Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all 45912 articles
Browse latest View live

Kinshasa:Chimbuko la virusi vya HIV

$
0
0


Kinshasa mwaka 1955, janga la HIV lilikuwa linatesa mjini humu na kote nchini DRC hasa mkoa wa Katanga
Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa miaka ya 1920 mjini Kinshasa, nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. 
Wanasayansi wameeleza.
Wanasayansi wa kimataifa wanasema ongezeko la watu,vitendo vya kukutana kimwili na shughuli za usafirishaji kwa njia ya reli zilifanya virusi vya ukimwi kuenea.

Ripoti inasema kuwa biashara ya ngono, ongezeko kubwa la watu na vitu vyenye ncha kali kama sindano kwenye zahanati huenda kulichangia kusambaa kwa ugonjwa huo DRC.

Wakati huo huo reli ilikuwa ina watu takriban milioni moja waliokuwa wakiingia na kutoka kwa wingi jijini Kinshasa kwa mwaka,wakisambaza virusi kwenda kwenye miji mingine.

Takriban watu milioni moja walikua wakitumia reli ya Kinshasa mwishoni mwa mwaka 1940.

Virusi vilisambaa kwa kiasi kikubwa, mpaka nchi jirani ya Congo Brazzaville na katika maeneo ya migodi, katika jimbo la Katanga.Inaarifiwa virusi vya HIV ni sawa na virusi vya Sinium vinavyopatikana katika Sokwe

Ukimwi ulitambulika kuwa janga kimataifa mwaka 1980 na uliathiri takriban watu milioni 75.

Ugonjwa huu una historia ndefu barani Afrika , lakini ulipotokea ugonjwa huu bado ni mjadala mrefu.

Timu ya wanasayansi kutoka chuo cha Oxford na chuo cha Leuven, nchini ubelgiji walitafiti chanzo cha ugonjwa wa ukimwi wakisema kuwa ulianzia kwa Sokwe.

Virusi vya HIV ni sawa na virusi vinavyopatikana kwa Sokwe ambavyo vinajulilkana kama Simian ambavyo vinadhaniwa vilitoka kwa Sokwe na kuambukizwa binadamu kupitia kwa damu wakati wakitafuta nyama ya wanyamapori.

Virusi hivyo vilikuwa na muundo tofauti na muundo huo ulikuwa unabadilika kila wakati. Virusi vya kwanza viliwaathiri maelfu ya watu nchini Cameroon.

Virusi vilisambaa kwa kiasi kikubwa, mpaka nchi jirani ya Congo Brazzaville na katika maeneo ya migodi, katika jimbo la Katanga.
Vurusi vya HIV

Idadi kubwa ya wanaume waliokuwa wanafanya kazi mijini na idadi ya wanaume ndio ilikuwa kubwa kuliko wanawake na hivyo biashara ya ngono ikawa kubwa sana.

Mmoja wa watafiti Profesa Pybus anasema kuwa mambo mawili yanesaidia kupunguza maambukizi. Kwanza hamasisho la serikali kuwatibu wagonjwa kwa maradhi tegemezi.

Jambo la pili ingekuwa mfumo wa usafiri ambao uliwawezesha watu kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine huku ugonjwa ukienezwa zaidi.

Takriban watu milioni moja walikua wakitumia reli ya Kinshasa mwishoni mwa mwaka 1940.

Virusi vielendelera kuenezwa kwa nchi jirani ya Brazzaville na mkoa wenye madini wa Katanga ambao ulikuwa kitovu cha ugonjwa huo.

Virusi havikukomea tu nchini Congo bali vilianza kuenezwa kote duniani:
CREDIT:BBC

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

$
0
0
Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein.
Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani.
Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake walezi maeneo ya Kariakoo jijini Dar alisimulia kwamba alifukuzwa kwao kwa sababu hakulala nyumbani siku moja wiki iliyopita na aliporudi wazazi wake walezi wakamtaka arudi alipotoka.
“Baada ya kufukuzwa sikuwa na sehemu nyingine ya kwenda zaidi ya kuja kwa mpenzi wangu (Zein) maana ninampenda na siku si nyingi atanioa.
Mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi anayejulikana kwa jina moja la Zein.

Raila Na Gavana Wa Kwale Washambuliwa Kwa Bakora, Kinango

MISSY T ALIVYOTOKELEZEA NA KUSHEREHEKEA EID KWENYE DICOTA 2014 DURHAM, NC

$
0
0
Missy Temeke (kati)akipata picha ya pamoja na Balozi wa kudimu wa Africn Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali pamoja na msaidizi wake mara baada ya Missy T kurejea kuswali sala ya Eid siku ya Jumamosi )ct 4, 2014 Durham North Carolina nchini Marekani.
Missy T katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Iddi Sandaly mara tu baada yaa sala ya Eid iliyofanyika asubuhi ya Oct 4, 2014 mjini Durham, North Carolina.
 
Missy T katika picha ya pamja na wawakilishi wa Global Land Solutions waliohudhuria mkutano wa DICOTA 2014 kutoka Dar es Salaam, Tanzania.
Missy Temeke katika picha ya pamoja na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania California.
 
Missy T katika picha ya pamoja na Alu Kalala Nyang'oro
 Missy T katika picha ya pamoja na Salum Jongo kutoka Tanzania.
Missy T katika picha ya pamoja na Masanja Mkandamizaji.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Diamond Platnumz

PRESIDENT OF THE ASIAN INJURY PREVENTION FOUNDATION(AIP)/ GLOBAL HELMET VACCINE INITIATIVE HOLDS OFFICIAL TALKS WITH THE PERMANENT SECRETARY IN THE PRIME MINISTER'S OFFICE IN DAR ES SALAAM

$
0
0
  The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka(centred) and the President of Assian Injury Prevention Foundation, Creig Craft(third right) during the Official talks held in Prime Minister's Office this afternoon concerns about the support of government to the Helmet factory project expected to take off at Ukonga Central Prison in Dar es Salaam.
 President of Assian Injury Prevention Foundation, Creig Craft(third right) in conversation with his host The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka(not in picture). The first right is the Agro Economist, Superitendent of Prisons, Uswege Mwakahesya(centered) is the Chief Executive Officer of the Helmet Vaccine Inniciative Tanzania, Mr. Alpherio Nchimbi.
 The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka held talks concerns the support of government to the Helmet factory project expected to take off at Ukonga Central Prison in Dar es Salaam.
 The Chief Executive Officer of Tanzania Prisons Cooperation Sole, Senior Assistant Commissioner of Prisons, John Masunga(right) listens a comment from the The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka(left) is Mr. Asanterabi Sang'enoi, Assistant Director in the Prime Minister's Office.
 The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka(right) shares a light moment with the  Chief Executive Officer of Tanzania Prisons Cooperation Sole, Senior Assistant Commissioner of Prisons, John Masunga(left)after an Official talks about the support of government to the Helmet factory project expected to take off at Ukonga Central Prison in Dar es Salaam.

 The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka(centred) in a group photo with the President of Assian Injury Prevention Foundation, Creig Craft(third right) during the Official talks held in Prime Minister's Office in Dar es Salaam this afternoon. Others are Senior Prisons Officers' who accompanied the President.
 The Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Dr. Florens Turuka(right) accompany the President of Assian Injury Prevention Foundation, Creig Craft(left) after the Official talks held in Prime Minister's Office this afternoon concerns about the support of government to the Helmet factory project expected to take off at Ukonga Central Prison in Dar es Salaam.

Save the Date African and African Disaspora Working Group(Eventbright invitation for RSVPs will follow)

$
0
0
 
 
The U.S. Department of State - Bureau of African Affairs
&
The Mayor’s Office of African Affairs
 
Invite you to discuss
 
“Investing in Africa
Why and How?”
 
Wednesday, October 15, 11:00am-1:00 pm
John A. Wilson Building
1350 Pennsylvania Avenue, NW
Mayor’s Press Briefing Room- G-9
Washington DC, 20004
 
 

On behalf of Assistant Secretary Linda Thomas-Greenfield, the U.S. Department of State - Bureau of African Affairs invites you to speak as a panelist during the second session of the “African and African-American Diaspora Working Group” meeting.

 
As part of the Global Diaspora Week (“GDW”), the Assistant Secretary will open the meeting, which will focus on the role of the diaspora in helping Africa grow, followed by a panel discussion on “Investing in Africa.”  This panel will examine investment options, and how the average person can invest in sub-Saharan Africa. Ngozi Nmezi, the District of Columbia’s Executive Director of the Office on African Affairs, will moderate the discussion. 
 
This is a public event and the purpose is to raise awareness, foster collaboration and interchange among diaspora communities, particularly African and African Americans.  It is also a discussion about how the average person can invest and/or do business in Africa.  We hope you can participate to share your candor, and recommendations.
 
 
Thank you, and we look forward to hearing from you soon. 

JIUNGE NA SIMU DOKTA SASA UPATE USHAURI KUHUSU AFYA YAKO


MAPENZI MAPENZINI HAYANA UAFANDE WALA USELA

$
0
0
Nipale walivyoshindwa kujizuia hisia zao na kuamua kufanya yao kiroho safi licha ya kuwa ndani ya vazi la kazini.

KINANA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUJIBU MASUALA YA WANANCHI KWA WAKATI

$
0
0
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Ilolo mpya jimbo la Isimani mkoani Iringa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh.William Lukuvi kufyatua matofali ya ujenzi wa ofisi ya CCM ya Kata Kijiji cha Luganga kata ya Ilolo Mpya.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia daftari la wanachama wa shina namba sita kwa Balozi Changula Mlula.
   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza Balozi Changula Mlula wa shina namba 6,Isimani .Katibu Mkuu amekuwa na utamaduni wa kutembelea Mabalozi kila anapofanya ziara zake.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua jengo la zahanati ya kijiji cha Magozi

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba mbili za walimu Kijiji cha Magozi kata ya Ilolo mpya.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi bweni la shule ya sekondari Wiliam Lukuvi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mbunge wa jimbo la isimani Mh.Wiliam Lukuvi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati waMkutano wa Jimbo la Isimani

 Viongozi wa CCM mkoa wa Iringa wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa,Jesca Msambatavangu wakicheza kwa kudua ngoma maarufu Iringa.
 Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. Wiliam Lukuvi akicheza pamoja na wananchi wake kaba ya kuanza kwa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Msanii Nyamidela akiimba nyimbo za  kuisifia CCM na Katibu Mkuu wa Chama.
 Viongozi Meza Kuu wakifurahia burudani ya msanii Nyamidela

 Wananchi kijiji cha Magozi wakifuatilia mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Magozi ambapo aliwataka viongozi wa serikali kujibu masuala mbali mbali yanayoletwa na wananchi kwa wakati.
 Mbunge wa Jimbo la Ismani Mh.Wiliam Lukuvi akimkabidhi kompyuta Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pawaga
 Mbunge wa Jimbo la Ismani Mh.Wiliam Lukuvi akimkabidhi kompyuta Mwalimu Mkuu Charles Mgimwa wa Shule ya Sekondari Wiliam Lukuvi
 Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. Wiliam Lukuvi akielezea utekelezaji wa miradi mbali mbali ya wananchi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwahiutubia wananchi ambapo aliwaambia umefika wakati wa watu wa serikalini kujibu barua za watu kwa wakati.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwahiutubia  wananchi wa kijiji
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk.Christine Ishsengona akijibu baadhi ya maswali ya wananchi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM.

WATU MBALIMBALI WAKIWEMO VIONGOZI WA KITAIFA WAIUNGA MKONO JENGA

$
0
0
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Alphayo Kidata akiunga mkono Jenga Foundation kwa kununua kikuku cha mkononi kulia ni Nassoro Basalama mmoja wa viongozi wa JENGA Foundation
 Nassoro Basalama akimvisha Kikuku cha mkononi Susie Nkurlu mmoja wa wahudhuriaji kwenye mkutano wa DICOTA 2014 yote ni kuunga mkono juhudi za Jenga Foundation.
 Mlimbwende wa mitindo Flaviana Matata akiunga mkono JENGA Foundation kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina nchini Marekani.
Nassoro Basalama akipokeza cheti cha udhamini wa DICOTA 2014 toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue usiku wa Ijumaa Oct 3, 2014 katika hotel ya Millennium Durham, North Carolina.

Media Matters for America ISLAM Reza Aslan

GOA HISTORY IN ZANZIBAR

$
0
0
The Goan presence in Zanzibar is now hundreds of years old . Though always small in numbers the enduring presence of talented Goan merchants, teachers and craftsmen allowed them to leave quite a mark on Zanzibar history and society.
A Goan presence in the early exploration of East Africa must also be noted. In 1856 the explorer Richard Burton traveled to Bombay with his second in command Lt John Hanning Speke, in order to obtain leave for Lt. Speke from the Indian Army. There Burton engaged two Goans as traveling assistants. They were Valentine Rodrigues and Gaetano Andrade.
They traveled with Burton to Zanzibar in December that year and in January 1857 they accompanied him on short coastal explorations, traveling to Mombasa, Tanga and Pangani. Then on June 16 they crossed to the mainland and after hiring more porters in Bagamoyo they and almost 200 others marched out toward the vastness of central Africa looking for the source of the Nile.
Both Goans would survive this arduous trek which lasted almost two years. Gaetano Andrade was one of only 35 men who made the last push with Speke when Burton fell ill. These 35 men marched the last 226 miles in 25 days. Finally on August 3,1858 they stood together on a small hill overlooking that huge inland sea that Speke named Lake Victoria.
Back in Zanzibar in 1859 and despite some complaints by Burton about the performance of some of his workers including the two Goans, they were paid off. Speke in responding to these complaints noted that "it was simple justice to give them their pay, for they came through with us to the last..." He also noted that "Valentine Rodrigues picked up Swahili and was handy at cooking and sewing, while Gaetano Andrade was a kindly nurse and, though physically weak, courageous."
It is unknown if Rodrigues and Andrade stayed on in Zanzibar but it is clear that other Goans soon arrived. In 1870 a British physician recorded that there were 31 Goans living in Zanzibar City. By the1948 census 598 people of Goan ancestry are recorded to live on Unguja Island and 83 goans were recorded to reside on Pemba. This gives us a total Goan population in Zanzibar at the middle of the 20th century of 681 individuals.
Goans continued to trickle into Zanzibar over the next few years and by the next census in 1958, in which ethnic groupings had been abandoned in favor of recording place of birth and primary language spoken, the indigenous goan families were not identified as such but still there were 313 residents of the Isles who were identified as having been born in Goa and even 85 people who indicated Konkani was their primary language.
Who were these people? How did they live their lives?
The following images and text attempt to shine some light on this important minority and to perhaps spur more study of the contributions they made and the struggles they endured during their long sojourn in East Africa.
In old Stone Town there was a Goan social club and a Goan Sports Club but the heart of the community was the Cathedral.
After religion, education of the children was the highest priority of the Goan community on Zanzibar. They enthusiastically participated in the operation of St. Joseph's School, many of the teachers were Goan. There was also a small school in Pemba.
After religion and education came the economic priorities of life. In commerce no one surpassed the Goan businessmen for industry, creativity and hard work. Goans excelled in both government administrative and professional positions and in the trades. Jewelry and Photography were fields they once dominated on the Isles. The streets seems full of Goan shops in the old photographs.
There were also Goan artists, landscape designers and musicians in old Zanzibar. The Sultan's excellent Band had many Goan musicians and for more than 10 years was lead by a Goan Bandmaster; Isaac Koth D'souza.
In most all public events in old Zanzibar there were sure to be Goans in attendance. As in this 1880's description of a parade.

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW. SULEIMAN SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA

$
0
0
Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo. Mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo viatu.mipira .nyavu za magoli na vifaa mbali mbali vya mazoezi ili kuihamasisha timu hiyo ambayo mwaka ,2003 walikuwa mabingwa Zanzibar na miaka ya 2008 na 2011 ilishiriki katika klabu bingwa Afrika ambapo ilitolewa na St.George ya Ethiopia na Hangwe FC ya Zimbabwe. Katika kujiwekea malengo ys kucheza tena kimataifa katika miaka mitatu ijayo Jamhuri inayoundwa na vijana wadogo imeandaa mkakati maalum kukamilisha azma yao hiyo.

CASSIM MGANGA AKA TAJIRI WA MAHABA KUWAAGA MASHABIKI WAKE DMV SIKU YA IJUMAA SAFARI CLUB

$
0
0
Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga.
LUKE MUSIC FACTORY INVITES YOU FRIDAY, SATURDAY AND SUNDAY REGGAE NIGHT @ CLUB SAFARI WASHINGTON, THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ SEIF
NO COVER CHARGE


Shine with SHINA 2014 Annual Gala

KAMPUNI YA MEGATRADE WATENGENEZAJI WA KVANT WANOGESHA TAMASHA LA WAKAZI WA TABATA SHULE

$
0
0
Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Albet Kingu kushoto akimkabidhi zawadi ya chupa ya Kvant 750ml Ally Yanga wakati wa tamasha lililowakutanisha wakazi wa tabata shule mwishoni mwa wiki tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa burudani mbalambali kwa wakazi hawo
Maofisa wa Kampuni ya Kampuni ya Megatrade inayotengeneza kunywaji cha Kvant wakiburudika kwa pamoja wakati wa tamasha waliloliandaa kwa ajili ya wakazi wa tabata shule wiki iliyopita na kutoa zawadi mbalimbali zinazo husu kampuni hiyo

The World Bank Group : Senior level Job Opportunity

$
0
0

JOB #141045
JOB TITLELead Specialist- Leadership and Learning
JOB FAMILYLearning
JOB TYPEProfessional & Technical
GRADEGH
LOCATIONWashington, DC
RECRUITMENT TYPEInternational Hire
LANGUAGE REQUIREMENTEnglish [Essential]
CLOSING DATE01-Nov-2014

Background / General description:
Leadership, Learning, and Innovation (LLI) is a new WBG Vice Presidency (VPU) dedicated to building the capacity of staff and country partners to accelerate achievement of the twin WBG goals:  to eradicate extreme poverty by reducing the number of people living on less than $1.25 a day to 3 percent by 2030, and promote shared prosperity by fostering the income growth of the bottom 40 percent in every country. 

This new LLI VPU leverages, for the first time, the combined strength of the WBG in building the capacity of staff and country partners to lead, learn, and innovate.  LLI is being created from existing practices within the former World Bank Institute (WBI) and Human Resources (HR).  HR’s staff-facing Leadership and Learning Practices are being merged into WBI’s client-facing Leadership, Learning, and Innovation Vice-Presidency, to create a new organization that can help both staff and country partners learn how to more effectively catalyze change and achieve accelerated results.  The integration of the client-facing and staff-facing roles enables LLI to capitalize on new opportunities for sharing methods and expertise and bringing staff and country partners together for joint work.  The principal integration work is focused on leadership and learning pillars (innovation is already focused on both clients and staff), with a major effort needed particularly for leadership.  The integration will take place between July 1, 2014 and January 1, 2015.  [WBI’s existing thematic practices moved to the Global Practices and Cross-Cutting Solution Areas on July 1, 2014.]

During FY15, a major transition effort will be required to integrate HR’s staff leadership program with WBI’s client leadership program under one department, while at the same time launching entirely new programs for culture change and for leading across the new matrix with new GP leadership, CDs/regions and leaders across WB, IFC, MIGA.  To this end, an intensive effort has been launched to develop an integrated and scaled up leadership program that will:  (1) help to create a new WBG culture that is aligned with the new WBG strategy and goals; (2) build the capacity of WBG leaders to inspire and manage staff to execute our mission; and (3) build the capacity of country partners to drive change and achieve accelerated results.  To execute this, LLI will need an integrated staff and client leadership and culture change team that brings together HR, WBI, and new team members for scale-up programs within the Collaborative Leadership Department.  

The Position:

The Collaborative Leadership Department in LLI is seeking a Lead Specialist in Leadership and Learning to play a key leadership role in building the department, by providing strategic input and technical leadership in aligning our programs to achieve maximum impact for the leadership development needs of the new World Bank Group.  S/he will be a member of the department’s management team, and a member of the LLI VPU’s extended management team.

Note: If the selected candidate is a current Bank Group staff member with a Regular or Open-Ended appointment, s/he will retain his/her Regular or Open-Ended appointment. All others will be offered a 3 year term appointment.


Duties and Accountabilities:

Duties and Accountabilities:

Reporting to the Manager for Leadership Development and Culture Change, the successful candidate will be accountable for the following:

• Support design and lead execution of leadership development strategy and business model for both staff-facing and client facing programs

• Review/revise existing and develop new curricula as needed, to ensure close linkage to WBG business goals and reflects best practice

• Work closely with HR and operations to link staff-facing programs closely with career and talent management

• Lead development of approach to virtual leadership development, so that staff can access leadership development programs from the field at low cost

• Help build the evidence base on 'what works' through research and M&E,  in order to make the business case for both staff-facing and client-facing leadership development

• Facilitate learning for leadership development staff, so that we continually strengthen the impact of our programs and deepen the skills of our staff

• Oversee our outreach, internally and externally, to help create a buzz around our programs, working closely with the LLI Communications team

• Oversee development of new leadership programs as business needs arise (e.g. high-potential leadership program for World Bank staff)

• Find and leverage synergies with the existing client leadership, culture change and managerial leadership programs

• Work closely with the Culture Change Working Group, ensuring that WBG values and behaviors are appropriately embedded in staff leadership programs

• Manage and mentor small team working on strategy, analytics and communications

• Contribute as a member of the department’s management team, and a member of the LLI VPU’s extended management team

Selection Criteria:
Qualifications:

• Demonstrated ability to design, execute and manage new leadership programs, preferably with experience outside of the World Bank Group

• Proven ability in developing strategy and business models and leading their implementation

• Technical expertise in one or more of the following areas: the change management, organizational design, organizational psychology, leadership development, executive coaching, adult learning or a related field

• Outstanding interpersonal, diplomatic and partnership skills and proven ability to work in a collaborative environment with team members and across organizational boundaries

• Strong track record in effective and timely delivery of high-quality programs

• Excellent organizational skills and demonstrated ability to lead a wide range of tasks

• Strong written and oral communication skills; strong interpersonal skills and demonstrated ability to engage in high-level dialogue with both within the WBG and externally

• High ethical standards and deep sense of fairness

• Masters or PhD degree in relevant field; the successful candidate will have at least 12 years of relevant experience in positions of increasing complexity and responsibility

WBG Core Competencies:

Effective WBG staff demonstrates personal leadership and commitment to the WBG’s values and mission. They take initiative, and are persistent in their drive for results.  They seek opportunities to improve and find innovative solutions, where appropriate, to problems. They inspire and encourage others to have a positive attitude and impact, are able to adapt to changing circumstances, and are willing to be bold to increase the Bank’s Group’s effectiveness.

Deliver Results for Clients:

Effective WBG staffs demonstrate personal leadership and commitment to the WBG’s values and mission. They take initiative, and are persistent in their drive for results.  They seek opportunities to improve and find innovative solutions, where appropriate, to problems. They inspire and encourage others to have a positive attitude and impact, are able to adapt to changing circumstances, and are willing to be bold to increase the Bank’s Group’s effectiveness.

Collaborate Within Teams and Across Boundaries:

Effective WBG staffs collaborate and work with others across and outside of the World Bank Group in order to achieve the best results for clients. They cultivate and leverage their professional networks to this end. They are inclusive in gathering options and information, and align their behavior and priorities with the needs and goals of WBG. They maintain a WBG corporate mindset above an individual or team perspective and are proactive in mitigating and managing conflicts.

Create, Apply and Share Knowledge:

Effective WBG staffs understand the value of creating, applying, and sharing knowledge. Staff, rapidly and readily share their expertise; create and contribute to the WBG’s body of knowledge and efficiently reflect and draw on lessons of past experience from colleagues, clients, partners and external sources to drive the WBG to achieve its goals. They expand their professional networks in their areas of expertise by forging linkages with others. They energize others to create, apply and share knowledge and learn from each other. They also seek opportunities to grow personal and institutional knowledge and invest in the growth of others through mentoring, as well as developing themselves and others through feedback and continuous learning.

Make Smart Decisions:

Effective WBG staff balance the need for risk management with a sense of urgency by making quick, timely, and relevant decisions. They display the confidence to take smart risks and make timely and effective decisions and show confidence in own judgment and actions. They are good problem solvers, collect evidence, lessons from past experience, and research to support their actions, and are willing to make decisions and take smart risks that advance the goals of WBG. They take ownership for decisions they make, and ensure issues are pushed to the right level for decision-making when needed.


Apply Now

Chadema yavuna wanachama 130 wa CCM.

$
0
0
na Bryceson Mathias, Korogwe vijijini.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mkutano wake uliofanyika Korogwe hivi karibuni, kimevuna wanachama 130 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku kikimtolea uvivu Mkuu wa Wilaya hiyo, Mrisho Gambo, kikimtaka aacha ofisi avae nguo za CCM, kipambane nae kwenye majukwaa ya siasa.
Kilichomponza Gambo, ni Kauli aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa Katibu wa CCM, Abdulahman Kinana, uliofanyika Mombo, ambapo alidai, aliwapa Chadema Kibali cha kufanya Mkutano Korogwe Ijumaa, Septemba 26, 2014, lakini anashangaa hawakufanya.

Akihutubia Mkutano wa Hadhara uliofanyika Septemba 27, katika Viwanja vya Sokonl Stand, Katibu wa Chadema Mkoa wa Tanga, Jonathan Bawaje, alimshambulia Gambo aache kuibeba CCM, la sivyo aiache Ukuu wa Wilaya avae Nguo za CCM, arudi jukwani kisiasa jukwani.

“Wananchi; Gambo si Polisi wa kutupa kibali cha Mkutano; isipokuwa anafanya Propaganda akiwa na lengo, na ndiyo maana anapita na timu vijijini akiwatisha wananchi kuwa asiyelipa Sh.30,000/- za Ujenzi wa Maabara kwa Kaya atachukulia hatua; Mpuuzeni ana lake!.

“Tunawashukuru watu wa Kwagunda ambao walikataa kuchangia Ujenzi wa Maabara na Maendeleo, hadi Gambo amsurubu, Mbunge wao, Stephen Ngonyani, kabla hajawasurubu wao, aliyeahidi wasilipe fedha kuwa atatoa Saruji Mifuko 100 na Bati 100”.alisema Bawaje.

Mbali ya Chadema kuishutumu CCM kuendesha Mafunzo ya Green Guard Bungu, ili wavuruge mikutano na kushusha Bendera zao zikiwemo Saba walizoiba, wamelaani Mtendaji, Bakari Layumba, Makorola, kuwatoza watu sh. 30,000/- za Maabara kwa Kaya, bila kuwapa risiti.

Aidha katika Kikao chake cha ndani cha Chadema Septemba 28, Chadema kilivuna Kadi 30 za CCM Makorola, baada ya kumwekea dhamana na kumtoa Polisi, Ringo Mjenga, aliyekamatwa akidaiwa Mchochezi, kwa kuhoji Mapato na Matumizi ikiwemo Idadi ya wanakijiji wanaolipa sh.30,000/-.

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

$
0
0
Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam.
Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi 
Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha ya FNB Bw.Luke Woodford akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani B wakati FNB ilipokabidhi madarasa yaliyokarabatiwa, madawati na mikoba ya shule hivi karibunini jijini Dar as Salaam
Viewing all 45912 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>