Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

Bariki Mshomi kutoka Minnesota, USA\Timu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH:MWIGULU CHEMBA ATIKISA KITETO UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI.

Naibu katibu Mkuu wa CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano wa hadhara Kata ya PARTIMBO kitongoji cha NALANG,TOMON Wilaya ya Kiteto hii leo tar.25.01.2014 kwaajili ya Ufunguzi wa Kampeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA ZAN AIR YAANGUKA PEMBA

Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar mhe. Abubakar Kahamis, abiria wote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHENI PAMOJA DAIMA ILIYOFANYIKA KIGOMA

Viongozi wa Chadema walipokuwa Kigoma kwenye Operersheni Pamoja DaimaWakazi wa Kigoma waliojitokeza kwenye mkutano wa Operesheni Pamoja Daima.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepasua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKISIKIA MAJANGA NDIYO HAYA SASA MAMA WA MIAKA 48 ANAVYOVUNJA AMRI YA 6 NA...

Akidhibitisha taarifa hiyo, kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro Robert Boaz, alisema mwanamke huyo alikamatwa Januari 8, kufuatia ushirikiano ulioonyeshwa na majirani zake baada ya kupata taarifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VALENTINE BY POPULAR DEMAND- OMMY DIMPOZ FEB 22 WASHINGTON DC !

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUWEZI KUUITA HUU NI UNYAMA MAANA HATA WANYAMA WANAUPENDO

SIKU zote tumezoea kuona baadhi ya wanasiasa na viongozi wakiwa mstari wa mbele kupinga ukatili, unyanyasaji wa kijinsia na hata kupinga ajira kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 18.Hali hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AIPAGAWISHA NAIROBI, NCHINI KENYA

Dancer wakiongozwa na Moze iyobo,wakifungua pazia la burudaniWasafi wakifanya vitu vyao kuwachengua mashabiki waliojitokeza kushuhudia Prezeda Diamond akifanya makamuzi ya nguvu kwenye Onesho kabambe...

View Article


MLEVI NA AMRI ZA POMBE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Kigwangalla hatarini CCM

Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla akichangia jambo bungeni siku za hivi karibuni mjini Dodoma. Picha na MaktabaDar es Salaam. Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla yuko hatarini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

Andrew Sanga wa Houston, TXVijimambo timu wish you Happy birthday and many happy returns of the day.

View Article

TEMBELEA TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBEYA CITY YAZIDI KUPAA YAIBANJUA KAGERA SUGAR 1-0 NYUMBANI KWAO

Na Faustine Ruta, BukobaTIMU ya Mbeya City leo imeanza msimu wa pili vyema baada ya kuifungia Kagera Sugar kwenye uwanja wao wa nyumbani kaitaba bao 1-0. Kipindi cha kwanza kilimalizika kikiwa hakuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

High School Summer Program

Umoja ShuleSwahili College Readiness AcademyMove past the boundaries of what you think you know about Africa. Explore the fascinating history, economic dynamism, and rich culture of East Africa while...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

vaa , upendeze na toleo jipya kabisa la Viatu

Picha kwa hisani ya Rosemery Fashio Zone

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY SHOWER YA MANESH NA JORDAN BAISI

wazazi watarajiwa Manesh and Jordan wakipata picha ya kumbukumbu kwenye tafrija ya kutarajia mtoto iliyofanyika Chicago na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marariki Baby shower waliyofanyiwa na marafiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE KUTOKA JIJI LA ARUSHA,MWIGULU ATIKISA MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA...

Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu Nchemba ameshawasili Jijini Arusha Mchana huu akitokea Kiteto na Babati kwaajili ya Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani zinazoendelea nchi nzima,Chaguzi hizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati alipowasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Juan Mata: Nani kapata, nani anapoteza?

By Israel Saria on January 26, 2014Hatimaye washabiki wa Manchester United wamepata kitu cha kushangilia na kujifariji kwa usajili wa Juan Mata kutoka Chelsea baada ya kuanza msimu kwa majanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF WALIVYO NOGESHA TUZO ZA MABONDIA WA TANZANIA

Meneja Mpango wa Uchangiaij wa hiyari kutoka PSPF ,Mwanjaa Sembe kushoto akimpatia tuzo ya upiga picha bora wa mchezo wa masumbwi pamoja na uhamasishaji mchezo huo Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live