe ufuatao umetumwa na rafiki kupitia WhatsApp:Tafadhali wasambazie ujumbe huu wa NAFASI ZA KUSOMA UTURUKI:Balozi wa Uturuki amenipa...
View ArticleUTU UZIMA DAWA PITIA HII STORY NA UTAJIFUNZA JAPO KIDOGO BY MASSANJA...
MKULIMA mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji. Alikuwa na majike 25 jogoo mmoja. Baada ya kuona jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo jipya. Ile jogoo mpya kufika tu kukawa na mazungumzo kati ya...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Ally Mussa from New Jersey, USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa
View ArticleDual citizenship in Tanzania and the Diaspora
Alternative point of views to framing the topic and associated arguments I would like to provide alternative point of views about the way to frame the advantages of dual citizenship and hence...
View ArticleSTATEMENT BY HON. BERNARD K. MEMBE IN MAPUTO ON Tanzania - Malawi Boarder...
Taarifa kwa Umma na Vyombo vya HabariMazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili...
View ArticleRais Kikwete awasili Dodoma kuhutubia Bunge Maalum la Katiba
UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleSHULE YA SEKONDARI MABIBO NA UBALOZI WA JAPAN WASAINI MKATABA WA WENYE...
Mstahiki Meya wa kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan Mstahiki meya akiendelea kuzungumza wakati wa usainishwaji...
View ArticlePANGANI FM REDIO YAPONGEZWA KWA KUKUZA KISWAHILI
Mzee Bakari (mwenye shati ya bluu) wa Kijiji cha Madanga wilaya ya Pangani, akipongeza Kituo cha Redio cha Pangani FM kuendeleza Kiswahili kupitia kipindi cha Lugha ya Kiswahili.Na.Mwandishi...
View Article'MIRACLE' BABY BORN A MUM DIES IN BIKE CRASH
A "miracle" baby has survived after being born during a motorcycle crash that killed his mum and dad.One officer who was at the scene in Xiamen City, southeast China, said he spotted the baby lying...
View ArticleKishindo kikuu chasubiriwa leo
Wengi wataka hotuba ya JK itulize upepo mbayaIle hofu ya kuviziana na mbinu za kuteka Bunge Maalum la Katiba, leo ama itaendelea kutawala mchakato wa kutunga katiba hiyo au utafikia mwisho kutegemeana...
View Article