Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all 45946 articles
Browse latest View live

TUJIKUMBUSHE WIMBO WA AJ UBAO-MAPEPE

$
0
0

AJ Ubao ni mwanamuziki wa kizazi kipya anayeisha na kuendesha maisha yake Maryland nchini Marekani, Mapepe ni moja ya nyimbo zake za kwanza zilizopaisha katika ulimwengu huu wa Bongo Flava.

UCHAGUZI DMV KUWA KIVUTIO WENGI KUJA KUSHUHUDIA

$
0
0

Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula akiwa kwenye picha ya pamoja na wagombea uongozi DMV, wajumbe wa bodi na wajumbe wa tume ya uchaguzi kwenye ofisi za ubaloi Washington Dc Ijumaa Julai 18, 2014

Na Mwandishi wetu, New York.
Uchaguzi wa viongozi wa DMV hua kivutio kwa majimbo mengine na nje ya Marekani kwa wengi kujiuliza kuna kitu gani wanachopigania na wengine kudiliki kusema utafikiri wameahidiwa kufanyakazi na Rais Obama.
Vijimambo imeongea na watu mbalimbali kutoka majimbo tofauti, Canada, Uingereza na Tanzania na watu wengi wameonekana kufuatilia chaguzi za DMV kwa karibu zaidi kutokana na wagombea wake kujinadi kwa staili ya aina yake mpaka imepelekea Watanzania wanaoishi majimbo ya karibu na DMV wanafikiria kuja siku ya uchaguzi kushuhudia aina ya uchaguzi huu utakavyokua.

Vijimambo ikiongea na Salim Akida wa New York, amesema
kusema ukweli uchaguzi wa DMV ni wa next level kwa sababu tangia aje nchini Marekani na hata huko alikotoka hajawahi kuona uchaguzi uliokua moto namna ya DMV na kila siku naingia kwenye mitandao kufuatilia leo mgombea kasema nini.Kkusema ukweli tunaufuatilia uchaguzi wa DMV kwa karibu sana na siku ya uchaguzi nitakuwepo DMV kushuhudia uchaguzi huu.

Vijimambo iliongea na Andrew Madeje wa Kansas amesema yeye anaufuatilia uchaguzi huu kwa karibu sana pia wagombe wa Urais ni marafiki zangu facebook mpaka hua najiuliza kunanini kwenye Jumuiya hii ya DMV mbona moto ni mkali sana katika kujinadi, kusema ukweli Vijimambo kwa jinsi uchaguzi unavyokwenda nategemea DMV itapata viongozi wazuri.

 Pia Vijimambo iliongea na Jimmy Kilauli ambaye kwa sasa yupo nchini Uingereza kuhudhuria Maafali ya mtoto wake amesema tangia Tanzania ninaufuatilia kwa karibu uchaguzi huu wa DMV kusema ukweli ni uchaguzi wa kipekee nachoomba baada ya uchaguzi wawe kitu kimoja walioshinda na watakaoshindwa waache tofauti zao na wafanyekazi kama WanaDMV. Nafikiri ni vizuri kuwa na chaguzi za aina hii kwa ajili ya kutafuta kiongozi wa kweli.

Chaguzi za DMV zilianza kubadilika miaka miwili iliyopita kwa wagombea wakati huo Bi. Lovenes Mamuya na mgombea anayegombea sasa hivi kwa mara ya pili, Bwn. Iddi Sandaly kwa kuweza kujinadi kwa Watanzania DMV kwa kutumia njia mbalimbali zikiwemo Video na kutengeneza vipeperushi vyenye picha zao vilivyowekwa kwenye kurasa zao za facebook na mitandao mingine.

Chaguzi ya mwaka huu umekuatofauti kidogo watu wengi hasa wafuasi wa wagombea wamekuwa karibu sana na wagombea wao bila kificho na wengine wakiweka kura zao wazi kwenye mitandao ya jamii ya  mgombea gani atakayempigia kura. Kitu kingine kilichojitokeza mwaka huu ni Balozi wa Tanzania Mhe. Liberata Mulamula kuwaita wagombea wote wakiwemo kamati ya uchaguzi na kuweza kukaa nao chini na kuongea nao kwa kina kuhusiana na uchaguzi huu uliopangwa kufanyika Aug 9, 2014.

Timu ya Vijimambo inawatakia kheri na baraka wagombea wote hata kama siku ya uchaguzi hautachaguliwa wewe ujione ni mshindi kwa WanaDMV na viongozi waliochaguliwa bado wanahitaji ushirikiano wako. Tunaomba uchaguzi uwe wa amani na utulivu kusudi uwe mfano wa kuigwa kokote ulimwenguni na kwa Pamoja DMV Tunaweza.

KITU CHA OGANIKI HICHO NYUMBANI NI NYUMBANI

$
0
0
Ukiona hii unaweza kujikumbusha siku ukifika kijijini kwenu mifugo kama hii inakuwa na wasiwasi kwani inajua tamaduni za kiafrika mgeni akifika tu nyumbani uchinjiwa kuku, bata, au mfugo wowote unaokuwapo nyumbani hapo. Mifugo kama hii ni oganiki na upatika vijijini kwa bibi zetu, waliowengi wanaweza kuelewa nikisema kijijini nyama yake ni tamu sana na ni afya kwa mlaji hasa kwa supu baada ya vile vimiminika na mvinyo laini.

Death has robbed songbird Juliana Kanyomozi of her 11-year-old son.

$
0
0
Juliana Kanyomozi’s son dies

Little Keron passed away at Aga Khan Hospital in Kenya’s capital Nairobi where he had been flown for treatment, according to a social media statement by Fenon Records, to which she is signed.

“Juliana’s only son Keron just passed away at Aga Khan hospital in Nairobi. Our prayers go out to Juliana and her family at this trying time. Keron…you’re gone too soon! R.I.P,” read the post.
Earlier Juliana had posted on her Facebook wall that Keron had suffered a “severe asthma attack while at school”.
The statement read:

“My Family and I would like to inform my friends and Fans that my little Angel Keron has not been well after suffering a severe asthma attack while at school. He is currently admitted at Aga Khan Hospital Nairobi, and is getting the best medical attention. I am by his bedside 24hours. Please join us in praying for my Little Angel for his quick recovery. Thank You, Juliana”.
Credit:1n2EastAfrica

HAPPY BIRTHDAY

$
0
0
Manka Raheli Mmari from Ohio, USA
Timu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

TAPELI LILILOJIDAI KISHOKA WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY

$
0
0
10500539_819006161445574_7780628803053090260_n
Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.
Na Mwandishi wetu
TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.
Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, nyumbani kwake wakasema wanatoka Tanesco wamekuja kucheki mita ya Luku. Hata hivyo wakakorokocha wakasema mita imechezewa kwa hiyo wanakata Umeme na kung'oa mita, eti waliona kwenye GPS yao kuwaUmeme hauendi vema.
“wakasema fidia na kurudisha umeme kiofisi ni milioni 8! ila tukiwapa milioni 2 wataturudishia. nikawauliza kama mita imechezewa mbona tunanunua umemewa laki 3 kwamwezi? si ingepaswa tulipe kidogo? wakasema wakati mwingine wakiweka hiyo resistance (eti ndo kifaa cha kuiba Umeme) huwa kinafyatuka halafu Umeme unakwenda zaidi! “ alielezea Bi. Usia.
Na kuongeza kuwa vishoka hao wakakata Umeme wakaondoka, tujipange. tujadiliana na mzee tukapata mashaka maana walikuwa wakali halafu wanalazimisha mambo, wamevaa vitambulisho lakini wamevigeuza kwahiyo havisomeki. tukapiga simu Tanesco kuwauliza wakasema hao ni vishoka tuitePolisi, basi tukawapigia simu waje wachukue laki tano waturudishie Umeme, mengine Jumatatu. wakaja fasta wakarudisha Umeme, nikawaambia naenda aTM wasubiri nikawaacha na mzee nikatoka mbio mpaka Polisi chuo nikawahadithia wakanipa Polisi 3 nikaja nao nyumbani, tukawakuta wameondoka.
Mzee akawapigia simu waje hela imepatikana wakasema tukutane Mlimani City, tukafanikiwa kukamata mmoja wengine wakakimbia. tumemuacha selo, tukaandikisha maelezo. tunasubiri hatua itakayofuata.
10417599_819006198112237_2101442257557265538_n 
Hapa likiwa chini ya ulinzi na pingu mkononi.

WIMBO WANGU WA LEO

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 LIVE AGOSTI 8, 2014, YEMI ALADE, SHILOLE, KUONYESHANA KAZI HUKU NDONDI ZA MWAKA ZIKIENDELEA


HAPPY BIRTHDAY TO YOU LISTON

$
0
0
Liston Kayira from Texas, USA
I love you so much that words cannot express it. It is only the feelings of love, mutual respect and care that can express my true feelings for you. Here`s wishing you a very, very Happy Birthday and many more to come

KAMPUNI YA MONTAGE YAFUTARISHA WAOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS VILLAGE‏

$
0
0
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Montage ya jijini Dar es salaam akiwagawia watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto cha SOS Village kikilchoko Sinza barabara ya Sam Nujoma alipowakaribisha kwa futari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Kindondoni juzi ikiwa ni moja ya maelengo ya kampuni hiyo kuwakumbuka watoto yatima na kuwakarimu wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Anitha Pangani mfanyakazi wa kampuni ya Montage akiwagawia watoto chakula wakati wa futari hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Montage.
Watoto wakiendelea kupata chakula
Watoto wakifuturu
Baadhi ya wafanyakazi wa kituo hicho wakishiriki katika futari hiyo pamoja na watoto.
Mtoto Naijo Nestor Mapunda akifuturu pamoja na watoto wenzake wa kituo cha SOS Village Sinza.
Watoto wakipakua chakula

SUSPECTS IN THUO’S MURDER TO WAIT FOR REVIEW OF BOND

$
0
0

From left, Ruth Watahi, Esther Ndinda Mulinge, Samuel Kuria Ngugi, Andrew Karanja Wainaina, Christopher Andika and Paul Boiyo at the Milimani High Court where they were arraigned over the death of former Juja MP George Thuo. File, Nairobi News

Six people charged with the murder of former Juja MP George Thuo will wait until next month to know whether they will be released on bond.

This is after the prosecution and defence lawyers made their submissions on the application by the accused seeking to have the court review its ruling which denied them bond.

Prosecution counsel Catherine Mwaniki said there is no new material placed by the accused to warrant the court to review its ruling.

Ms Mwaniki said there is a connection between the accused and the potential prosecution witnesses.

However, one of the defence lawyers Cliff Ombeta said the accused are not going to interfere with witnesses.

Mr Ombeta said there is no extent of threat given to the court and that the only connection nexus is that the witnesses and the accused might know each other.

The court heard that it has the power to review its decision and that a dangerous precedent will be set should an accused be denied bail on the grounds they know potential prosecution witnesses.

The accused are Mr Paul Wainaina Boiyo,Mr Christopher Lumbasio,Mr Andrew Karanja Ngugi,Ms Esther Ndinda Mulinge and Ms Ruth Watahi.

The have all denied the murder charge against them.

The court had on March 20 denied releasing them on bail.

Nairobi News

'Gentle Giant' Dies After NYPD Cop Puts Him In Chokehold

$
0
0

A New York resident died Thursday after police officers put the man, who was asthmatic, in a chokehold before apparently slamming his head on the ground.
UPDATE: Video of Garner is exclusive to the New York Daily News, and has now been removed from this story per their request.
The New York Daily News obtained exclusive video of the incident, which shows Staten Island man Eric Garner, 43, begging officers to let him breathe as he lies on the ground helpless.
Now, his family is demanding accountability from the NYPD.
Police said Garner, who was a married father of six children, died of a heart attackduring the arrest, according to The Associated Press. The NYPD said Garner had been seen selling untaxed cigarettes, and that he had been arrested before for the same offense.
In the video, Garner denied the allegations and asked a plainclothes officer why he was stopped.

“Every time you see me you want to mess with me," Garner told cops in the video. "I’m tired of it. It stops today!”
When Garner refused to put his hands behind his back, and asked one officer not to touch him, two others moved in to make the arrest.
Video shows at least one officer putting Garner in a chokehold and slamming him on the ground.
Garner can be heard screaming "I can't breathe, I can't breathe!" before going quiet.
Multiple witnesses to the death expressed anger at the NYPD.
“They jumped him and they were choking him. He was foaming at the mouth,” 22-year-old Ramsey Orta, who took the video, told The Daily News. “And that’s it, he was done. The cops were saying, ‘No, he’s OK, he’s OK.' He wasn’t OK.”
Another witness said Garner was "absolutely not selling cigarettes," Staten Island Live reported.
Those who knew Garner described him as a "gentle giant" and "a big teddy bear," according to the publication. His family members, including his wife Esaw Garner, said her husband suffered from chronic asthma.
Police told The AP that an investigation into his death is ongoing. The NYPD said Garner "took a fighting stance" and "absolutely resisted arrest."
In 1993, then-Commisioner Ray Kelly banned the use of chokeholds by officers, the New York Times reported.
More from a 2004 NYPD Patrol Guide:
"Members of the New York City Police Department will NOT use chokeholds. A chokehold shall include, but is not limited to, any pressure to the throat or windpipe, which may prevent or hinder breathing or reduce intake of air."
At a memorial for Garner Thursday night, family members, friends, and supporters asked for justice.
"Is this cop still going to be on the force?" one woman asked SI Live. "Is this cop still going to be able to do this to somebody else?"
Community residents are attempting to organize a march on Friday.
UPDATE: Mayor Bill De Blasio has released a statement regarding the death of Garner.
"On behalf of all New Yorkers, I extend my deepest condolences to the family of Mr. Garner, who died yesterday afternoon while being placed in police custody. We have a responsibility to keep every New Yorker safe, and that includes when individuals are in custody of the NYPD. That is a responsibility that Police Commissioner Bratton and I take very seriously. We are harnessing all resources available to the City to ensure a full and thorough investigation of the circumstances of this tragic incident. The NYPD’s Internal Affairs Bureau is working closely with the Office of the Richmond County District Attorney, which is leading this investigation."
Source: http://www.huffingtonpost.com/

TASWIRA : KAMATI KUU YA CHADEMA ILIVYOKUTANA DAR

$
0
0
Twasira mbalimbali ya mkutano wa kamati kuu ya CHADEMA uliofanyika Dar es Salaam
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

ANC: Statement by Office of the ANC Chief Whip, on the situation in Gaza

$
0
0
By: Motshabi Hoaeane
The African National Congress in Parliament is extremely outraged by the wanton and unjustifiable bombardment and killings of innocent civilians, including children, in Palestinian territory of Gaza by Israel military forces. We echo the widespread condemnation of these senseless attacks on defenceless Palestinians and call on the government of Israel to immediately cease with this blatant act of criminality.

It is unacceptable that as the Israeli military is flagrantly violating the territorial integrity of Gaza, claiming hundreds of lives and injuring thousands, the United Nations Security Council fails to interve
decisively in line with its powers. The office of the UN Secretary General issues statements which have not effect. The UN Security Council must stand up and act to support vulnerable Palestinian people at the
time when they need their protection. The situation involving Palestine and Israel is an undeclared war, in which the aggressor, Israel, has destroyed the Palestinian economy, robbed people of their land,
unilaterally changed borders, and unilaterally built a wall of exclusion to keep Palestinians out of their land. When it feels provoked, it unleashes the most sophisticated military hardware on a defenceless
people. Palestinians have been reduced to cheap labour for the Israel ecionomy. This relentless destruction of the Palestinian territory and its people by Israel must be stopped. The international community needs
to act in unison on this matter.

As the ANC in Parliament, we stand unapologetically with the people of Palestine and pro-Palestinian campaigners in an endeavour to exert pressure on Israel’s government to comply with the UN Security Council resolutions and stop its killings and gross persecution of Palestinian
people. We remain resolute in our view that the only long lasting peaceful solution to the situation in the Middle East is the attainment of a two-state solution between Israel and Palestine in which the two
states exist side by side independently and peacefully.

Our strong condemnation of Israel's violent aggression, however, does not in any way mean approval of the continuing firing of rockets by Hamas into Israel, which has put the lives of innocent civilians at
risk. We echo the call by the South African government for both parties to end all forms of aggression towards one another.

The ANC in Parliament will mobilise other political formations in this institution to take a principled stand against the criminal acts of Israel and further to ensure that Parliament as an institution formally
condemns the deadly violence visited upon the people of Palestine. We will also invite other parties to the lunchtime picketing outside Parliament in support of the people of Palestine and in calling for
peace in the Middle East region. As one of the measures to put pressure on Israel, we are of a firm view that our government must recall our ambassador to Israel and also ask the Israel ambassador to South African
to leave with immediate effect.

During this International Nelson Mandela Day in which South Africans and the world are called upon to engage in noble acts in emulation of the world icon, we align ourselves with his profound statement that “our
freedom is incomplete without the freedom of the Palestinians”.

Source: Polity

TIMU YA ARGENTINA YATOA FEDHA ZAO WALIZOPATA KWENYE KOMBE LA DUNIA KWENYE HOSPITALI YA BUENOS AIRES

$
0
0
Admirable! Argentina squad donate World Cup prize money to Buenos Aires hospital
Wachezaji wa timu ya Argentina wametoa msaada wa fedha paundi 80,000 kusaidia Hospitali ya Buenos Aires sehemu ya fedha waliyolipwa kutoka kama zawadi ya wao kuwa washindi wa pili wa kombe la Dunia mashindano yaliyofanyika nchini Brazil. Jumal ya fedha walizolipwa kama washindi wa pili ni paundi milioni 14.6.

Wazo la kusaidia hospitali hiyo lilitolewa na mchezaji kiuongo wa timu hiyo Javier Mascherano na timu kepteni Lionel Messi akaliunga mkono kwa sababu yeye mwenyewe alishafanya hivyo siku za nyumba.

Sudan Kusini:Waasi wauteka mji wa Nasir-BBC

$
0
0
Wanajeshi wa serikali ya Sudan kusini wapiga doria.

Waasi nchini Sudan kusini wanasema kuwa wameuteka mji muhimu wa Nasir katika jimbo la upper Nile.

Wanasema kuwa wameuteka mji huo baada ya kushambuliwa na vikosi vya serikali.

Jeshi la Sudan Kusini limesema kuwa vita vinaendelea katika mji huo,ambao waasi wamekuwa wakishambulia tangu siku ya jumamosi.

Msemaji wa jeshi amesema kuwa huenda huo ukawa mwisho wa makubaliano ya kusitisha vita yaliotiwa sahihi mnamo mwezi May.

Mji wa Nasir ulikuwa makao makuu ya mda ya ya kiongozi wa waasi Riek Machar ,ambaye alihudumu kama makamu wa rais wa Sudan kusini kabla ya kutofautiana na rais Salva Kiir.

DMV FUTARI YA PAMOJA JUMAMOSI JULY 19, 2014

$
0
0
Ustadh Mohammed Mabenzi, Salum na Deddy wakiwa wakipata kifungua kinywa na kubadilishana mawazo
Wageni waalikwa wakifurahia mila na tamaduni za wengine kama wanavyooneka
Ismail Mwilima akitoa smile kuhakikisha anakuwa imara mbele ya ukodak
 Meya wa DC Saleh Mohammed akiwa na Uwesu Bakar baada ya kupata mnuso wa futari pamoja na wana DMV wenzao
 Mawaidha yakiendelea  kwa masheikh kutoka Philadelphia walioletwa na Sheikh Omar kabla ya futari kuanza

 Kwa makini, chini na juu, wana DMV wakifutilia mawaidha yaliokuwa yakitolewa na masheikh waalikwa

HAPPY 7TH WEDDING ANNIVERSARY

$
0
0
Mr & Mrs Mhagama
Today,We are celebrating our 7th Anniversary.It is a celebration of Love,Trust,Partnership,Tolerance and Tenacity.Although the order varies for any given year,I am glad and proud that we are still ONE! May God bless you my Love,Thank you for everything! Cheers and abundant blessings as we celebrate this day!! I Love You More!

T444Z HAIR FOOD USA

$
0
0

1 Jar of T444Z takes care of all these things:

1. Dry Scalp 2. Moisturizing the hair 3. Itchy scalp 4. Dandruff 5. Hair line repair 6. Patches 7. Balding 8. Stop hair from breaking 9. Makes hair thicker 10. Volume 11. Growing hair 12. Brittle hair 

Get your hands on T444Z beautiful people and let it regrow your hair back.
Call/whatsapp us @ 1-617-504-3727 We ship all over the USA..

In TANZANIA Call/whatsapp the distributor @ 
TIGO Piga  # 0655844497 Or VODA Piga # 0758844490 Or check them on Facebook for more details.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA QUR-AN JIJINI DAR

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo Julai 20, 2014, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye ni Mtanzania, Said Omary Said, wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, Hatham Sadar, kutoka nchini Kenya wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR
Viewing all 45946 articles
Browse latest View live